Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rahim ameshindwa kuwa mfano wa kuigwa kwa akina Mudryk.

Sasa naona Maresca anaanza kunikosha kwa kuondoa flop na wachezaji asiowataka katika mfumo wake.

Kuna watu tunawapenda ila tutambue kuwa wanapaswa ku-earn nafasi zao kwenye mazoezi kwa kufanya anachotaka kocha.

The Blues wenzangu msimu unaanza na nina energy sana msimu huu.


Let back up our manager and the players. Tusiwafrustrate kwenye mitandao kwa sababu ya mikeka kuchanika.


This season naamini utakuwa msimu wa mageuzi maana tumeumia vya kutosha
Na kitakachomafanya Maresca afanikiwe ni hilo, tabia ya PEP, hakuna kumbeba mchezaji mgongoni kama habebeki
 
Hivi ni kweli Kocha hana mpango na Chilwell? Mbona naona Chilwell ni bonge la mchezaji mwenye kufit kila mfumo.
Waingerwza wengi hasa wazungu ni maguvu na kukimbia hakauna kingine. Ndo maana muda fulani Pochetino alimchezasha kama winga. Is not defensively enough to be a full ball and not aggressively enough to be a winger. Assume jamaa hawezi hata kushoot vzuri
 
hofu yangu leo ni defence yetu ikifanya makosa yale yale tutakuwa na siku ndefu.


Colwill na Fofana inabidi wawe makini sana leo

Come on The Blues
KTBFFH
 
Waingerwza wengi hasa wazungu ni maguvu na kukimbia hakauna kingine. Ndo maana muda fulani Pochetino alimchezasha kama winga. Is not defensively enough to be a full ball and not aggressively enough to be a winger. Assume jamaa hawezi hata kushoot vzuri
Chilwell tangu arudi majerruhi hakuweza kucheza tena vizuri, Pochettino alisumbuka naye sana hata Potter
 
hofu yangu leo ni defence yetu ikifanya makosa yale yale tutakuwa na siku ndefu.


Colwill na Fofana inabidi wawe makini sana leo

Come on The Blues
KTBFFH
Kwenye pre season wamekuwa wakiacha gap kubwa kati yao na viungo, Hapa nao viungo wana shida hasa Caicedo na Enzo. wanajisahau mara nyingi Chelsea ikipoteza mpira wanakuwa bado wako advanced sana. Inatakiwa kuwepo na Kiungo anayejitambua ambaye atashiriukian na mabeki kufanya hiyo gap kuwa finyu. Fofana kipekee bado mzito na anatoka kwenye nafasi yake huku akichelewa kurudi kwenye shape. Tuamini kocha kawafundiosha na kuwapa maelekzo na watafuata leo la sivyo Haaland anaweza fanay kama Pre season
 
Pigaaaaaa
Uaaaaaa
Malizaaaaa
Takatakaaaaa
Jinga kabisa😁😁😁
20220105_193554.jpg
 
Sikubahatika kuangalia mechi za pre season ila navyoiona timu imekuwa ulimbo nzito balaa utadhani wachezaji wamefungiwa mawe miguuni.
 
Antony Taylor kama kawaida yake hashindwi kuonesha chuki aliyonayo dhidi ya Chelsea. Katika hili hajawahi kufeli.
 
Kikosi kizuri sana leo ndio Caicedo ataonekana bora cos chini yake kuna Laiva atakuwa huru kuzunguka uwanja mzima kama Kante but sijapenda tu kuanza kwa Sanchez hapo kocha kayumba
Sanchez Bonge la garasa, sema tu Makocha nao ni Binadamu ila kiukweli hapaswi kuwa hata katika kikosi cha pili cha Chelsea SC.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Si mmeona dakika ya 47 tu ambavyo Sanchez katoa Boko, hivi hawa Makocha nao huwa wanakula ngada?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom