kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,348
- 9,082
Pole mkuuNyie ni kikundi cha wahuni aise niliwaaminia kweli kweli mmechana mkeka pamoja na kusajili vile bado chelkenge ni ile ile aise.
Pole mkuuNyie ni kikundi cha wahuni aise niliwaaminia kweli kweli mmechana mkeka pamoja na kusajili vile bado chelkenge ni ile ile aise.
Chura wewe 😂Nyie ni kikundi cha wahuni aise niliwaaminia kweli kweli mmechana mkeka pamoja na kusajili vile bado chelkenge ni ile ile aise.
Kichekesho kipi, hivi mnaangaliaga mpira au mmekariri tuSanchez ni kichekesho
Striker yeyote anakosa na kupata, leo Jackson kafunga na mengine kakosaHuyu Jackson ni striker no 9 halisi? anakosaje nafasi 2 za wazi namna ile?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ukabaji ndugu umeimarika sana na wakiendelea hivi Chelsea itafanya vizuri zaidi ya msimu uliopitaBado katika ukabaji Chelsea wana udhaifu la sivyo wafunge magoli mengi sana
Team nyingi hizi ndogo ndio zinacheza hivyoLeo Palace walikamia kushinda
Japo Chelsea haikucheza kwa kiwango kile cha Wolves lakini pai hawakucheza vibaya
Tumewashindwa Palace kwa sababu hawakuwa wakipanda sana kama Wolve walivyofanya. Wameweza kupaki vizuri mabasi na hivyo ikawa ngumu kutengeneza build up kwenye eneo lao la hatari
2nd half team imecheza ovyo. Fundi asiyekuwa na ujuzi hulaumu vifaa vyakeMimi nilisema huyu kocha nampa mechi 10. Hapo tutajua yaliyomo yamo au hayamo. Lakini kiuhalisia mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini hamuanzishi Adarabioyo acheze ma aidha Fofana au Colwill? Sanchez kwangu hawezi kuja kuwa golie namba 1 lakini tuseme yeye ndio anajua zaidi.
Mkuu kama wewe ni mwalimu au uliwahi kuwa mwalimu utanielewa.Mimi nilisema huyu kocha nampa mechi 10. Hapo tutajua yaliyomo yamo au hayamo. Lakini kiuhalisia mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini hamuanzishi Adarabioyo acheze ma aidha Fofana au Colwill? Sanchez kwangu hawezi kuja kuwa golie namba 1 lakini tuseme yeye ndio anajua zaidi.
Kama Nikoras Jackson ni kama mtoto anayejifunza kutembea Kwa nini anacheza ?Mkuu kama wewe ni mwalimu au uliwahi kuwa mwalimu utanielewa.
Katika mechi kumi au 20 inategemea umejiandaaje kumsahihsiha na kumpa maksi
Kama original negativity bado iko kwako nadhani mechi hizo 10 ni unatafuta cha kumkosoa na kuhalalisha dhana yako kuwa Pochettino alikuwa bora kuliko yeye.
Hadi sasa ile defense niliyokuwa naiogopa imebalance kiasi chake
Fofana na Colwill wam,ebalance kabisa, hao wa sub ziwajui bado na hasa Badiashile ni mtupu asilimia 99
Kwenye kiungo tuko vizuri
Full backs tupo vizuri
Mbele mawinga ni wazuri sana ila tu Jackson ni striker mwanafunzi anayejitahidi ila sio wa kumtegemea sana kwa sababu atakupa kagoli kamoja halafu anakosa 3 big chances tena za wazi kabisa
Mimi naoan bado mapema sana hata hizo mechi 10 bado sana kumhukumu kocha
Ni sawa na mtoto anayejifunza kutembea umuhesabia siku ili aweze kutembea vizuri
Chelsea sio Liverpool au Arsenal au Man city
Kuhusu tosin bado hawezi kumpiku Fofana
- Tuna wachezaji wengi wapya
- Koach mpya
- Mfumo mpya nk
Sachez so far na hasa mchezo wa leo kacheza vizuri kama umemfuatilia mwanzo hadi mwisho
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe