Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Atleti wanataka kumleta Joao Felix katika dili hilo, lakini Maresca anaona kipaumbele cha kusajili mshambuliaji. So kocha amemkataa Joao Felix. Mimi naona ni sawa, ila angweka na beki angalau mmoja mzoefu
 
Joao Felix amekubali kurudi Chelsea na yuko tayari kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa ili kuendana na muundo wa mishahara wa Chelsea.
 
Ninamsoma @marcosbenito9 akiripoti, inaonekana kama Chelsea wanaweka juhudi zaidi katika kumsajili Osimhen (huenda kwa mkataba wa kudumu) jambo ambalo limewafanya kuwa na wasiwasi wa kumnunua Omorodion.

Mpango wa mwanzo ilikuwa aidha Samu au Guiu mmoja aende mkop ila sasa baada ya Samu kukataa mkataba, Chelsea wanamtaka kwa udi na uvumba Osimhen na hii inaashiria kuwa Marc Guiu ataenda mkopo
 
Issue ni Atl;etico wanajitahidi ili wasimpoteze Gallagher na Julian Alvarez kwa sababu uuzwaji wa Samu ni muhimu kwa hizo dili mbili
Unaweza proceed na deal tu sio lazima upate player kutoka Atletico,

Plan A ilikuwa ni kumpata Samu huku wewe ukimtoa Galagher kama Samu imeshindikana ruhusu Galagher ajiunge na Atletico wewe pata hizo hela kazitumie swhem zingine sio lazima upate mchezaji hapo
 
Hivi kweli kuna madueke na Felix unaambiwa chagua mmoja unachagua madueke, aisee!!!
Jiulize why felix hata Barce tu wenyewe hawajataka kumrudisha?

Why Atletico hawataki kuendelea nae??

Felix sio mbaya ila kwa sasa hatumuhitaji nafasi anayocheza kuna Nkunku na Palmer mda mwingine KDH n Carney wanacheza hapo

Kama ni winger sio winger mzuri
 
Hii timu sijui itakuwaje msimu huu
Naomba msimu uanze faster tuone effects ya hizi changes walizofanya kama zimeleta impact yoyote
 
Kwani atletico hamna central defender mzuri tumchukue halafu tuuze mmoja au magalasa mawili kati ya hawa viazi badiashile ,Disasi au Fofana ?
Au tuyaoffload mawili Atletico Madrid halafu kubadilishana watupe central defender mmoja kitasa ili tuimarishe ukuta wetu toka hapo Atletico ?
Tetesi: Dili la Samu naona kama limekufa kabisa na pia kuna uwezekano Chelsea na Madrid wakashindwa kukubaliana kuhusu dili la Felix

Kama dili la Samu na Felix ikifeli, unadhani mchezaji gani wa Atletico Madrid tumchukue kama mbadala kwa sababu Madrid wanamtaka kwa udi na uvumba Gallagher
 
Hii timu ina directors wapumbav Sana
Una useless players
Kama kuna uwezekano wa kupatikana beki mzuri tuachane na dili la felix
Kama Disasi ,Badiashile na Fofana , kwa nini tusiuze hata kwa kuswap hao vilaza tupate defender mmoja mkali wa kusaidiana na Collwill na veiga na kutengeneza ukuta imara ?
 
Hii timu ina directors wapumbav Sana
Una useless players

Kama Disasi ,Badiashile na Fofana , kwa nini tusiuze hata kwa kuswap hao vilaza tupate defender mmoja mkali wa kusaidiana na Collwill na veiga na kutengeneza ukuta imara ?
Watabadilika tu hao akina Fofana na Disasi ila Badiashile sioni akibadilika kwani ameshaadhirika kiakili.
 
Halafu kuna Estevao na Kendry paez wanakuja msimu ujao , sasa sijui hii sajili ya João au Osimhen itakuwa na maana gani
 
Halafu kuna Estevao na Kendry paez wanakuja msimu ujao , sasa sijui hii sajili ya João au Osimhen itakuwa na maana gani
Usajili wa Osihmen hauingilii nafas za Estevao o Paez o mec ila sajili ya felix kwa namna moja au nyingine sio sajili inayotakiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom