Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

habari za umiliki wa mpira sio utamaduni wa Chelkenge...hapa unanidanganya mkuu....Chelsea wao mpira wao ni more direct...mambo ya pasi nyingi hawana...mkitaka kuhamia kwny huu utamaduni Sasa inabidi hyu kocha apewe nafasi regardless of matokeo atakatoyapata msimu wte huu....mabadiliko yanachukua mda si suala la mda mfupi....Sasa je tajiri na mashabiki watavumilia??
Umesoma kweli nilichokiandika au fatilia habar za chelsea kuanzia academy Uje U21 them nenda Strasbough

Mtu unaambiwa plan ya sasa hutaki basi fatilia hizo habar
 
Hiyo ya Enzo nakuunga mkono, tangu enzi za Pochettino Enzo alishindwa kabisa kucheza no. 10. Nkunku au Palmer wanafit hapo kabisa. Jana Nkunku kwenye LW alishindwa kucheza wide ili kuleta madhara. Mechi ni ya kwanza kabisa, haya madhaifu kocha kayaona na najua atayafanyia kazi jinsi Chelsea inavyozodi kucheza. Kayasema mwenyewe jana kwenye post match press conference
Ngoja tusubiri kwa sababu ni mwanzo wa msimu ila sidhani kama Enzo atapigwa bench so obvious Caisedo atalamba bench au wote watalazimika kuwa wanaanza na hili likitokea hakuna balance.

Udhaifu mwingine ni golikipa na baadhi ya wadau wanaliona. Sanchez hajui kudaka na kibaya zaidi ya hapo anabutua mipira mbele wakati tumeanishwa Petrovich hafai kwa sababu hajui kuanzisha pasi za mashambulizi, matokeo yake ilikuwa Sanchez akibutua Man city wanawin mpira alafu wanaanza mashambulizi na Chelsea inarudi kwenye presha ya kuanza kuudaka mpira.

CB bado sana na sitaki kuzungumzia hapo ukizingatia Fofana amekuwa nje kwa muda mrefu na Levi aliumia msimu jana baada ya kuwa anaanzishwa LFB.

Wengine wanasema Jana timu ilicheza mpira ila hakuna cha maana pale labda back passes kama mtu anabisha kaangalie mechi ya msimu jana ambayo tumedroo na City 4-4
 
Kocha nitaanza kum judge baada ya mechi tano. Mechi ya jana tumefungwa kwa tofauti ya ubora wa mchezaji mmoja mmoja. Savinho anachambua wachezaji wa watatu na bado anafika anapiga V pass na inafika, kovacic lile goli linatokana na gap kati ya midfield na back line hasa baada ya Lavia kutoka. Matatizo ya kina Jackson ni yaleyale tuliyokua tunayasema msimu uliopita.

Ndani ya mechi tano zijazo tutajua humu imo au hamna.
Kuna improvement kubwa, naamini kocha akishajua vizuri nani acheze wapi an wka opponent yupi Chelsea itakuwa tayari kushindania mataji next season kama Kocha hatatimuliwa tena
 
Umesoma kweli nilichokiandika au fatilia habar za chelsea kuanzia academy Uje U21 them nenda Strasbough we kama.

Mtu unaambiwa plan ya sasa hutaki basi fatilia hizo habar
Wewe utaumiza kicha hadi unywe upigwe sindano ya tramado kama unavimba na Arsenal, wale hawakubaliigi kushindwa
 
Ngoja tusubiri kwa sababu ni mwanzo wa msimu ila sidhani kama Enzo atapigwa bench so obvious Caisedo atalamba bench au wote watalazimika kuwa wanaanza na hili likitokea hakuna balance.

Udhaifu mwingine ni golikipa na baadhi ya wadau wanaliona. Sanchez hajui kudaka na kibaya zaidi ya hapo anabutua mipira mbele wakati tumeanishwa Petrovich hafai kwa sababu hajui kuanzisha pasi za mashambulizi, matokeo yake ilikuwa Sanchez akibutua Man city wanawin mpira alafu wanaanza mashambulizi na Chelsea inarudi kwenye presha ya kuanza kuudaka mpira.

CB bado sana na sitaki kuzungumzia hapo ukizingatia Fofana amekuwa nje kwa muda mrefu na Levi aliumia msimu jana baada ya kuwa anaanzishwa LFB.

Wengine wanasema Jana timu ilicheza mpira ila hakuna cha maana pale labda back passes kama mtu anabisha kaangalie mechi ya msimu jana ambayo tumedroo na City 4-4
Generally jana tulicheza vizuri, may be madhaifu ya Enzo, Jackson, Kipa na mabeki ndio ilichangia tusipate matokeo mazuri.

Ujue pia kuwa udhaifu wa City huwa ni counter attack au direct football ambayo siyo falsafa ya Chelsea kwa sasa. Uchezaji wa Maresca kwa Kipara kuna changamoto. Ila naamini tungekuwa na mfungaji mzuri bado jana City pamoaj na udhaifu wa timu tungewwabangua kama korosho
 
Hivi watu wamesahau kuwa jana tulicheza na Kocha aliyejibinafsishia EPL na amekuwa na Man city kwa miaka nane
Wanasahau kuwa tumecheza na Man city mabingwa wa mara nne mfululizo wa EPL
Kwamba tumecheza na timu inayorank na. 1 kwenye viwango vya UEFA
Hivi wanadhani tulikuwa na Luton au Ipswich Town?
Mashabiki wa Liverpool na Arsenal ebu fungeni midomo yenu vinginevyo tuwarekodi kwa ajili ya baadaye
 
Watu wametoa maoni ki ushabiki na utani ndani yake...wengine ata mpira hawakuangalia.
Ball position mara nyingi Chelsea walikuwa mbele ya Man
City.
Chelsea walicheza kama timu siyo kipindi cha Pochettino butuabutua...Timu moja kuifunga nyingine ni tactics za kimichezo.
Nimepata faraja kwa mechi ya Jana kuwa top 4 tunaingia iwe jua iwe mvua...wenye macho wameona Jana.
Watu wanatania Man City kuifunga Chelseaa wakati ndiye Bingwa msimu uliyoisha.
Kwamba Chelsea wangeifunga Man City ata kwa butuabutua ndiyo ingeleta mwanga kuwa timu sasa ipo vizuri?
 
Hatuna timu hapa , acha kupiga perfume nguruwe
 
FYI huwez fanya biashara if you can’t win.

Kama lengo ni biashara why unainvest 100M kwa 1 player???? Hii nadharia sio sahihi kwamba wako lengo la biashara. Huwez fanya biashara kama team inafanya vibaya

Kitu nachoamini wameamua kuwa na njia yao kama Kroenke alivyoamua, FSG walivyoamua

Wakat wa Roman yes tumepata mafanikio ila consistency haikuwepo huku mwishoni ndio maana unakuta msim huu bingwa msim ujao tumemaliza 10

Kitu wanachotaka kufanya ni team iwe na mwendelezo wa kutawala soka la uingereza kama city tu. Itachukua mda gani na maamuzi sahihi kufika hapo hapo ndio hatujui
 
Kweli sisi washabiki wa Chelsea hatuna jema, yaani timu ndio kwanza mechi ya kwanza, kocha mpya alafu wachezaji wengi ni under 24, hapohapo wamecheza na No 1 kwenye vilabu bado wameonyesha mchezo mzuri isipokuwa makosa madogo madogo yanayotokana na kutokuwepo muunganiko kwenye timu kwa kuwa hawajakaa pamoja kwa muda bado tunalaumu.

Hebu tuwape moyo, Mimi naona tatizo kubwa ni kipa na striker tukipata watu hao wenye uwezo tunatoboa top 4
 
Watu wametoa maoni ki ushabiki na utani ndani yake...wengine ata mpira hawakuangalia.
Ball position mara nyingi Chelsea walikuwa mbele ya Man
City.
Chelsea walicheza kama timu siyo kipindi cha Pochettino butuabutua...Timu moja kuifunga nyingine ni tactics za kimichezo.
Nimepata faraja kwa mechi ya Jana kuwa top 4 tunaingia iwe jua iwe mvua...wenye macho wameona Jana.
Watu wanatania Man City kuifunga Chelseaa wakati ndiye Bingwa msimu uliyoisha.
Kwamba Chelsea wangeifunga Man City ata kwa butuabutua ndiyo ingeleta mwanga kuwa timu sasa ipo vizuri?
Suala sio kumiliki mpira suala ni unamiliki mpira eneo lipi la uwanja. Na ukipoteza mpira unafanya nini kujipanga/kuzuia counter attack
Sio unajisifu upo na mpira wakati uko nyuma kwa matokeo na opponent kakuachia umiliki mpira sehemu ambazo sio hatari kwake
Timu itaimarika ila current situation tujiandae na maumivu makali na tuache kujipa cheap hope
 
Hili deal la Felix sidhan kama lilikuwa linahaja

hatuna haja ya no 10 kwa sasa,

LW na CF hizo ndio sehem tulizozihitaji tho Pedro anaweza cheza LW
CF
Neto palmer madueke

Halaf mwakan unawaongeza Estevao na Paez
 
Lw wapo
Mudryk - sio wa kutegemewa sana, bado anakua
Sterling ndio kashakataliwa na kocha
Neto - injury prone
Nkunku - ???

No. 10 wapo
Nkunku
Palmer

Kwa sababu tutakuwa na mechi nyingi na pia kuna wachezaji lazima wauzwe au wasiwepo kwenye timu, ujia wa Felix ni muhimu
Felix anaweza cheza LW, No 10, RW na second striker
Maresca anapenda wachezaji wenye profile kama ya Felix zaidi ya mchezaji kama Madueke
 
Kumchezesha mchezaj sehem ambayo hana madhara ni kazi bure jana tumeona Nkunku hatakiw kucheza Lw same to Enzo kucheza no 10

naona Sterling akiondoka na winga mwingine, carney chukwumeka
 
Maresca mtampenda tu bure.

Hakumbatii wachezaji wasiocheza vizuri.

Anakupa nafasi ucheze halafu usipojituma kucheza vizuri hapo hapo anakupiga ngumi ya uso.

Sterling ameambiwa atasota sana kuchez akama hatatafuta timu ya kuchezea.

Chilwell ameambiwa atafute timu ya kucheza kwa sababu Chelsea hana nafasi ambayo inamtoshea.

Broja naye alipewa muda wa kutosha pre-season kama Sterling halafu hawakuonyesha kama wanafaa
kubaki kwenye first team, naye atauzwa kwa sababu hatakiwi kubaki.

Petrovic, Galagher na Chalobah wao hawakujaribiwa kabisa, sijui aliwapima kupitia Youtube?

Wachezaji hawa watafuata nyayo za hao walioachwa 2025.

James, naona james anasota sana kucheza vizuri kwenye mfumo mpya. Yeye alizoea ule mfumo wa kucheza na kukimbia na mpira kwenye winga wa kulia.

Mudryk: yeye atapewa msimu mzima ili aonyeshe kama anafaa kubaki nchi ya ahadi, asipoonyesha anafaa tutamuweka sokoni 2025 tumuuze hata kwa bei ya hasara.

Sanchez:" haijalishi kocha amempa nafasi ya kwanza ya ugolkipa ila akiendlea kula bangi, atawekwa pembeni halafu 2025 tunamuweka sokoni kwa mil 3.

Enzo: Naona ile juhudi yake ya mwanzoni imefifia, uwanjani ni kama hajitumi kupress na kukimbia box to box kama zamani, naona exit door yake iko wazi msimu ule mbele baada ya 2025 kama hatabadilika. Msimu ujao hatutaki kuwa na mizigo uwanjani

Madueke: hatumuuzi kwa sababu hachezi vizuri wala hafai kwenye mfumo bali tutamuuza kwa sababu za conviniences. Tukimpata mchezaji bora kuliko yeye na mwenye kutupa options nyingi zaidi tunamuuza tena sio kwa kumsukuma ila taratibu, tutataka ada ya Euro milioni 60 au chini kabisa 50m. Pia akina Paez na Estevao Willian watakuwa wanakuja 2025 na wote wanaonekana wako tayari kwa first team.
 
Here we go! Romano: João Félix back to Chelsea on a six-year contract🚨
an hour ago / NuclearSA
According to Fabrizio Romano, João Félix is set to return Chelsea, signing a six-year contract
 
Pia Changamoto kubwa inayomkabili kocha ni ukubwa wa kikosi, wachezaji wengi sana mpaka wamemwagikia na bado wanaendelea kusajiliwa.

Kocha akisema ampange Kurwa Dotto analia, akimpanga Doto kurwa analia. Kabla dirisha halijafungwa wachezaji wapunguzwe kwa mkopo au kuuzwa, kocha abaki na wachezaji cream atakaoweza kuwamanage na kupata matokeo.
 
Maresca mtampenda tu bure
Hawaklumbatii wachezaji
Anakupa nasfai ucheze halafu usipojituma hapo hapo anakupiga ngumi ya uso
Sterling ameambiwa atasota sana kuchez akama hatatafuta timu ya kuchezea
Chilwell ameambiwa atafute timu ya kuchez akwa sababu Chelsea hatapewa
Broja naye alipewa muda wa kutosha pre season kama Sterling halafu hawakuonyesha kama wanafaa kubaki, naye anauzwa hatakiwi
Petrovic, Galagher na Chalobah wao hawakujaribiwa kabisa, sijui aliwapima kupitia Youtube?
Wachezaji hawa watafuata nyayo 2025
James, naona ansota sana kwenye mfumo mpya. Yeye alizoea ule mfumo wa kucheza pembeni tu na kuambaa na mpira pembeni wma uwanja
Mudryk: yeye atapewa msimu mzima, asipoonyesha anafaa 2025 sokoni
Sanchez:" haijalishi kocha amempa nafasi ya kwanza ila akiendlea kuvuta bangi, atawekwa pembeni halafu 2025 tunamuweka sokoni kwa mil 3
Enzo: Huyu naona ile juhudi yake ya mwanzoni imefifia, uwanjani ni kama hajitumi sana, naona kama dawa yake iko jikoni. Msimu ujao hatutaki kuwa na mizigo uwanjani

Issue ya Madueke hatumuuzi kwa sababu hachezi vizuri wala hafai kwenye mfumo bali tutamuuza kwa sababu za conviniences. Tukimpata bora kuliko yeye na mwenye kuofa vitu vizuri zaidi tunamuuza tena sio kwa kumsukuma, milioni 60 mwisho 50. Pia akina Paez na Estevao Willian watakuja 2025 na wote wanaonekana wako tayari kwa first team
Galagher na Chalobah hao ni uongozi kwa lengo la pure profit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom