Timu bado sana wala tusijifariji na sio kosa la kocha 100%
1. Bado hakuna chemistry ya uchezaji haswa under pressure wachezaji hawasomani, hawana mawasiliano
2. Kuna waliompuuza MP na mbinu zake za Run Run ila wachezaji wengi walichoka mapema sana inaonekana kuna mapungufu kwenye physical fitness maybe muda mwingi timu ilikuwa inafanyia mazoezi tactical issue ikasahau masuala ya physical awareness
3. Suala ya timu kuacha magepu ni ugonjwa ambao unatakiwa ufanyiwe kazi mapema mchezaji pekee mzuri kwenye kunusa hatari na njia ni Caseido. City hilo wameprove maana kila pasi hatari walikuwa wanaziona na kuzuia na hili suala sio la DM pekee ni suala la ulinzi shirikishi na kocha hapa anamtihani
4. Enzo anabebwa na price tag ila ni mzururaji mzuri na anawabebesha wenzie mzigo kwenye kukaba (poor on driving a ball while attacking space)
5. Hakuna winning mentality kabisa kwa wachezaji ni kama vile kamentality ka trust the process kamewaingia wachezaji na kuamini ipo siku tutakuwa winner ila sio leo hapa ndio timu kama Madrid& city wako kwenye sayari yao