Mara nyingi matokeo mabovu ndio inayoimpa adui nguvu ya kudharau
Kwa mchezo huu huu Chelsea ingetoa droo au kushinda, wengi wanaosema Chelsea imecheza vibaya wangekuja kwa mbwembwe Chelsea imec heza vizuri
Contextually, kwa mazingira ya hii timu, ya kocha mpya, mfumo mpya, wachezaji wengi kutozoeana, hii mechi ya leo imeonyesha mwanga mzuri sana kwa mechi zijazo. Sihitaji kutumia nguvu kwajibu wala kuwapinga wenye mitizamo yao na wengine wakiendeshwa na hisia na mahaba kwenye timu zao au kocha wao au wachezaji wao ila mpira ulioonyeshwa na hawa vijana leo ni mkubwa mno. Bahgati mbaya tu hatukutoka na point.
Naamini Chelsea hii, kama mabeki wakiwa na consistency nzuri na tukaboresha kwa kumuajiri striker mzuri. Top 4 tutaingia hata kama kwa kuwaacha wengine wameze wembe