Hata Jackson anacheza vizuri kwenye hiyo na. 10, Felix kweli anaipenda Chelsea na hiyo inaweza kuwa ni asset ya kufanya vizuri ila kama mshahara na ada ya usajili itakuwa kubwa dili ni ngumuJiulize why felix hata Barce tu wenyewe hawajataka kumrudisha?
Why Atletico hawataki kuendelea nae??
Felix sio mbaya ila kwa sasa hatumuhitaji nafasi anayocheza kuna Nkunku na Palmer mda mwingine KDH n Carney wanacheza hapo
Kama ni winger sio winger mzuri
Kuipenda team sio shida, Shida kipi anachooffer ndani ya team ambacho kwa sasa hakipo??Hata Jackson anacheza vizuri kwenye hiyo na. 10, Felix kweli anaipenda Chelsea na hiyo inaweza kuwa ni asset ya kufanya vizuri ila kama mshahara na ada ya usajili itakuwa kubwa dili ni ngumu
Mimi sio mshabiki wa Felix hata kidogo, uchezaji wake sioni kama una add value kwenye timu. Hata performance wise naona hana tofauti kubwa na Mudryk. Ila kama ni lazima asajiliwe maana yake itabidi tuwauze wachezaji kama akina Sterling, Chukwuemeka.Kuipenda team sio shida, Shida kipi anachooffer ndani ya team ambacho kwa sasa hakipo??
Sio anacholeta kwenye team ambacho tumekikosa hivyo moja kwa moja sioni nafasi yake ndani ya team na hatumuhitaji
Kama SD wanaakili timamu hawatakiwi kurudia makosa yale yale, Penye shida panajulikana watatue hayo maeneo na si kutuletea Felix ambae eneo lake halina shida
Kwa hiuo issue ni image right au kufeli vipimo? Tuweke sawa hapo maana umetuchanganya kidogoChelsea waliweka masharti mapya ambayo Samu Omorodion hakuyapenda na aliumia sana.
Sasa nasikia Chelsea wanawekeza kumleta Victor Osimhen darajani. Mkataba wa Felix pia unajadiliwa kama mbadala wa Samu ili dili la Conor Gallagher lisiporomoke. Ada ya João Félix itakuwa kati ya Euro milioni 40-50.
View attachment 3067522
You have a clear vision of football bro. Kuja kwa Felix kuna madhara kwa Mudueke ambaye alikuwa na performance nzuri tangu amepewa nafasi msimu jana na hata hii pre season kaonyesha uwezo mzuri na anaonyesha improvement tofauti na Mudryk, Sterling na hawa walioko kwenye mkopo.Je Tunamuhitaji Joao Felix????
Naona Profile yake tunayo
Hata akicheza LW bado sio elite kwenye hiyo position.
Naona Usajili wake ni SD wanazingua tu Jorge Mendes ukimentertain huwa anapanda kichwan.
Kwa sasa hatumuhitaji Felix
Mkuu madueke huyuhuyu nnaemjua au Kuna usajili mpya umefanyika.Kwa uchezaji huu wa Pre season kama hatabadilika, Madueke ni bora kuliko Felix, workrate ya Madueke ni kubwa mno na Goal threat yake imekuwa kiasi cha kumlazimisha kocha kumchezesha Palmer katikati ili yeye ache RW
Ndg, Pedro hapimwi kwa magoli, yeye ana kazi maalumu tofauti na viungo wengine. Wee katafute stats nzuri za Kante kama utakuta lakini ni the top CM in the worldYou have a clear vision of football bro. Kuja kwa Felix kuna madhara kwa Mudueke ambaye alikuwa na performance nzuri tangu amepewa nafasi msimu jana na hata hii pre season kaonyesha uwezo mzuri na anaonyesha improvement tofauti na Mudryk, Sterling na hawa walioko kwenye mkopo.
Sasa unapomsajiri Pedro ambaye msimu jana kafunga goli mbili na Felix, Mudueke anabaki kama mchezaji pekee ambaye utamuuza na kupata faida hawa Mudryk na Sterling wataondoka kwa hasara tu.
Mimi nawaambia directors wanaonyesha incompetence ambayo sisi laymen tunaona, otherwise watakuwa wanaambiwa na matajiri cha kufanya na hawatumii akili zao.
By the way niwaulize swali, kuna mtu anajua kwa nini pre season nzima Nicolas Jackson hakucheza? Je kutokucheza kwake kuna uhusiano na kuja kwa Striker mpya Chelsea?
Kuna mtu anaelewa madhara ya hayo maamuzi?
Atletico Madrid hawawezi kumnunua Gallagher bila dili la Samu au mchezaji mwingine. Hili dili ni la wachezaji kupishana njia hata kama ni dili mbili tofauti yaani sio swap dealUnaweza proceed na deal tu sio lazima upate player kutoka Atletico,
Plan A ilikuwa ni kumpata Samu huku wewe ukimtoa Galagher kama Samu imeshindikana ruhusu Galagher ajiunge na Atletico wewe pata hizo hela kazitumie swhem zingine sio lazima upate mchezaji hapo
Chalobah sijawahi kumuelewa na sitamuelewa kamwe! Mtizamo tu.HT
0-1
Mimi tofauti niliyoona ni kwamba Mabeki wetu wanawapa muda washambuliaji wa Inter kufikiri, kupanga na kucheza kwenye boksi yetu wakati sisi kwenye penalty boksi yao hawatupi kupumua, mabeki wao wako agressive sana
Fofana bado sana kwenye kukaba na kuwa kwenye strategic position. Goli tulilofungwa Fofana alishindwa kukaba na alikuwa nje ya nafasi yetu. Kaharibu dfensive shape ndio maana tulifungwa kirahisi
Yaani Cucurella anajitahidi sana kuwasaidia hawa CB wetu wanapanuka sana, wanachelewa kurudi kuweka shape
Marc Guiu anajitahidi sana, Madueke yuko kwenye foirm nzuri. Enzo naye game yake imerudi, Mudryk naona kama anafufuka, kacheza vizuri leo tofauti na huko nyuma. Kifupi Chelsea imecheza vizuri, Mabeki tu wametuangusha
Naomab Uongozi ubadili mawazo Chalobah abaki
Felix is overrated, ana akili ya mpira ila huwa hawezi kashkash, hakabi pia maamuzi ya mwisho huwa hana kiviile maana huwa namfuatilia hata akiwa Barcelona. Mechi ngumu kama derbies utamkataa mapema sana.Madueke ni takataka anakimbia kimbia tu na mpira kama chizi, hiv kweli mnamfananisha na Felix mwenye akili ya mpira sio sawa hata kidogo.
Yaan mashabiki wa chelsea nyie wachezaji wenu mnaowataka ni wa hovyo hovyo tu eti Madueke, Ghallagar mara Challobah!! wachezaji wasiokuwa hata na akili moja ya kimpira.
Nikisema akili ya mpira Mwangalieni Palmer.
Inaweza ikawa hivyo ila sio wa kumlinganisha na Madueke jamani, ptuuuu!Felix is overrated, ana akili ya mpira ila huwa hawezi kashkash, hakabi pia maamuzi ya mwisho huwa hana kiviile maana huwa namfuatilia hata akiwa Barcelona. Mechi ngumu kama derbies utamkataa mapema sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Madueke hii preseason amekuwa bora sana anajua kuforce sana na yupo very directInaweza ikawa hivyo ila sio wa kumlinganisha na Madueke jamani, ptuuuu!
Madueke hakupaswa hata kua benchi la chelsea. Yaan madueke ni kama Odoi tu, utofauti ni zile rasta alizozifungia kitambaa.
Hapana, Madueke anaweza kulazimisha kuingia kwenye ngome yoyote ya upinzani, hata akikosa maamuzi sahihi ya mwisho anaweza kusababisha makosa kwa wapinzani pakapatikana penalty.Inaweza ikawa hivyo ila sio wa kumlinganisha na Madueke jamani, ptuuuu!
Madueke hakupaswa hata kua benchi la chelsea. Yaan madueke ni kama Odoi tu, utofauti ni zile rasta alizozifungia kitambaa.
Madueke akiweza kuweka consistency ya pre-season ameonyesha kuwa ni threat kubwa kwa maadui na ndio kazi kubwa ya winga. Pia ameweza kuingiza mipira mingi kwenye penalty boksi ambayo ndio kazi nyingine ya winga, pia amekuwa mchezaji bora wa pre-season kwenye 1v1. pia amekuwa na uwezo wa kufunga magoli.Hapana, Madueke anaweza kulazimisha kuingia kwenye ngome yoyote ya upinzani, hata akikosa maamuzi sahihi ya mwisho anaweza kusababisha makosa kwa wapinzani pakapatikana penalty.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sasa wewe unajua zaidi ya makocha? Madueke mnamuonea kwa performance yake ya msimu uliopitaInaweza ikawa hivyo ila sio wa kumlinganisha na Madueke jamani, ptuuuu!
Madueke hakupaswa hata kua benchi la chelsea. Yaan madueke ni kama Odoi tu, utofauti ni zile rasta alizozifungia kitambaa.