lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
sijakuelewaNa huo mfumo ni mchakato, je kipindi ambacho haujakubali Chelsea SC itakuwa wapi kimatokeo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
sijakuelewaNa huo mfumo ni mchakato, je kipindi ambacho haujakubali Chelsea SC itakuwa wapi kimatokeo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Fofana, Colwil & Sanchez ni kichekeshoJana niliona kipindi cha kwanza kila mara Gusto anaingia ndani kumsaidia Caicedo na Fofana kuchukua nafasi yake. Hii ilikuwa inasababisha Mathius Cunha kila wakati anapata nafasi ya kuisumbua begi zetu.
Mfumo ni mchakato ambapo huhitaji muda, je kipindi ambacho bado huo mchakato unachakatwa Chelsea SC itakuwa katika hali gani kimatokeo na kimsimamo kwenye EPL?sijakuelewa
Hiyo haiwezekani kwa sababu usipotumia sasa mfumo tutarudi kule kule kwa zamani an hakuna siku mfumo utaanza kufanya kazi. Tumeshaamua kwenda na mfumo mwendo ni huo huo na Maresca ameshaweka mfumo tayariMfumo ni mchakato ambapo huhitaji muda, je kipindi ambacho bado huo mchakato unachakatwa Chelsea SC itakuwa katika hali gani kimatokeo na kimsimamo kwenye EPL?
Je huo mchakato ukikataa kufiti kwenye timu ni nini suluhisho?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Colwil? AiseeFofana, Colwil & Sanchez ni kichekesho
Hao ni wale wasioangalia mpira😂😂😂Colwil? Aisee
Wanakuwaje vichekesho? wakati wao ni wachezaji na wote jana walicheza vizuriFofana, Colwil & Sanchez ni kichekesho
Niliiona hii super sport anaelezea namna chelsea wanavyotakiwa wacheze, nikajiuliza hivi si ndio anauza ramani ya vita mwenyewe.Hiyo haiwezekani kwa sababu usipotumia sasa mfumo tutarudi kule kule kwa zamani an hakuna siku mfumo utaanza kufanya kazi. Tumeshaamua kwenda na mfumo mwendo ni huo huo na Maresca ameshaweka mfumo tayari
Viungo wote na Fulbacks wote wanafanya kazi iliyofanana
Mfumo wa kushambulia
3-2-5
Neto ----Jackson ---Enzo ----Palmer----Madueke
----------Cucurella---------------Lavia---------
----Colwill ------------Fofana -----------James----
Mfumo wa kujilinda kama maadui wanapress
4-2-3-1
----------------Jackson-------------------
Neto -----------Palmer-------------Madueke
----------Enzo---------------Lavia-----------
Cucurella----Colwill --------Fofana -------James
Hapo tuna supper sub za hatari
View attachment 3080161
Miaka yote wapinzani wanajua mbinu, mifumo na style za uchezaji wa City, still Pep anatoa dozi na kubeba makombe mfululizo.Niliiona hii super sport anaelezea namna chelsea wanavyotakiwa wacheze, nikajiuliza hivi si ndio anauza ramani ya vita mwenyewe.
Huu mfumo ukitekelezwa vizuri hata adui akijua tena ndio inakuwa mbaya zaidiNiliiona hii super sport anaelezea namna chelsea wanavyotakiwa wacheze, nikajiuliza hivi si ndio anauza ramani ya vita mwenyewe.
Kuwa makini na akili zako, Google haiwezi kukusaidia hili swali lako?Tunakipiga na nani next game??
We jamaa umenichekesha dah! nimecheka hatarii.Kuwa makini na akili zako, Google haiwezi kukusaidia hili swali lako?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kila akijaga kwenye jukwaa tangu msimu uliopita swali ni hilo hilo hadi mimi nikadhanigi ni robot na ndio maana hata huwa sijibuWe jamaa umenichekesha dah! nimecheka hatarii.
Huo mfumo anaousemea Enzo naona kama unamfaa sana Madueke hasa tunapocheza na Low Blcok teams, zile zinazopaki mabasiHiyo haiwezekani kwa sababu usipotumia sasa mfumo tutarudi kule kule kwa zamani an hakuna siku mfumo utaanza kufanya kazi. Tumeshaamua kwenda na mfumo mwendo ni huo huo na Maresca ameshaweka mfumo tayari
Viungo wote na Fulbacks wote wanafanya kazi iliyofanana
Mfumo wa kushambulia
3-2-5
Neto ----Jackson ---Enzo ----Palmer----Madueke
----------Cucurella---------------Lavia---------
----Colwill ------------Fofana -----------James----
Mfumo wa kujilinda kama maadui wanapress
4-2-3-1
----------------Jackson-------------------
Neto -----------Palmer-------------Madueke
----------Enzo---------------Lavia-----------
Cucurella----Colwill --------Fofana -------James
Hapo tuna supper sub za hatari
View attachment 3080161
PalaceTunakipiga na nani next game??