natumia hii ya twitterMwenye link tafadhali
hawaonyeshiNaomba kujua DSTV wanaonesha game hii chane number ngapi. Au kama mtu ana link naomba anitumie
Sawa Nashukuru kwa taarifaChilwell anauzwa. Maresca ameshasema hafai kwenye mfumo wake
Sijui kwanini hatuoni hii nafasi ya defenderHT
0-1
Mimi tofauti niliyoona ni kwamba Mabeki wetu wanawapa muda washambuliaji wa Inter kufikiri, kupanga na kucheza kwenye boksi yetu wakati sisi kwenye penalty boksi yao hawatupi kupumua, mabeki wao wako agressive sana
Fofana bado sana kwenye kukaba na kuwa kwenye strategic position. Goli tulilofungwa Fofana alishindwa kukaba na alikuwa nje ya nafasi yetu. Kaharibu dfensive shape ndio maana tulifungwa kirahisi
Yaani Cucurella anajitahidi sana kuwasaidia hawa CB wetu wanapanuka sana, wanachelewa kurudi kuweka shape
Marc Guiu anajitahidi sana, Madueke yuko kwenye foirm nzuri. Enzo naye game yake imerudi, Mudryk naona kama anafufuka, kacheza vizuri leo tofauti na huko nyuma. Kifupi Chelsea imecheza vizuri, Mabeki tu wametuangusha
Naomab Uongozi ubadili mawazo Chalobah abaki
Kumbe na wewe umemuona Veiga. Yuko aggressive anapaswa kuingizwa kwenye first 11Kwa mtazamo wangu naona kocha anatakiwa afanye kwenye defence line yetu central defenders ajaribu kuwa Tosin na Veiga kushoto Cucurella, kulia Agusto itatusaidia sana kwanini Veiga acheze centre nimemuona ni aggressive, leader na mtulivu akifanya hivi kiasi fulani tutapunguza udhaifu kwenye hili eneo tofauti na hapo ukuta utakuwa unavuja sana
Mabeki wetu bado wanamakosa ya kijinga.HT
0-1
Mimi tofauti niliyoona ni kwamba Mabeki wetu wanawapa muda washambuliaji wa Inter kufikiri, kupanga na kucheza kwenye boksi yetu wakati sisi kwenye penalty boksi yao hawatupi kupumua, mabeki wao wako agressive sana
Fofana bado sana kwenye kukaba na kuwa kwenye strategic position. Goli tulilofungwa Fofana alishindwa kukaba na alikuwa nje ya nafasi yetu. Kaharibu dfensive shape ndio maana tulifungwa kirahisi
Yaani Cucurella anajitahidi sana kuwasaidia hawa CB wetu wanapanuka sana, wanachelewa kurudi kuweka shape
Marc Guiu anajitahidi sana, Madueke yuko kwenye foirm nzuri. Enzo naye game yake imerudi, Mudryk naona kama anafufuka, kacheza vizuri leo tofauti na huko nyuma. Kifupi Chelsea imecheza vizuri, Mabeki tu wametuangusha
Naomab Uongozi ubadili mawazo Chalobah abaki
Chelseaimecheza mpira boring sana na kutokana na Inter kuweza kuzuia njia za timu yeti kuset up mashambulizi hata baada ya kuja Caisedo hakuna alichosaidia.Yaani tukiweza kuboresha kwenye defense, timu hii iko tayari kupigania top 4 msimu huu
Nina wasiwasi hukuangalia huu mpira. Chelsea imecheza vizuri sana hasa ikiwa na mpira. Ukiacha mabeki kujisahau kurudi kwenye shape, kila position wamecheza vizurti. Cha kushangaza hata Mudryk leo kacheza vizuri sana tofauti na mechi za mwanzo za pre seaosn. Pata muda uangalie replay.Chelseaimecheza mpira boring sana na kutokana na Inter kuweza kuzuia njia za timu yeti kuset up mashambulizi hata baada ya kuja Caisedo hakuna alichosaidia.
Defensively we are very poor than EPL mid table teams ukiachilia mbali Tottenham na Aston Villa
Leo Mudryk kacheza vizuri na anastahili pongezi hata kama kuna nyakati kapotea kwenmye maamuziMabeki wetu bado wanamakosa ya kijinga.
Goal tulilofungwa Fofana hakupaswa kutoka sehem aliyokuwepo if ameamua kutoka ilifaa acheze mpira kwq vyovyote vile kwa sabab tayar alikuwa ashamuacha free Thuram.
Mudryk decision making yako bado iko chini sana nitofauti na Madueke
Tunatengeneza Nafasi ila kuzimalizia bado shughuli.
Build up yetu iko vizuri tho off the ball bado tuna mapungufu kidogo, Ila utofauti unaonekana na mechi zilizopita.
PS.
Naona kwa uchezaji huu Chilwell ndio bye bye.
Veiga n Cucurel wanaoffer kitu tofauti na Chilwell anachooffer
Ugochokwu naona kwenye hii pre season katulia sana
Kwa mfano baada ya kudribble Mudryk alikuwa anafanya nini? Mpira wa Cjelsea umebadilika baada ya Palmer na nNkunku kuingia. Kabla yao zilikuwa back pass tena Mudueke alikuwa anafanya mambo ya maana pale mbeleNina wasiwasi hukuangalia huu mpira. Chelsea imecheza vizuri sana hasa ikiwa na mpira. Ukiacha mabeki kujisahau kurudi kwenye shape, kila position wamecheza vizurti. Cha kushangaza hata Mudryk leo kacheza vizuri sana tofauti na mechi za mwanzo za pre seaosn. Pata muda uangalie replay.
Kuwazuia Inter sio kazi rahisi. Mimi naona huu mchezo wa leo ndio kipimo sahihi cha kupima kama Chelsea iko tayri kuanza ligi. Japo consistency inaweza ikatuumiza lakini naona Chelsea ya Maresca iko tayari. Hata hii mechi na city usishangae tukishinda au kudroo
Tangu mwanzo mpira ulikuwa mzuri labda sio kwa kiwango ulichotaka ila kuna improvement kubwa tofauti na mechi na Real Madrid. Ubora wa Inter ndio ulizuia matokeo yasiwe mazuri.Kwa mfano baada ya kudribble Mudryk alikuwa anafanya nini? Mpira wa Cjelsea umebadilika baada ya Palmer na nNkunku kuingia. Kabla yao zilikuwa back pass tena Mudueke alikuwa anafanya mambo ya maana pale mbele
Chelsea wamecheza vizuri sana sema ni kwamba defenders wetu wanamakosa binafsiChelseaimecheza mpira boring sana na kutokana na Inter kuweza kuzuia njia za timu yeti kuset up mashambulizi hata baada ya kuja Caisedo hakuna alichosaidia.
Defensively we are very poor than EPL mid table teams ukiachilia mbali Tottenham na Aston Villa
Mudryk ni mzuri pale mnapocheza mpira wa haraka au counter attack ndio maana game yake iliongezeka baada ya kuingia Palmer na NkunkuKwa mfano baada ya kudribble Mudryk alikuwa anafanya nini? Mpira wa Cjelsea umebadilika baada ya Palmer na nNkunku kuingia. Kabla yao zilikuwa back pass tena Mudueke alikuwa anafanya mambo ya maana pale mbele
Hivi leo huyu alicheza nafasi gani?