Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kesho line up itakuwa hivi

Tomorrow's lineup against Wolves will be like this
4-2-3-1

------------------Jackson-------------------

Nkunku-----------Palmer------------Madueke

------Lavia -------------------Caicedo------

Cucurella ----Colwill ----Fofana ----Gusto

-------------------Sanchez-----------------

Sub
1) Filip
2) Disasi
3) Veiga
4) Tosin
5) Enzo
6) KDH
7) Felix
8) Neto
9) Guiu
 
Hapo kwa enzo lazima ataanza tu
 
Kocha anampenda Enzo lazima ataanza
 
Kikosi cha kwanza cha Chelsea kinajivunia kuwa na wachezaji wengi wenye vipaji, na zaidi ya 90% ya wachezaji wanaweza kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Wachezaji pekee ambao yumkini wanacheza nafasi moja tu ni Madueke, Tosin, na walinda mlango. Ukiondoa hao, waliobaki wanaweza kucheza zaidi ya nafasi moja na huo wasifu ndio kocha anataka. Kwa hivyo, majerahi yakitokea, kuna uwezekano wa kutoathiri kikosi kwa kiasi kikubwa kama ilivyokuwa msimu uliopita. Wakiwa uwanjani, utashuhudia wachezaji wakicheza kila mahali uwanjani, mara nyingi kwa kubadilishana. Kwa mfano, Cucurella anaweza kujikuta akicheza jukumu ambalo kwa kawaida linashikiliwa na Enzo, huku Enzo akiingia kwenye nafasi ya Cucurella; vivyo hivyo, Gusto na Caicedo watabadilisha majukumu bila shida, na Nkunku anaweza kucheza winga ya kulia huku Palmer akihama kwenda kushoto. Ni muhimu kwa kocha kuingiza hali ya nidhamu kwa wachezaji wakati wa kubadilishana nafasi kati ya wachezaji ili balance ya timu isipotee; kwa mfano, Enzo akienda kwenye mrengo wa kushoto, Cucurella anapaswa kusogea ili kujaza nafasi ambayo Enzo anaacha nyuma ili kudumisha balance kwenye kiungo, na kanuni hii inapaswa kutumika katika nafasi zote ili kuhakikisha balance katika inakuwepo na hivyo kuepuka kushambuliwa kwa kushtukiza.
 
Tumpe muda kocha. Mfumo mpya unachukua muda kwa wachezaji kuelewa
Noni ni takataka kama huyu kocha alivyo takataka ,we utaona hata leo ,lazima tubondwe leo
Timu linalotegemea kilaza kilaza kama madueke ni upuuz
 
Tumpe muda kocha. Mfumo mpya unachukua muda kwa wachezaji kuelewa
Mechi ya kwanza EPL tumefungwa na bingwa mtetezi ambaye kikosi chake hakina mabadiliko mengi ukilinganisha na THE BLUES maingizo kibao wachezaji na kocha wanaendelea kusomana na kujenga timu.

Baada ya mechi 5 mpaka 10 ndio tutamjudge kocha.
 
Sahihi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom