Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je huyo mashavu wako alianza ligi hivi? ebu tuone mechi 10 nini kitatokea
Mashavu alianza na draw tena mkampamba kwlikwli....hamtakaa mvune points 3 kwa timu kubwa kamwe....labda muwaotee Tottenham ila hakika kina Brighton na wenzake kina West ham tu hao watawatoa ngeu nyny....nilimwambia Kimbukiko na narudia tena...mna kikundi cha vijana machachari sana ila hamna timu....na akija Osimhen mzee wa vurugu ndo kabisa mtazidi kupotea
 
Muda ni jambo sahihi, kitu nachoamin
Game nyingi kubwa zinaamuliwa na nafasi unazozitumia tukiweza maliza nafasi zetu vizuri na tukapunguza individual error wakubwa tunawafunga vizuri tu.

Tunaweza kuwa tunadraw o tunafungwa ila the margin ni ndogo sana tena inakuja kwenye kutumia nafasi

Last season Sanchez error yake ndio iliwarudisha mchezoni wakat mlikuwa mshapoteana

Labda uwe umeamua kuongea kishabiki,
 
Mashavu alianza na draw tena mkampamba kwlikwli....hamtakaa mvune points 3 kwa timu kubwa kamwe....labda muwaotee Tottenham ila hakika kina Brighton na wenzake kina West ham tu hao watawatoa ngeu nyny....nilimwambia Kimbukiko na narudia tena...mna kikundi cha vijana machachari sana ila hamna timu....na akija Osimhen mzee wa vurugu ndo kabisa mtazidi kupotea
Sawa alianza game na draw je baada ya hapo ikaweje katika the next 6 games?
 
Sawa alianza game na draw je baada ya hapo ikaweje katika the next 6 games?
Aliboronga...Sasa na huyu naye muangalieni....sisi tunamuhesabia....Chelsea suala la kocha kupewa muda ni mtihani sana....labda Hawa wamiliki safari hii wawe wamejifunza....sikuona ulazima wa kumtimua Pochettino wakati alimaliza msimu very strongly....msimu huu naamini angeendeleza pale alipoishia....lakini tajiri miluzi akaruka naye
 
Tumerudi hatua kumi nyuma alipoacha ndg mashavu ,ndg mashavu angekuwa na lavia hakika pep achukui point hata mmoja
Sidhani kama tumerudi hatua 10 nyuma kwa kufanya hukumu ndani ya game 1, game zijazo na msimamo wa mwisho ndio utatoa taswira au mpkan mwez wa 12 hapo ndio tutajua kama tumerudi nyuma au tumepiga hatua.

If tukienda Xmass tuko ndani ya top 5 sidhan kama utakuwa unaweza kusema hiyo kauli yako o tunamaliza league ndani ya top 4 sidhan kama kauli yako itakuwa sahihi

Ndani ya game 1 tena against The Champions useme hivyo sidhan kama ni sahihi

Even Tuchel baada ya kutwaa UCL game ya msim uliofata dhidi ya city kwenye League hakufanilkwa hata Shot on Target na City huku tukitoka kumsajili lukaku je utasema umerudi hatua 10 nyuma???
 
Aliboronga...Sasa na huyu naye muangalieni....sisi tunamuhesabia....Chelsea suala la kocha kupewa muda ni mtihani sana....labda Hawa wamiliki safari hii wawe wamejifunza....sikuona ulazima wa kumtimua Pochettino wakati alimaliza msimu very strongly....msimu huu naamini angeendeleza pale alipoishia....lakini tajiri miluzi akaruka naye
Falsafa ya team, Kama unafatilia Poch sio mtu wa Possession based Football, na wachezaj wengu tulionao hawaendani na Uchezaji wa Poch.

Now chelsea wanatengeneza identity yao kuanzia academy mpka first team hadi kwa mult club kuwe na aina moja ya uchezaji.

Ni swala la mda
 
FYI huwez fanya biashara if you can’t win.

Kama lengo ni biashara why unainvest 100M kwa 1 player???? Hii nadharia sio sahihi kwamba wako lengo la biashara. Huwez fanya biashara kama team inafanya vibaya

Kitu nachoamini wameamua kuwa na njia yao kama Kroenke alivyoamua, FSG walivyoamua

Wakat wa Roman yes tumepata mafanikio ila consistency haikuwepo huku mwishoni ndio maana unakuta msim huu bingwa msim ujao tumemaliza 10

Kitu wanachotaka kufanya ni team iwe na mwendelezo wa kutawala soka la uingereza kama city tu. Itachukua mda gani na maamuzi sahihi kufika hapo hapo ndio hatujui
Mbona strategies wanazotumia ni za kishamba sana, Makocha wote waliowaleta ni mid table league standings kimafanikio, kwanini wasichukue Makocha wenye uzoefu na uwezo mkubwa kiufundishaji zaidi ya makosa yale yale ya kuwaleta akina Harry Potter, F. Lampard n.k?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
MOU ana uzoefu sana, yuko wapi? Pochettino ni mzoefu kafanya nini? Wazoefu ambao bado wazuri hawako sokoni??
 
