OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Sancho tumepigwa
Hajui kwamba Kai Havertz siku hizi ni habari ya mjini LondonNdugu uwe unaangakia mpira aisee.
Wewe unajua kilichowaharibu Man United, unakumbuka Sachez aliposajiliwa kwa kulipwa 400,500k/week. Unajua akina Pogba, Bruno na wengineo waliojiona wanacheza vizuri walianza kulalamika na kusema wao wanaichangia timu vizuri kuliko Sachez lakin wao wanalipwa kidogo. Toka hapo dressing room ya Mashetani wale imekuwa mess and mess. Badilisha makocha haikusaidia, huyu tajiri mpya anayeitwa Sir Jim Ratcliffe ndie kaja na mfumo kama ya akina Tod Boehly ya kutonunua wachezaji bei ghali na kuwalipa crazu salary.Ndg zangu sisi hakuna hela tunatoa mzee wa mask tungenunua tu ,pesa ni ya tajiri atumie atakavyo tuwe na wachezaji wengi machaguo yaongezeke ,kocha akisema hakuna wachezaji tunamtimua .Namuona Greenwood anakuja vizuri huyu tumnunue mwakani
Za uso kabisa, kweli duniani utapeli ni kede kede.Sancho tumepigwa
Mngekuwa makocha mngechekesha sanaZa uso kabisa, kweli duniani utapeli ni kede kede.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sancho he's just the normal player even after joining to Borussia Dortmund FC didn't look to have any strange as an improvement, may be let's have words balance coz we never know and someone's future is in uncertainty.Mnmgekuwa makocha mngechekesha sana
Umeongea vizuri sanaWewe unajua kilichowaharibu Man United, unakumbuka Sachez aliposajiliwa kwa kulipwa 400,500k/week. Unajua akina Pogba, Bruno na wengineo waliojiona wanacheza vizuri walianza kulalamika na kusema wao wanaichangia timu vizuri kuliko Sachez lakin wao wanalipwa kidogo. Toka hapo dressing room ya Mashetani wale imekuwa mess and mess. Badilisha makocha haikusaidia, huyu tajiri mpya anayeitwa Sir Jim Ratcliffe ndie kaja na mfumo kama ya akina Tod Boehly ya kutonunua wachezaji bei ghali na kuwalipa crazu salary.
Tuje kwa Osimhen
Hofu kubwa ilikuwa angeletwa tu ndani ya Chelsea kwa mshahara wa 300k au 400k/week ambacho kingefuata ni hii
Caicedo naye angetaka aongezewe mshahara hata bila hatujaenda mbali
Enzo naye hivyo hivyo
hali hii inaondoa morale na umoja wa dressing room. Ni bora mchezaji hata akilipwa 700k/week iwe na baada ya kazi kubwa ambayo hata mates wake wanaona. Mfano mzuri ni jinsi Palmer anavyocheza vizuri anaongezewa kidogo, kila msimu akicheza vizuir anaboresheqwa mkataba wake. Unaweza kuta baada ya misimu mitatu ya kucheza vizuri mfululizo mukakuta analipwa 300K+/week. Na hii ndioo model ambayo Chelsea imechukua kwa sasa. Mchezaji yeyote mgeni akija lazima aanzie chini halafu ndipo apande
Upande wa pili, Osimhen angekuja akaflop, tunakuwa tumerudia issue ile ile ya Lukaku. Na usiniambie kesi ya Osimhen na Lukaku ni tofauti. Mimi nasema hapana, tena Lukaku hakuwa na riski kubwa kama ya Osimhen. Kumbuka Lukaku alifunga mabao 23 na 24 kwenye ligi ya serie kwenye misimu iliyofuatana wakati Osimhen kafunga mabao 24 kwenye msimu mmoja tu. So tumetoka tu kwenye zengwe la Lukaku halafu tuanze tena la Osimhen hapana. Tumetoa kuwasajili akina Koulibaly, Sterling, na Lukaku na mishahara ya 300+k/week na hakuna walichokifanya. Akiflop inakuwa ngumu sana kumuuza. God forbid, walichokifanya Chelsea jana inastahili kuungwa mkono kabisa. View attachment 3083863
unajua ana miaka mingapi, japo kumhukumu mtu sio fair lakini kama unahukumu basi iwe kwa wazee wa miaka 30+Sancho he's just the normal player even after joining to Borussia Dortmund FC didn't look to have any strange as an improvement, may be let's have words balance coz we never know and someone's future is in uncertainty.
Well said Mr. LembuWewe unajua kilichowaharibu Man United, unakumbuka Sachez aliposajiliwa kwa kulipwa 400,500k/week. Unajua akina Pogba, Bruno na wengineo waliojiona wanacheza vizuri walianza kulalamika na kusema wao wanaichangia timu vizuri kuliko Sachez lakin wao wanalipwa kidogo. Toka hapo dressing room ya Mashetani wale imekuwa mess and mess. Badilisha makocha haikusaidia, huyu tajiri mpya anayeitwa Sir Jim Ratcliffe ndie kaja na mfumo kama ya akina Tod Boehly ya kutonunua wachezaji bei ghali na kuwalipa crazu salary.
Tuje kwa Osimhen
Hofu kubwa ilikuwa angeletwa tu ndani ya Chelsea kwa mshahara wa 300k au 400k/week ambacho kingefuata ni hii
Caicedo naye angetaka aongezewe mshahara hata bila hatujaenda mbali
Enzo naye hivyo hivyo
hali hii inaondoa morale na umoja wa dressing room. Ni bora mchezaji hata akilipwa 700k/week iwe na baada ya kazi kubwa ambayo hata mates wake wanaona. Mfano mzuri ni jinsi Palmer anavyocheza vizuri anaongezewa kidogo, kila msimu akicheza vizuir anaboresheqwa mkataba wake. Unaweza kuta baada ya misimu mitatu ya kucheza vizuri mfululizo mukakuta analipwa 300K+/week. Na hii ndioo model ambayo Chelsea imechukua kwa sasa. Mchezaji yeyote mgeni akija lazima aanzie chini halafu ndipo apande
Upande wa pili, Osimhen angekuja akaflop, tunakuwa tumerudia issue ile ile ya Lukaku. Na usiniambie kesi ya Osimhen na Lukaku ni tofauti. Mimi nasema hapana, tena Lukaku hakuwa na riski kubwa kama ya Osimhen. Kumbuka Lukaku alifunga mabao 23 na 24 kwenye ligi ya serie kwenye misimu iliyofuatana wakati Osimhen kafunga mabao 24 kwenye msimu mmoja tu. So tumetoka tu kwenye zengwe la Lukaku halafu tuanze tena la Osimhen hapana. Tumetoa kuwasajili akina Koulibaly, Sterling, na Lukaku na mishahara ya 300+k/week na hakuna walichokifanya. Akiflop inakuwa ngumu sana kumuuza. God forbid, walichokifanya Chelsea jana inastahili kuungwa mkono kabisa. View attachment 3083863
Kwani usajili wa Sancho ni matakwa ya nani Kocha au wakurugenzi?Za uso kabisa, kweli duniani utapeli ni kede kede.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kocha alimpigia simu akaongea naye akamshawishi. Sancho ni aina ya mawinga ambao Maresca anawataka kwa sababu ni mzuri kwenye 1v1 na pia naweza kucheza zaidi ya nafasi moaj na pia bado ana umru mdogo anafundishika sio kama SterlingKwani usajili wa Sancho ni matakwa ya nani Kocha au wakurugenzi?
Hii ni kesi nyingine tena mbali na nilichoeleza juu ya Mchezaji huyo.Kwani usajili wa Sancho ni matakwa ya nani Kocha au wakurugenzi?
Kwa sasa huwezi nielewa, unajua kwa uduanzi wake jana Arsenal walitakiwa washinde. Arsenal wangekua na Halland jana wangeshinda.Ndugu uwe unaangakia mpira aisee.
Kama ni takwa la kocha kumsajili Sancho basi utakuwa usajili mzuri. Wacha tuoneKocha alimpigia simu akaongea naye akamshawishi. Sancho ni aina ya mawinga ambao Maresca anawataka kwa sababu ni mzuri kwenye 1v1 na pia naweza kucheza zaidi ya nafasi moaj na pia bado ana umru mdogo anafundishika sio kama Sterling
Mashetani wale wekundu wamemharibu na atafufuka mimi na imani hiyo na pia hatuna risk kubwa kwa sababu ananunuliwa kwa pesa ndogo na mshahara ataupunguza uwe sawa na za wengine. Atacheza Chelsea akiwa na furaha na mzigo mwepesiSancho he's just the normal player even after joining to Borussia Dortmund FC didn't look to have any strange as an improvement, may be let's have words balance coz we never know and someone's future is in uncertainty.