Kwa Victor hatutoboi. Tumemdharau sana. Mshahara wa €155,000 kwa wiki kweli?Dirisha la Januari 2023 - sakata ya uhamisho wa Enzo Fernandez - Chelsea ilishinda
Dirisha la majira ya kiangazi 2023 - sakata ya uhamisho wa Moises Caicedo - Chelsea ilishinda
Dirisha la majira ya kiangazi 2024 - Victor Osimhen sakata ya uhamisho - Chelsea itashinda/itashindwa?
Mudyk atoke kwa mkopoKwa hivyo tutaweka wapi Felix, Madueke, Nkunku, Jackson na Mudryk?
View attachment 3082968
Wa Sancho utafanikiwa ila wa Mask mgumu.Usajili wa Osimhen ni mgumu sana kuliko Ngamia kupenye kwenye tunmdu la sindano
Kuna masuala ya FFP imewafunga mikono wawakilishi wa Chelsea walioko kwenye mahojiano na kambi ya Osimhen.
Pia usajili wa Sancho unaweza usifanikiwe
Bado tuna masaa manne
Inawezekana, akibaki Napoli watapata hasara kubwa na mchezaji naye itakuwa kama adhabuWa Sancho utafanikiwa ila wa Mask mgumu.
Dili limefufduka upya pauni mil 17.7Deivid Washington parmanent move to Strasbourg collapsed
Sababu za kushindikana ni ripoti ziulienea kuwa Premium League ingelichunguza huo uhamisho kwamba haukufanyika kwa kufuata sheria
View attachment 3083075
Sidhani kama Enzo anaona Osimhen ana umuhimu tayar ana FelixSterling to Arsenal inawezekana
Osimhen to Chelsea inawezekana
Chalobah to Palace - Confirmed
Palace tuliwagonga zote 2 bunley ndio walituvuta korodaniMechi ijayo tuna Palace , hawa midtable underdogs ndio wa kuwabaka goli za kutosha na kuhakikisha tunakusanya points nyingi ili kujiweka vizuri zaidi .
Ule msimu wa poch kwa kweli ilikuwa fedheha sana , yaani hadi palace na vilaza burnnely walitusumbua sana