MOU ana uzoefu sana, yuko wapi? Pochettino ni mzoefu kafanya nini? Wazoefu ambao bado wazuri hawako sokoni??
Bila ya Mourinho na Pochettinho ndiyo hakuna kabisa uwezekano wa kuwapata hao wazoefu na ufundi kubeba makombe darajani?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Falsafa ya team, Kama unafatilia Poch sio mtu wa Possession based Football, na wachezaj wengu tulionao hawaendani na Uchezaji wa Poch.

Now chelsea wanatengeneza identity yao kuanzia academy mpka first team hadi kwa mult club kuwe na aina moja ya uchezaji.

Ni swala la mda
habari za umiliki wa mpira sio utamaduni wa Chelkenge...hapa unanidanganya mkuu....Chelsea wao mpira wao ni more direct...mambo ya pasi nyingi hawana...mkitaka kuhamia kwny huu utamaduni Sasa inabidi hyu kocha apewe nafasi regardless of matokeo atakatoyapata msimu wte huu....mabadiliko yanachukua mda si suala la mda mfupi....Sasa je tajiri na mashabiki watavumilia??
 
Ngoja tuwaone mechi kumi za mwanzo lakini Nina mashaka na enzo Hali mirungi kweli...Poleni sana wana Chelsea, binafsi naamini Chelsea wana potential players wengi.
 
Hii timu leo imecheza vizuri, sijui uliangalia wapi ;akini tumecheza vizuri. Timu hii ni chnaga, madhaifu amchache yaliyojitoikeza tunategemea kwenye mechi zinazofuata zitapungua. Hii timu sio ya kugombe aubingwa kama Man City. PEP kawa nao kwa miaka nane, Meresca yuko na Chelsea kwa mwezi miezi miwili tu na kwa ligi ni mechi ya kwanza tu. Sasa wewe unaichambua Chelsea kama vile unaichambua City. Pole sana naona uchambuzi wako umeghubikwa na machungu ya kipenzi chako MP kutimuliwa. Kwenye mpira unatakiwa kuganya yajayo, ukianza kugeuka nyuma utageuzwa kuwa jiwe la chumvi
Mpira unahitaji uelewa.

Mdau hapo unamcritisize may be kwa sababu huelewi anachozungumzia.

Nilisema tangu pre season kuwa Lavia, Caisedo na Enzo hawawezi kucheza kwa wakati mmoja. Enzo siyo #10 kwa sababu Mara nyingi akitoa pasi kwa mshambuliaji utamuona anabaki nyuma yake kwa ajili ya kumpa support wakati #10 anapaswa anapotoa pass ashambulie half space ili ikiwezekana apewe tena mpira.

Udhaifu mwingine wa Enzo ni kwamba yuko slow. Kwa hiyo muda muda anaopokea mpira huwa mashambulizi yanapoa.

Pia Enzo hawezi kupress aggressively kama namba 10

Kitu ambacho Enzo anakiweza ni kutoa pass nzuri.

Pamoja na madhaifu ya beli ila #10 anahitajika.
 
Hiyo ya Enzo nakuunga mkono, tangu enzi za Pochettino Enzo alishindwa kabisa kucheza no. 10. Nkunku au Palmer wanafit hapo kabisa. Jana Nkunku kwenye LW alishindwa kucheza wide ili kuleta madhara. Mechi ni ya kwanza kabisa, haya madhaifu kocha kayaona na najua atayafanyia kazi jinsi Chelsea inavyozodi kucheza. Kayasema mwenyewe jana kwenye post match press conference
 
Kocha nitaanza kum judge baada ya mechi tano. Mechi ya jana tumefungwa kwa tofauti ya ubora wa mchezaji mmoja mmoja. Savinho anachambua wachezaji wa watatu na bado anafika anapiga V pass na inafika, kovacic lile goli linatokana na gap kati ya midfield na back line hasa baada ya Lavia kutoka. Matatizo ya kina Jackson ni yaleyale tuliyokua tunayasema msimu uliopita.

Ndani ya mechi tano zijazo tutajua humu imo au hamna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom