lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Na pia kama itaruhusu swap deals ya wachezaji wasiotakiwa na kocha (Raheem Sterling an Ben Chilwell)Obvious sababu inaweza kusababisha asajiliwe ni kama akipatikana kwa price tag ndogo may be £30 - 45M with the prospect ya kumuuza for £48M - 66M