Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa sasa huwezi nielewa, unajua kwa uduanzi wake jana Arsenal walitakiwa washinde. Arsenal wangekua na Halland jana wangeshinda.
Arteta amembadilisha Havertz, sio wa calibre ya juu lakini sio yule wa Chelsea unayemfahamu
 
Chelsea vs Crystal Palace
Line up 4-2-3-1

---------------Jackson ---------------

Neto -----------Palmer -------Madueke

--------Enzo ----------Caicedo --------

Cucurella -----Colwill ----Fofana ----Gusto

---------------------Sanchez-----------------------

Supper Subs
  1. Jorgensen
  2. Tosin
  3. Disasi
  4. Veiga
  5. Dewsberry-Hall
  6. Casadei
  7. Mudryk
  8. Felix
  9. Nkunku
 
Chelsea vs Crystal Palace
Line up 4-2-3-1

---------------Jackson ---------------

Neto -----------Palmer -------Madueke

--------Enzo ----------Caicedo --------

Cucurella -----Colwill ----Fofana ----Gusto

---------------------Sanchez-----------------------

Supper Subs
  1. Jorgensen
  2. Tosin
  3. Disasi
  4. Veiga
  5. Dewsberry-Hall
  6. Casadei
  7. Mudryk
  8. Felix
  9. Nkunku
Levia amesharudi kitandani tena?
 
Natamani sana Madueke aendelee hivi hivi kuwa kwenye form na kuforce mashambulizi,ila iyo assist aliyotoa palmer Kwa Jackson🙌🙌
Anyway Chelsea one ,crystal palace nill
 
Kipa wa Chelsea, Djordje Petrovic anakaribia kuondoka Chelsea na kujiunga na Strasbourg, here we go!

Fahamu kwamba Petrovic amekubali masharti mapya na Chelsea kabla ya kuondoka na kujiunga na Strasbourg.

Itakuwa mkopo wa mwaka mmoja hadi Juni 2025 kisha kurudi kwa #CFC.

Makaratasi yanaendelea kitayarishwa hivi sasa

View attachment 3082020
Bonge moja la golie
 
HT
Chelsea vs Palace
1-0
Jackson goal
Palmer Assist
 
Arteta amembadilisha Havertz, sio wa calibre ya juu lakini sio yule wa Chelsea unayemfahamu
Hamna kitu mule, hata hapa chelsea wachazaji wakishazoeana hadi wale viazi mtawaona waziri.
 
Bastola kwa Obi Mikel

1725197586084.png
 
Huyu Jackson ni striker no 9 halisi? anakosaje nafasi 2 za wazi namna ile?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nyie ni kikundi cha wahuni aise niliwaaminia kweli kweli mmechana mkeka pamoja na kusajili vile bado chelkenge ni ile ile aise.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom