Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeona sehemu kuwa kukosi cha kuanza leo ni
Sánchez
Gusto, Fofana, Colwill, Cucurella.
KDH Caisedo Enzo
Nkunku Jackson Palmer.
 
Pamoja na yote bado sina imani na Sanchez. Petrovic aliperform vizuri sana wakati Sanchez majeruhi lakini kila kocha anakuja na mipango yake kutokana na kile anachokiona mazoezini
Filip alipoferm vizuri sana Laliga, angeweza kuwa bor kuliko Sanchez. Ngoja Sanchjez aklianza kumchoma Maresca atamtupa mapema sana
 
Nimeona sehemu kuwa kukosi cha kuanza leo ni
Sánchez
Gusto, Fofana, Colwill, Cucurella.
KDH Caisedo Enzo
Nkunku Jackson Palmer.
Sidhani kama KDH ataanza kabla ya Lavia au Enzo, huyo atakuwa Sub kwa mechi nyingi hadi perking order ifanye kazi yake na sio kwake tu hata kwa wachezaji wengine
 
Screenshot_20240818_155251_BeSoccer.jpg mara ya mwisho tunamfunga Man City hiki ndio kikosi kilichoanza Screenshot_20240818_155318_BeSoccer.jpg na hawa ndio walioanzia sub. Kabaki James peke yake naye ni majeruhi
 
picha za jioni ya leo zimeanza kuvuja
 
Attachments

  • FB_IMG_1723983634088.jpg
    FB_IMG_1723983634088.jpg
    25.8 KB · Views: 12
Confirmed Line Up vs Man City

----------------Jackson----------------------

Nkunku -----------Enzo -------------Palmer

------Caicedo -------------Lavia--------

Cucurella------Colwill------Fofana------Gusto

---------------Sanchez---------------------

Sub
  1. Fillip
  2. Tosin
  3. Badiashile
  4. KDH
  5. Neto
  6. Veiga
  7. Mudryk
  8. Madueke
  9. Marc Guiu
1723990993769.png
 
  6. Sterling
  7. Mudryk
  8. Madueke
  9. Marc Guiu
Kikosi kizuri sana leo ndio Caicedo ataonekana bora cos chini yake kuna Laiva atakuwa huru kuzunguka uwanja mzima kama Kante but sijapenda tu kuanza kwa Sanchez hapo kocha kayumba
 
Samahani, Sterling hata kwenye benchi hayupo, badala yake yupo Veiga. Ni kuomba Mungu wasiingie majeruhi
 
Taarifa kutoka kwa wawakilishi wa Raheem Sterling kuhusu kuachwa nje.

Hali ya kustaajabisha kuhusu mchezaji ambaye alisajiliwa kama mchezaji wa mara kwa mara kwa mshahara wa papo hapo.

"Raheem Sterling amepewa kandarasi na Klabu ya Soka ya Chelsea kwa miaka mitatu ijayo.
"Alirejea Uingereza wiki mbili mapema kufanya mazoezi ya mtu binafsi, na amekuwa na maandalizi mazuri ya msimu chini ya kocha mpya, ambaye amejenga uhusiano mzuri wa kufanya kazi naye.
"Amejitolea, kama zamani, kutoa kiwango cha juu kwa Chelsea FC na mashabiki, ambao anawaheshimu sana, na kutokana na kujumuishwa kwake katika nyenzo rasmi za klabu kabla ya mechi wiki hii, matarajio yetu yalikuwa kwamba Raheem angehusika. katika mechi ya wikendi hii kwa viwango fulani.
"Kama kambi, tumekuwa na mazungumzo chanya na, na uhakikisho kutoka kwa, Chelsea FC kuhusiana na mustakabali wa Raheem katika klabu, kwa hivyo tunatazamia kupata ufafanuzi juu ya hali hiyo.
"Hadi wakati huo, tutaendelea kuunga mkono hamu ya Raheem ya kuanza msimu mpya vyema."

1723991563708.png
 
View attachment 3073471
Kwa reaction hii ya camp ya Sterling simuoni Sterling akiichezea Chelsea tena. Hii reaction ni too agresive na ina ukatili mkubwa ndani yake kumlazimisha kocha amchezeshe mchezaji ambay anamjua fika tangu akiwa MAn city.

Natamani kwa hili saga iwe ndio fursa ya kumuuza Sterling Uarabuni atuondolee mzigo kwenye timu
 
You have a good point ila Veiga ni LCB kuliko RCB. Hivyo tutamtumia zaidi Colwil kama LCB na Fofana akiwa fit basi atacheza kama RCB. Kama Fofana akishindwa tumjaribu Tosin pia
Nilichokisema hapa naona ndo kocha kaanza nacho. Tuombe Fofana asiumie na atengeneze chemistry nzuri na Colwil.
 
Taarifa kutoka kwa wawakilishi wa Raheem Sterling kuhusu kuachwa nje.

Hali ya kustaajabisha kuhusu mchezaji ambaye alisajiliwa kama mchezaji wa mara kwa mara kwa mshahara wa papo hapo.

"Raheem Sterling amepewa kandarasi na Klabu ya Soka ya Chelsea kwa miaka mitatu ijayo.
"Alirejea Uingereza wiki mbili mapema kufanya mazoezi ya mtu binafsi, na amekuwa na maandalizi mazuri ya msimu chini ya kocha mpya, ambaye amejenga uhusiano mzuri wa kufanya kazi naye.
"Amejitolea, kama zamani, kutoa kiwango cha juu kwa Chelsea FC na mashabiki, ambao anawaheshimu sana, na kutokana na kujumuishwa kwake katika nyenzo rasmi za klabu kabla ya mechi wiki hii, matarajio yetu yalikuwa kwamba Raheem angehusika. katika mechi ya wikendi hii kwa viwango fulani.
"Kama kambi, tumekuwa na mazungumzo chanya na, na uhakikisho kutoka kwa, Chelsea FC kuhusiana na mustakabali wa Raheem katika klabu, kwa hivyo tunatazamia kupata ufafanuzi juu ya hali hiyo.
"Hadi wakati huo, tutaendelea kuunga mkono hamu ya Raheem ya kuanza msimu mpya vyema."

View attachment 3073471
Game ya 1 tu ya msim unatoa statement. Sterling kazingua hapa mentality ile ile kama ya lukaku ego.

Nahisi hapa ndio mwisho wake
 
Taarifa kutoka kwa wawakilishi wa Raheem Sterling kuhusu kuachwa nje.

Hali ya kustaajabisha kuhusu mchezaji ambaye alisajiliwa kama mchezaji wa mara kwa mara kwa mshahara wa papo hapo.

"Raheem Sterling amepewa kandarasi na Klabu ya Soka ya Chelsea kwa miaka mitatu ijayo.
"Alirejea Uingereza wiki mbili mapema kufanya mazoezi ya mtu binafsi, na amekuwa na maandalizi mazuri ya msimu chini ya kocha mpya, ambaye amejenga uhusiano mzuri wa kufanya kazi naye.
"Amejitolea, kama zamani, kutoa kiwango cha juu kwa Chelsea FC na mashabiki, ambao anawaheshimu sana, na kutokana na kujumuishwa kwake katika nyenzo rasmi za klabu kabla ya mechi wiki hii, matarajio yetu yalikuwa kwamba Raheem angehusika. katika mechi ya wikendi hii kwa viwango fulani.
"Kama kambi, tumekuwa na mazungumzo chanya na, na uhakikisho kutoka kwa, Chelsea FC kuhusiana na mustakabali wa Raheem katika klabu, kwa hivyo tunatazamia kupata ufafanuzi juu ya hali hiyo.
"Hadi wakati huo, tutaendelea kuunga mkono hamu ya Raheem ya kuanza msimu mpya vyema."

View attachment 3073471
Rahim ameshindwa kuwa mfano wa kuigwa kwa akina Mudryk.

Sasa naona Maresca anaanza kunikosha kwa kuondoa flop na wachezaji asiowataka katika mfumo wake.

Kuna watu tunawapenda ila tutambue kuwa wanapaswa ku-earn nafasi zao kwenye mazoezi kwa kufanya anachotaka kocha.

The Blues wenzangu msimu unaanza na nina energy sana msimu huu.

Let back up our manager and the players. Tusiwafrustrate kwenye mitandao kwa sababu ya mikeka kuchanika.

This season naamini utakuwa msimu wa mageuzi maana tumeumia vya kutosha
 
Kwa reaction hii ya camp ya Sterling simuoni Sterling akiichezea Chelsea tena. Hii reaction ni too agresive na ina ukatili mkubwa ndani yake kumlazimisha kocha amchezeshe mchezaji ambay anamjua fika tangu akiwa MAn city.

Natamani kwa hili saga iwe ndio fursa ya kumuuza Sterling Uarabuni atuondolee mzigo kwenye timu
Game ya 1 tu unapublish statement Sterling kazingua hapa.
 
Kupitia The Athletic jana walisema Fofana ndie RCB no. 1 na Colwill LCB no. 1. Wote ndio watakaoweka pivot kwenye bckaline ya 4
Sasa nikajiuliza Kocha anawezaje kusema hivyo wakati Fofana anaonekana bado kabisa hajarudi kwenye fitness yake. Kuwa nje miaka miwili sio mchezo.

Pia ningekuwa ni mimi kocha ningemjaribu Veiga kwenye LCB kwa sababu ni aggressive zaidi ya Colwill
Hiovyo hivyo ningemuweka James kwenye RCB na Gusto RB, kuna wakati wa Potter na Lampard kama sijakose a JAmes aliwahi kucheza kama RCB lakini kwenye backline ya

Ni kweli kaka Veiga ana kitu ila Colwil ni ball playing defender na hii sifa inambeba sana ktk huu mfumo. Hopefully atadevelop game yake.

Kwenye nafasi ya Fofana tulipaswa kusajiri mchezaji ila bad enough directors wapo busy kununua wachezaji wadogo ambao hata kwenye first eleven hawataingia.

Disasi alisajiliwa ila ni nguvu nyingi na akili kidogo wakati Maresca anataka akili zaidi.

Tosin ni mpya na ameonekana kuwa na makosa kadhaa.

Bila shaka Fofana akiharibu anaweza asipate tena hiyo nafasi maana wapo wengine.

James anaweza kucheza RCB wasiwasi wangu ni kuwa hiyo siyo nafasi yake asilia hivyo mara nyingi atajikuta akisogea mbele zaidi na hivyo atashindwa kuzuia count attacks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom