Acheni kutetea vitu vyo ovyo. Unahitaji matokeo elite strikers akipata nafasi inapswa kuwa goli. Hakuna namna ya kumtetea huyo Jackson. Bado ni mchanga sanaStriker yeyote anakosa na kupata, leo Jackson kafunga na mengine kakosa
Ninachojua Samason akiendelea kucheza atafunga goli 20+ msimu huu hata kama atakosa nafasi za wazi 100
A big team becomes a small team when it starts boasting on performance over wining a match. Arsenal wacheze vizuri au vibaya lazima wapate ushindi. Hiyo ndo elite mentality tuliyoizoea Chelsea na timu zote za makombe kama Madrid.Mechi ambazo hatukucheza vizuri na inaeleweka ni zile mbili za UECL.
Performance ya mechi zote tatu za ligi inaridhisha sana kama nilivyotegemea.
Tulicheza vizuri dhidi ya man city ni makosa yaliyosababishwa na kukosa uzoefu tu ndizo zilizotuangusha.
Mechi dhidi ya Wolve tulikuwa superb na hasa kipindi cha pili.
Kwa mechi ya Leo dhidi ya Palace tulikuwa wazuri kipindi cha kwanza na dakika kama 5-10 za kipindi cha pili baada ya hapo hatukuweza tena kucheza kwa kasi kubwa japo hatukucheza vibaya kivile.
Hata goli ambalo tulilofungwa na Palace hakutoikana na makosa ya wazi, ni ufundi maridadi wa Eze ndio iliyowapa Palace goli.
Mfano pekee, Fofana na Colwill waliweza kumdhibiti vizuri Mateta hadi wakambadilisha.
Nimeona tu ile pace ya Neto leo ilizimwa na mabasi ya Palace na ule ukaidi wa Madueke uliishia kwenye mabasi yaliyopakiwa.
Hughes alistahili kadi ya pili ya njano na kwa hiyo kutolewa nje kwa red card ila bahati ilikuwa upande wao.
Enzo bado alikuwa na ups and downs
Caicedo leo kacheza vizuri sana katikati na kwenye RB, walikuwa wakibadilsiuhana na Gusto
Palmer alihaha uwanja mzima kujaribu kuleta pasi zake zenye madhara ila mabasi ya Palace yalipakiwa vizuri sana.
Natumaini Chelsea itaendela kuimarika siku hadi siku, wiki kwa wiki.
Tuendelee kuamini juu ya huu mradi ambao utahitaji mchakato kiasi fulani.
Ikiwa kocha asipobadilishwa na kama tutampata striker mfungaji wa kweli au Jackson ataimarika kwenye kuweka mpira wavuni, basi msimu uajao wa 2025/26 ambapo tutakuwa na akina Kendry Paez na Estevao Willian utakuwa ni msimu mzuri kwa Chelsea and I am sure of that.
Anakua vizuri ndio maana anachezaKama Nikoras Jackson ni kama mtoto anayejifunza kutembea Kwa nini anacheza ?
Jackson msimu huu atafunga goli 20+Acheni kutetea vitu vyo ovyo. Unahitaji matokeo elite strikers akipata nafasi inapswa kuwa goli. Hakuna namna ya kumtetea huyo Jackson. Bado ni mchanga sana
Hii timu sio ile uliyoizoea, hii iliyopo itahitaji muda penda usipende, hiyo itakuwa juu yakoA big team becomes a small team when it starts boasting on performance over wining a match. Arsenal wacheze vizuri au vibaya lazima wapate ushindi. Hiyo ndo elite mentality tuliyoizoea Chelsea na timu zote za makombe kama Madrid.
Madrid wamekuwa na project ila wanashinda makombe kwa sababu kila mchezaji anayekuja anajua standard za Madrid.
Nadhani hukuwahi kusikia Chelsea ya Abrahimovic makocha wakiongea huo upuuzi wa performance.
Enzo anauma na kupulizaMashabiki walivyo wanafiki wanajifanya hawaoni utapeli wa Enzo uwanjani na ndio maana mwisho wa msimu uliopita alipokosekana kwa injury timu ilipata somehow balance
Jackson kuna muda anakula bangi kadi ya njano ya kitoto kabisa ile
Kule mbele dakika za mwisho kila mtu anataka kuwa hero wa mechi ni full uselfish
Kijana umechambua vizuri sana watu wanaosema tumecheza vibaya hata siwaelewi kabisa wanaangalia mpira kimihemko team inaonesha progress hata mimi upande wa defence nimeona imeimarika mno partnership ya Fofana na Colwill imeclick shida yetu ilikuwa pale mbele pekeeMechi ambazo hatukucheza vizuri na inaeleweka ni zile mbili za UECL.
Performance ya mechi zote tatu za ligi inaridhisha sana kama nilivyotegemea.
Tulicheza vizuri dhidi ya man city ni makosa yaliyosababishwa na kukosa uzoefu tu ndizo zilizotuangusha.
Mechi dhidi ya Wolve tulikuwa superb na hasa kipindi cha pili.
Kwa mechi ya Leo dhidi ya Palace tulikuwa wazuri kipindi cha kwanza na dakika kama 5-10 za kipindi cha pili baada ya hapo hatukuweza tena kucheza kwa kasi kubwa japo hatukucheza vibaya kivile.
Hata goli ambalo tulilofungwa na Palace hakutoikana na makosa ya wazi, ni ufundi maridadi wa Eze ndio iliyowapa Palace goli.
Mfano pekee, Fofana na Colwill waliweza kumdhibiti vizuri Mateta hadi wakambadilisha.
Nimeona tu ile pace ya Neto leo ilizimwa na mabasi ya Palace na ule ukaidi wa Madueke uliishia kwenye mabasi yaliyopakiwa.
Hughes alistahili kadi ya pili ya njano na kwa hiyo kutolewa nje kwa red card ila bahati ilikuwa upande wao.
Enzo bado alikuwa na ups and downs
Caicedo leo kacheza vizuri sana katikati na kwenye RB, walikuwa wakibadilsiuhana na Gusto
Palmer alihaha uwanja mzima kujaribu kuleta pasi zake zenye madhara ila mabasi ya Palace yalipakiwa vizuri sana.
Natumaini Chelsea itaendela kuimarika siku hadi siku, wiki kwa wiki.
Tuendelee kuamini juu ya huu mradi ambao utahitaji mchakato kiasi fulani.
Ikiwa kocha asipobadilishwa na kama tutampata striker mfungaji wa kweli au Jackson ataimarika kwenye kuweka mpira wavuni, basi msimu uajao wa 2025/26 ambapo tutakuwa na akina Kendry Paez na Estevao Willian utakuwa ni msimu mzuri kwa Chelsea and I am sure of that.
Kwanini City anazifunga kirahisi timu zinazopaki bus? THE BLUES inatakiwa ichezeje ili azifunge timu za uchezaji wa kupaki bus?Mechi ambazo hatukucheza vizuri na inaeleweka ni zile mbili za UECL.