Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tofauti kubwa ya Madueke na Felix.

Felix anaweza kufanya dribling nzuri popote uwanjani iwe pembezoni au katikati - Madueke ana mapungufu kidogo hapo.

Felix pia anajua kulink wenzake vizuri hata kwenye scenario ya pasi za haraka haraka - Madueke ana ubinafsi hapo.

Madueke anatumia nguvu akiwa anaserereka na mpira kitu ambacho Felix ni legelege.

Madueke ana uwezo mkubwa wa kuserereka na mpira kulia mwa uwanja hadi kwenye penalty boksi na kuleta madhara hapo mojawapo ikiwa ni ya kufunga, kutoa kona, kupasi kwenye boksi au kutoa assists kabis - Felix hawezi kabisa kuerereka na mpira pembeni mwa uwanja kama mawinga wengine wanavyofanya.

Madueke na Felix ni kama wako sawa kwenye GA ya msimu uliopita.

Madueke mechi 23 ana GA ya 7

Felix kwa mechi 30 ana GA ya 10

Ikiwa watapewa mechi 30 msimu huu wote wanaweza kuwa na GA ya 15 kila mmoja.

Conclusion

Mimi ningemchagua Felix au Madueke kulingana na ninavyotaka kuwatumia uwanjani.

Kama nahitaji winga mwenye uwezo wa kucheza vizuri kutokea kulia nitamchagua Madueke

Kama nitahitaji winga mwenye uwezo wa kucheza wide, yaani kushoito, kulia na number 10, nitamchukua Felix.

Turudi kwa Maresca

Yeye anataka mchezaji mwenye kuweza kucheza nafasi nyingi na kwa mukadha huu, Madueke yeye anaweza kucheza RW tu wakati Felix anaweza kucheza LW, RW, Na. 10 na second striker

So Felix win

1723538866067.png
 
View attachment 3068550
Sometimes football techniques, tactics, attitude, formations, philosophy, self choices za Kocha huamua ubora na kipaji cha Mchezaji kupanda na kushuka.
Mfano Beki Rudiger chini ya F.Lampard & T.Tuchel.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Sasa wewe unajua zaidi ya makocha? Madueke mnamuonea kwa performance yake ya msimu uliopita
Na udhaifu wake mkubwa ulikuwa akishatokwa na mpira hakabi wala haangaiki
Na nyie mnaolalamika wachezaji wanaonunuliwa mnajua kuliko wao wanaotoa hela zao kuwanunua??

Achaga kuuliza maswali ya kiduanzi.
 
Hapana, Madueke anaweza kulazimisha kuingia kwenye ngome yoyote ya upinzani, hata akikosa maamuzi sahihi ya mwisho anaweza kusababisha makosa kwa wapinzani pakapatikana penalty.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Atalazimisha sawa ila tunarudi kulekule akilia ya mpira ipo kwenye rasta.
Atapiga majalo katikati litakalompata akifunga mtamsifia ametoa assist. Ila kw winga mwenye akili anamchagua mtu either kw jalo au v pass.

Kaangalie pass ya Pulisic aliyotoa juzi mech ya pre season Ac milan vs baca. Ndio winga anavyotakiwa kua. Sio kukimbia tu kwnye box kutegemea penalt, Madueke anachokiweza ni juhudi za kukimbia tu kwenye box bila akili.
 
Hapana msifikie hatua za kutoleana lugha hizi kama wale Watoto wa Arse8, hebu tuwe mfano uliostaarabika kwenye uzi wetu wana Chelsea.
Hivi kweli we unavyotoa mawazo yako ni unajua kuliko kocha??? au ni mawazo yako tu? Sasa mtu anavyokwambia hivyo anamaanisha nn?
 
Atalazimisha sawa ila tunarudi kulekule akilia ya mpira ipo kwenye rasta.
Atapiga majalo katikati litakalompata akifunga mtamsifia ametoa assist. Ila kw winga mwenye akili anamchagua mtu either kw jalo au v pass.

Kaangalie pass ya Pulisic aliyotoa juzi mech ya pre season Ac milan vs baca. Ndio winga anavyotakiwa kua. Sio kukimbia tu kwnye box kutegemea penalt, Madueke anachokiweza ni juhudi za kukimbia tu kwenye box bila akili.

Atalazimisha sawa ila tunarudi kulekule akilia ya mpira ipo kwenye rasta.
Atapiga majalo katikati litakalompata akifunga mtamsifia ametoa assist. Ila kw winga mwenye akili anamchagua mtu either kw jalo au v pass.

Kaangalie pass ya Pulisic aliyotoa juzi mech ya pre season Ac milan vs baca. Ndio winga anavyotakiwa kua. Sio kukimbia tu kwnye box kutegemea penalt, Madueke anachokiweza ni juhudi za kukimbia tu kwenye box bila akili.
Pulisic hana tofauti na akina Havertz yani akili nyingi ila pumzi hakuna na mpira wa leo unataka uwe na pumzi uweze kupanda na kushuka. Madueke ana kipaji kizuri maana hucheza miguu yote japokuwa ni mbinafsi wa pasi za mwisho.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hivi kweli we unavyotoa mawazo yako ni unajua kuliko kocha??? au ni mawazo yako tu? Sasa mtu anavyokwambia hivyo anamaanisha nn?
Utofauti wa mawazo ndiyo mjadala wenyewe na kupitia hoja tofauti tofauti lazima ukusanye madini mazuri maana tunazidiana uchambuzi, ujengaji wa hoja, uwasilishaji na hata uelewa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Pulisic hana tofauti na akina Havertz yani akili nyingi ila pumzi hakuna na mpira wa leo unataka uwe na pumzi uweze kupanda na kushuka. Madueke ana kipaji kizuri maana hucheza miguu yote japokuwa ni mbinafsi wa pasi za mwisho.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hicho hapo chini ndicho kinachokera zaidi, ubinafsii dah!
 
Madhaifu ya kibinadamu hayo ambapo Wachezaji huzidiana, mfano Ronaldinho alikuwa ana uwezo mkubwa sana kukabiliana na hasira hata akichezewa rafu gani alikuwa hapaniki sana sana alikuwa ananyanyuka na kutabasamu, njoo sasa kwa akina Cr 7 au Messi ni vituko tupu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Utofauti wa mawazo ndiyo mjadala wenyewe na kupitia hoja tofauti tofauti lazima ukusanye madini mazuri maana tunazidiana uchambuzi, ujengaji wa hoja, uwasilishaji na hata uelewa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Yah! Tunatofautiana kimtazamo ila sio kwamba najua kuliko kocha. Mfano mchezaji kama Doku cjawahigi mkubali namuona mzinguaji tu. Ila Pep anampanga kwenye timu yake, kwa hiyo kama simuelewi kitazamo wangu sio kwamba najua kuliko Pep. Ila mi namuona ni mchezaji mbovu kuwahi kutokea. Akili ya mpira hana.

Mi ni muumini mzur sana wa wachezaji wenye akili y mpira, si hayo mazagazaga mi mbio tu bila akili.
 
Atalazimisha sawa ila tunarudi kulekule akilia ya mpira ipo kwenye rasta.
Atapiga majalo katikati litakalompata akifunga mtamsifia ametoa assist. Ila kw winga mwenye akili anamchagua mtu either kw jalo au v pass.

Kaangalie pass ya Pulisic aliyotoa juzi mech ya pre season Ac milan vs baca. Ndio winga anavyotakiwa kua. Sio kukimbia tu kwnye box kutegemea penalt, Madueke anachokiweza ni juhudi za kukimbia tu kwenye box bila akili.
Ila we una chuki nae ndio kwanza ana miaka 22 unamuhukumu kiasi hicho
 
Huwezi amini sina hata chuki nae, na kwann niwe na chuki kwa mtu ambae hata hanijui. ni vile sioni anachokicheza. Siku akibadilika kiuchezaji akacheza mpira wa akili mimi mimi utaona nikimsifia.

Hakuna mchezaji nilikua namatumaini nae kama mudryk akili y mpira naona anayo, siku hizi namuona mzinguaji tu, mbio zisizokua na akili. Nae utasema nina chuki nae?
 
Na nyie mnaolalamika wachezaji wanaonunuliwa mnajua kuliko wao wanaotoa hela zao kuwanunua??

Achaga kuuliza maswali ya kiduanzi.
Wewe ni mtu wa hisia balaa, nakufuatilia sana kwenye michango yako, ukiguswa sehemu utadhani umevuliwa nguo wakati huu ni mjadala wa mpira tu. Natamni hata ningekuwa mbele yako ungerusha ngumi au panga. Pole sana
hII ni mpira na sisi ni mashabiki tu kwa ajili ya burudani. Kama wewe kutukana ndio inakupa burudani pole sana
 
Sometimes football techniques, tactics, attitude, formations, philosophy, self choices za Kocha huamua ubora na kipaji cha Mchezaji kupanda na kushuka.
Mfano Beki Rudiger chini ya F.Lampard & T.Tuchel.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hapo umenena, na hasa kwenye choice ya kocha kwamba anamtaka mchezaji amtumiaje kulingana na talents alizonazo. Hapo mashabiki wengi huwa tunaachwa tumeduwaa
Mfano Gallgher wengi tunamuona ni mchezaji muhimu Chelsea l;akini kocha kamuona sio muhimu kulingana na mfumo anaoutaka wa uchezaji na mashabiki tukabaki kumlaumu na kudowngrade kocha.
Ngoja sasa Maresca afanye vibaya hata kidogo, mjadala wa Gallagher kuuzwa utarudi upya
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season

Nkunku-------Jackson------Palmer

----Enzo -----Caicedo-----Lavia----

Cucurella---Tosin ---James----Gusto

-------------Jorgensen-------------

Super sub:

1) Veiga for Cucurella
2) Colwill for James/Tosin
3) KDH for Enzo/Lavia
4) Neto for Nkunku
5) Guiu for Jackson
6) Madueke for Palmer
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season

Nkunku-------Jackson------Palmer

----Enzo -----Caicedo-----Lavia----

Cucurella---Tosin ---James----Gusto

-------------Jorgensen-------------

Super sub:

1) Veiga for Cucurella
2) Colwill for James/Tosin
3) KDH for Enzo/Lavia
4) Neto for Nkunku
5) Guiu for Jackson
6) Madueke for Palmer
Dili la Osimhen vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom