Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna tofauti kati ya umbali wa bus (CITY) ambalo ndio limefika Dodoma kuelekea Mwanza na bus lingine (THE BLUES) ndio kwanza lipo Mbezi Magufuli stand linamalizia kujaza abiria lianze safari ya kwenda Mwanza.
Basi la CITY limefika Mwanza, bus la THE BLUES ndio kwanza limefika Vigazwa na pancha juu limepaki pembeni
 
Hamna timu, huyu kocha ni wa timu ndogo ndogo ila si wa hadhi ya chelsea kabisa
Utadhani Machezaji yako piknik yamelegea legea na hakuna hata ukatili wa beki kama akina John Terry, Wananchi wananikonga roho hata hivyo 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Litimu linacheza kimlenda mlenda kama michezaji imebemendwa, yani chezaji linamsindikiza mpinzani kama Mke mwenza kisa linaogopa kadi ya njano 🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Na bado
Hakuna picha mtaacha kuona

Ndio kwanza ligi inaanza
Chelsick💔
 
Hivi Chelsea kocha wake ni nani sasahivi?

Aslam aleiykum.chelshit
Nilimiss kucheka😂😂😂😂
Angalau ligi imeanza

Habari gani Ostaz lembu
 
Nawashauri mrudi sokoni muongeze wachezaji naona mnahitaji mabeki 6, viungo DMs 4, na manamba tisa kama wa 3 hivi.
 
Hii gamu tungekuwa na mnyamazishaji kule mbele, city wasingetutambia hivi. Osimhen ni wa muhimu sana na nadhani matajiri walikuwemoi na wameona
'
Ila kwa upande mwingine timu imebalance sehemu nyingi na inaonekana Maresca anafanya nini
 
£ 308ml.....Dah.
FB_IMG_17240025913715269.jpeg
 
Timu haina pace wachezaji wamekata moto toka kipindi cha kwanza, sub hazikuwa na cha kuimprove timu, maamuzi ya hovyo ya kocha ni kumtoa Lavia na kumuacha Enzo anyway hukumu kamili ya kocha nitaanza itoa baada ya mechi 10 sababu timu imevurugwa kwa misimu 3 mfululizo.
Tujiandae kwa matokeo ya aina hii haswa kwenye mechi ndani ya miezi 2 ijayo
Issue ya Sanchez kocha anawajibika kwa 100%
 
Hii gamu tungekuwa na mnyamazishaji kule mbele, city wasingetutambia hivi. Osimhen ni wa muhimu sana na nadhani matajiri walikuwemoi na wameona
'
Ila kwa upande mwingine timu imebalance sehemu nyingi na inaonekana Maresca anafanya nini
Unajua sana kuwapa moyo wenzako...mlikosea sana kumuondoa mashavu Pochettino mkaleta hyu kipara....Sasa kwa mnavyocheza hivi...mtqdundwa mechi nyingi sana....TAfuteni wachezaji kama 7 hivi ndo timu ipate balance....vinginevyo mwezi wa 9 tu hapo mtaanza tena kumtukana hyu kocha
 
Hii gamu tungekuwa na mnyamazishaji kule mbele, city wasingetutambia hivi. Osimhen ni wa muhimu sana na nadhani matajiri walikuwemoi na wameona
'
Ila kwa upande mwingine timu imebalance sehemu nyingi na inaonekana Maresca anafanya nini
LEMBU unajipa moyo sana Mkuu.
Hakuna kitu hapo it is the same Old Chelsea, Money can't fix this, There is no quick fix. Without a proper plan na clear indentity.Mta spending na problems itabaki palepale.
 
Bado ni mapema kuanza kuihukumu timu.

Tumpe muda ila ukweli ni kuwa tumerudi nyuma tena. Kama unakataa angalia matokeao ya Chelsea kwenye mechi 10 nyuma
Usipoelewa hiuo hakuna mtu anaweza kukuelewesha.

Tuendelee kumpa kocha na wachezaji muda kwa sasa bado ni mapema
 
Kuna kiazi kinazurura kuwaaminisha wenzake wanachuku kombe msimu huu. Kinakuja nyuzi za watu kusumbua
 
LEMBU unajipa moyo sana Mkuu.
Hakuna kitu hapo it is the same Old Chelsea, Money can't fix this, There is no quick fix. Without a proper plan na clear indentity.Mta spending na problems itabaki palepale.
Kwani kwako kuna nin i, au kwa sababu mmeanza na Ipswich Town F.C.?
 
Timu haina pace wachezaji wamekata moto toka kipindi cha kwanza, sub hazikuwa na cha kuimprove timu, maamuzi ya hovyo ya kocha ni kumtoa Lavia na kumuacha Enzo anyway hukumu kamili ya kocha nitaanza itoa baada ya mechi 10 sababu timu imevurugwa kwa misimu 3 mfululizo.
Tujiandae kwa matokeo ya aina hii haswa kwenye mechi ndani ya miezi 2 ijayo
Issue ya Sanchez kocha anawajibika kwa 100%
Timu leo imecheza vizuri, tatizo pekee la Chelsea leo ni kule mbele. Bado Jackson ni wastefull. City wangepachikwa bao hata moja ingebadili mwendendo wa mechi. Natumaini kabla dirisha halijafungwa Osimhen atakuwa amesajiliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom