Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndg, Pedro hapimwi kwa magoli, yeye ana kazi maalumu tofauti na viungo wengine. Wee katafute stats nzuri za Kante kama utakuta lakini ni the top CM in the world

Pili Japo siungi mkono ujio wa Felix kwa 100% lakini haiepukiki kama fursa zitaruhusu
Ujio wa Felix ni ili dilim la Gallagher lisifeli
Pili Chelsea wameshasema bei nzuri ikija watamuuza Madueke hata Felix asipokuja
Tatu Sterling huyo anaaenda Juventus, asipoondoka msimu huu msimu ujao ni the must do business
Pedro ni natural winger siyo kiungo. Rekebisha hapo
 
MAra 100 Jackson atokee kulia au kushoto atafutwe mtu wa katikati...Jackson ameshashindwa kutumia mipira anayopewa kutokea kwa mawinger...Naiona Chelsea kama inayo kikosi kizuri sana ila nakatishwa tamaa na uwepo wa Jackson kama center forward.
 
You have a clear vision of football bro. Kuja kwa Felix kuna madhara kwa Mudueke ambaye alikuwa na performance nzuri tangu amepewa nafasi msimu jana na hata hii pre season kaonyesha uwezo mzuri na anaonyesha improvement tofauti na Mudryk, Sterling na hawa walioko kwenye mkopo.

Sasa unapomsajiri Pedro ambaye msimu jana kafunga goli mbili na Felix, Mudueke anabaki kama mchezaji pekee ambaye utamuuza na kupata faida hawa Mudryk na Sterling wataondoka kwa hasara tu.

Mimi nawaambia directors wanaonyesha incompetence ambayo sisi laymen tunaona, otherwise watakuwa wanaambiwa na matajiri cha kufanya na hawatumii akili zao.

By the way niwaulize swali, kuna mtu anajua kwa nini pre season nzima Nicolas Jackson hakucheza? Je kutokucheza kwake kuna uhusiano na kuja kwa Striker mpya Chelsea?

Kuna mtu anaelewa madhara ya hayo maamuzi?
Kwa Jackson kutocheza ni kwa sababu alikuwa na majeruhi, aliyapata akiwa national team
 
Madueke akiweza kuweka consistency ya pre-season ameonyesha kuwa ni threat kubwa kwa maadui na ndio kazi kubwa ya winga. Pia ameweza kuingiza mipira mingi kwenye penalty boksi ambayo ndio kazi nyingine ya winga, pia amekuwa mchezaji bora wa pre-season kwenye 1v1. pia amekuwa na uwezo wa kufunga magoli.

Akicheza mfululizo kwenye ligi hata mechi 30 kwa form hii aliyonayo anaweza funga 10+ goal au GA ya 15 ambayo kwa umri wake ni stats nzuri sana

Nakumbushia tu Madueke ana miaka 22

Pia tukimuuza kwa sasa akiwa na form nzuri itakuwa jambo jema pia kwani atatuletea pesa kubwa
Madueke arekebishe kwanza tabia, Ni mchezan mzuri ila tabia, Anajiona ashakuwa superstar
 
MAra 100 Jackson atokee kulia au kushoto atafutwe mtu wa katikati...Jackson ameshashindwa kutumia mipira anayopewa kutokea kwa mawinger...Naiona Chelsea kama inayo kikosi kizuri sana ila nakatishwa tamaa na uwepo wa Jackson kama center forward.
Ni kweli Jackson sio clinical finisher akicheza kama striker na nashangaa makocha wanamuweka tu hapo kwenye striker labda kwa vile hatukuwa na striker. Ila sasa tukipata striker mzuri Jackson atafanywa winga na kushindania hizo nafasi na mawinga wengine
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season

Nkunku-------Jackson------Palmer

----Enzo -----Caicedo-----Lavia----

Cucurella---Tosin ---James----Gusto

-------------Jorgensen-------------

Super sub:

1) Veiga for Cucurella
2) Colwill for James/Tosin
3) KDH for Enzo/Lavia
4) Neto for Nkunku
5) Guiu for Jackson
6) Madueke for Palmer
Aliyepanga hichi kikosi atafanya watu washuke daraja😂😂😂 huwezi panga James/Cucu/Gusto wote waanze kwa pamoja
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season

Nkunku-------Jackson------Palmer

----Enzo -----Caicedo-----Lavia----

Cucurella---Tosin ---James----Gusto

-------------Jorgensen-------------

Super sub:

1) Veiga for Cucurella
2) Colwill for James/Tosin
3) KDH for Enzo/Lavia
4) Neto for Nkunku
5) Guiu for Jackson
6) Madueke for Palmer
James CB?
 
Mjomba nchumali ligi haijaanza tayari ameshalala kitandani , huyu auzwe tuu hata mwenye 5m alete
 

Attachments

  • 20240812_185827.jpg
    20240812_185827.jpg
    169.4 KB · Views: 24
Chelsea is the only club giving Fabrizio Romano problem 😂😂😂😂

From here we go to here we return 😂😂😂

Omoh I no fit laugh 🤣😂

Screenshot_20240813-201905.png
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season Nkunku-------Jackson------Palmer ----Enzo -----Caicedo-----Lavia---- Cucurella---Tosin ---James----Gusto -------------Jorgensen------------- Super sub: 1) Veiga for Cucurella 2) Colwill for James/Tosin 3) KDH for Enzo/Lavia 4) Neto for Nkunku 5) Guiu for Jackson 6) Madueke for Palmer
 
MAra 100 Jackson atokee kulia au kushoto atafutwe mtu wa katikati...Jackson ameshashindwa kutumia mipira anayopewa kutokea kwa mawinger...Naiona Chelsea kama inayo kikosi kizuri sana ila nakatishwa tamaa na uwepo wa Jackson kama center forward.
Usichojua ni kuwa kati ya wachezaji wote Arsenal, Man City, Liverpool, Man U, Tottenham, anayemzidi Jackson maholi ni Halaand, Palmer na Bukayo saka tena Saka kapiga mapenalty kibao.

Usisahau Jack huu ni msimu wake wa kwanza. Alichofanya kilimshinda Morata, Higuain, Kai na hata Timo Werner
 
Ofa ya Chelsea kwa Victor Osimhen ni €60M pamoja na €10M za bonasi, pamoja na uhamisho wa Lukaku kwenda Napoli katika makubaliano tofauti. Mazungumzo kati ya wahusika yanaendelea kwa kasi zaidi kuliko hapo awali. Chelsea itampa Mnigeria huyo mshahara wa £10M kwa mwaka.
1723594578058.png
 
EXCL: Armando Broja yuko tayari kujiunga na VFB Stuttgart kwa mkopo kutoka Chelsea na chaguo la kununua kati ya €15-20m.

Masharti ya kibinafsi yamekubaliwa kwa 100%.

Vilabu vyote viwili vitaendelea na mazungumzo ili kufikia makubaliano kamili juu ya ada ya mkopo.

Zaidi ya kufuata hivi karibuni
#CFC
@topskillsportuk

1723595394465.png
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Tofauti kubwa ya Madueke na Felix.

Felix anaweza kufanya dribling nzuri popote uwanjani iwe pembezoni au katikati - Madueke ana mapungufu kidogo hapo.

Felix pia anajua kulink wenzake vizuri hata kwenye scenario ya pasi za haraka haraka - Madueke ana ubinafsi hapo.

Madueke anatumia nguvu akiwa anaserereka na mpira kitu ambacho Felix ni legelege.

Madueke ana uwezo mkubwa wa kuserereka na mpira kulia mwa uwanja hadi kwenye penalty boksi na kuleta madhara hapo mojawapo ikiwa ni ya kufunga, kutoa kona, kupasi kwenye boksi au kutoa assists kabis - Felix hawezi kabisa kuerereka na mpira pembeni mwa uwanja kama mawinga wengine wanavyofanya.

Madueke na Felix ni kama wako sawa kwenye GA ya msimu uliopita.

Madueke mechi 23 ana GA ya 7

Felix kwa mechi 30 ana GA ya 10

Ikiwa watapewa mechi 30 msimu huu wote wanaweza kuwa na GA ya 15 kila mmoja.

Conclusion

Mimi ningemchagua Felix au Madueke kulingana na ninavyotaka kuwatumia uwanjani.

Kama nahitaji winga mwenye uwezo wa kucheza vizuri kutokea kulia nitamchagua Madueke

Kama nitahitaji winga mwenye uwezo wa kucheza wide, yaani kushoito, kulia na number 10, nitamchukua Felix.

Turudi kwa Maresca

Yeye anataka mchezaji mwenye kuweza kucheza nafasi nyingi na kwa mukadha huu, Madueke yeye anaweza kucheza RW tu wakati Felix anaweza kucheza LW, RW, Na. 10 na second striker

So Felix win

View attachment 3068550
Kweli mwenye mtoto haoni kasoro.
Hadi kesho nabaki najiuliza ni ubora gani wa madueke mnaouhubiri humu ndani? Madueke huyuhuyu tunaemuangalia sote ndye mseme ni Bora kwa Joao, seriously? Ni basi tu pengine Joao ana kigundu chake lakn ni dhambi kubwa ya mpira kumfananisha na noni, Joao is far better. Yaani hata mkisema ana potential bado sioni hiyo potential kwa noni, jamaa ana-dribble mpira mpk sehemu ambayo alitakiwa kufanya kitu cheoesi sana.
 
Kweli mwenye mtoto haoni kasoro.
Hadi kesho nabaki najiuliza ni ubora gani wa madueke mnaouhubiri humu ndani? Madueke huyuhuyu tunaemuangalia sote ndye mseme ni Bora kwa Joao, seriously? Ni basi tu pengine Joao ana kigundu chake lakn ni dhambi kubwa ya mpira kumfananisha na noni, Joao is far better. Yaani hata mkisema ana potential bado sioni hiyo potential kwa noni, jamaa ana-dribble mpira mpk sehemu ambayo alitakiwa kufanya kitu cheoesi sana.
Hamna kitu humo zaidi ya mahaba yako tu kwa Joao Felix, hakufanya chochote akiwa Chelsea SC na hata Barcelona pia hakuna anachofanya, mi huwa namuangalia kila achezapo nikiwa home kupitia DSTV.

Ila naheshimu mawazo yako maana kimfaacho Mtu kipo machoni pake yeye mwenyewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Recommended Chelsea XI in 24/25 Season

Nkunku-------Jackson------Palmer

----Enzo -----Caicedo-----Lavia----

Cucurella---Tosin ---James----Gusto

-------------Jorgensen-------------

Super sub:

1) Veiga for Cucurella
2) Colwill for James/Tosin
3) KDH for Enzo/Lavia
4) Neto for Nkunku
5) Guiu for Jackson
6) Madueke for Palmer
Hapo kwa James umepuyanga , James anaweza cheza kama central defender ,?
Tosin na veiga Ndio wacheze mabeki wa kati kushoto acheze cucurela na kulia Gusto au James
 
Huenda tukapigwa ban ya kusajili kwa sababu ya makosa yaliyotokea kwenye uongozi wa Abramovich.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom