Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1725054761428.png
 
Raheem Sterling akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa London Colney kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuhamishwa kutoka Chelsea kwenda Arsenal. wawakilishi wa mchezaji wanaofanya kazi ya kukamilisha mkopo wa msimu mzima kwa winga wa kimataifa wa Uingereza kwa miaka 29.
@TheAthleticFC

1725055325313.png
 
Kwanini tumlipe Victor Osimhen 200K+/wiki hii yote ili afunge mabao 10-15 kwa msimu, Jackson anaweza kufanya hivyo.

Ebu angalia mwenendo wa ufungaji wake wa magoli:
  1. Wolfsburg mnamo 2017/18 mabao 0 katika mechi 12
  2. Charleroi mwaka wa 2018/19 mabao 12 katika mechi 25
  3. Lile mnamo 2019/20 mabao 13 katika mechi 27
  4. Napoli 2020/21 10 katika mechi 24
  5. Napoli 2021/22 14 katika mechi 27
  6. Napoli 2022/23 26 katika mechi 32
  7. Napoli 2023/24 15 katika mechi 25
Mwenendo huu wa ufungaji mabao sio mbaya lakini hauwezi kumfanya mchezaji kuwa mshambuliaji bora. Ni mshambuliaji wa kawaida tu anayeweza kujihakikishia mabao 10+ na sio mabao 20+
 
Kwa tumlipe Victor Osimhen 200K+/wiki hii yote ili afunge mabao 10-15 kwa msimu, Jackson anaweza kufanya hivyo.

Ebu angalia mwenendo wa ufungaji wake wa magoli:
  1. Wolfsburg mnamo 2017/18 mabao 0 katika mechi 12
  2. Charleroi mwaka wa 2018/19 mabao 12 katika mechi 25
  3. Lile mnamo 2019/20 mabao 13 katika mechi 27
  4. Napoli 2020/21 10 katika mechi 24
  5. Napoli 2021/22 14 katika mechi 27
  6. Napoli 2022/23 26 katika mechi 32
  7. Napoli 2023/24 15 katika mechi 25
Mwenendo huu wa ufungaji mabao sio mbaya lakini hauwezi kumfanya mchezaji kuwa mshambuliaji bora. Ni mshambuliaji wa kawaida tu anayeweza kujihakikishia mabao 10+ na sio mabao 20+
Me nilikuwa namtaka yule wa Genoa sijui kwanini uongozi hawajamuangalia Osimhen tamaa imemponza Uongozi imefanya vizuri kuachana nae unaweza kumlipa kiwango kikubwa alafu akaflop hasara inabaki kuwa ya club
 
Naona Safari yq mudryk msim ujao sidhan km msim huu asipojitutumua sioni akibaki 2025/26

Kuna uwezekano Nkunku akitumika kam CF akisaidiana na Jackson
 
Tatizo la Mudryk sio hajitumi, anafanya mpk vitu vya zaidi matokeo yake anaharibu, Saikolojia imeshakaa vibaya, yaan akicheza kawaid bila kutaka kuonyesha chochote cha ziada ni mchezaji mzuri sana.
 
Msimu ujao mtatuuzia tu🤠🤠🤠...tena kwa Bei ya hasara...maana Maresca akisema tu hyu simtaki basi kwisha habari yenu....Sterling tutawarudishia Ili mtupatie kijana wetu maana mnamtesa na maisha ya hapo...dressing sasahvi ya kugombania...ukichelewa tu kufika unakuta viti vimejaa
 
Wakala wa Osimhen si makini, alishindwa kuwa mbunifu dakika za mwisho. Alipaswa kupendekeza mkopo wa muda mfupi kwa Chelsea hadi Januari.

Iwapo Osimhen angekuja Chelsea kwa muda wa miezi sita, angeuonyesha ulimwengu kuwa yeye ni mshambuliaji mzuri na angeongeza nafasi yake ya kupata dili zuri ambalo alitamani kila mara, iwe Chelsea au kwenye timu nyingine kubwa Ulaya.

Sasa atatumia miezi sita yote na U21 hadi akili yake na ya wakala wake iweze kufikiria vizuri wakati mwingine.

1725087491526.png
 
View attachment 3083231
Tamaa ya hela ni mbaya ndio shida ya waafrika wengi na hiyo itashusha sana value ya career yake kiujumla kama akiwa hajakomaa kiakili
 
Anatafuta pesa, sasa unataka aje bule, unajua Napoli alitoa bei gani??
 
Msimu ujao mtatuuzia tu🤠🤠🤠...tena kwa Bei ya hasara...maana Maresca akisema tu hyu simtaki basi kwisha habari yenu....Sterling tutawarudishia Ili mtupatie kijana wetu maana mnamtesa na maisha ya hapo...dressing sasahvi ya kugombania...ukichelewa tu kufika unakuta viti vimejaa
Mudryk yupo kw ajili ya kuwafunga Arsenal, hatumuuzi. Labda tuwauzie Badiashile, ukimnunua Badiashile unampata Disas na Sanches kama zawadi.
 
Chelsea ilikuwa karibu kidogo tu wamnunue Jadon Sancho kwa €85 million kutoka Dortmund na sasa ona tunamnunua kwa €0 million akiwa bado mchanga ili tumjaribu kwanza na msimu ujao tutamnunua kwa €20-25 million tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom