Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea waliweka masharti mapya ambayo Samu Omorodion hakuyapenda na aliumia sana.
Sasa nasikia Chelsea wanawekeza kumleta Victor Osimhen darajani. Mkataba wa Felix pia unajadiliwa kama mbadala wa Samu ili dili la Conor Gallagher lisiporomoke. Ada ya João Félix itakuwa kati ya Euro milioni 40-50.

1723442249130.png
 
Je Tunamuhitaji Joao Felix????

Naona Profile yake tunayo

Hata akicheza LW bado sio elite kwenye hiyo position.

Naona Usajili wake ni SD wanazingua tu Jorge Mendes ukimentertain huwa anapanda kichwan.

Kwa sasa hatumuhitaji Felix
 
View attachment 3067522
Kama unataka kumuuza Galagher nanoption A imekataa proceed sio lazima kuwe na exchange ya mchezaj, Uza mchezaji basi upate hiyo hela ukatafute target zingine
 
Je Tunamuhitaji Joao Felix????

Naona Profile yake tunayo

Hata akicheza LW bado sio elite kwenye hiyo position.

Naona Usajili wake ni SD wanazingua tu Jorge Mendes ukimentertain huwa anapanda kichwan.

Kwa sasa hatumuhitaji Felix
Felix ni mchezaji talented sana nadhani atatusaidia kutupa option kwa Palmer pia cos tuna michuano mingi
 
Kama unataka kumuuza Galagher nanoption A imekataa proceed sio lazima kuwe na exchange ya mchezaj, Uza mchezaji basi upate hiyo hela ukatafute target zingine
Mkuu muda ni mchache na kukiwa na upatikanaji wa mchezaji mzuri why usimchukue
 
Mkuu muda ni mchache na kukiwa na upatikanaji wa mchezaji mzuri why usimchukue
Kwa Felix no, Felix ni mzuri ila Attitude yake ndio tatizo.
Je kwa sasa tuhitaji mchezaj aina ya felix kwa waliopo?

Tunatengeneza Chance nyingi za kutosha.

Tatizo letu ni CF(Clinical) na CB(mwenye uzoefu)
 
Felix ni mchezaji talented sana nadhani atatusaidia kutupa option kwa Palmer pia cos tuna michuano mingi
kwa mfumo wa Maresca unahisi felix atacheza wapi?

Halaf umekataa kulipa wages kubwa kwa Olise unaenda kulipa kwa Felix
Wages unakataa kwa osihmen unaenda kumleta Felix ambae atapokea wages ile ile
 
kwamba Ujio wa Felix unaweza sababisha tukauza madueke o sterling km offer nzuri ikiletwa.

Why not Mudryk?? Madueke kila siku anaimprove km akirekebisha tabia yake.
Kuna mda bora sterling kuliko Mudryk
 
kwamba Ujio wa Felix unaweza sababisha tukauza madueke o sterling km offer nzuri ikiletwa.

Why not Mudryk?? Madueke kila siku anaimprove km akirekebisha tabia yake.
Kuna mda bora sterling kuliko Mudryk
Madueke yupo bora kwanza anajua kuforce sijui ni kwanini huu uongozi wanatabia ya kutaka kuuza waliobora na kuacha wachezaji wa ovyo
 
Mimi ninazungumza ninachokiona. Sasa nimchukie nani ambaye hata kumjua simjui? Alafu isitoshe wewe hunifatilii nyuma ndo maana unasema I'm negative. Mimi ni supporter wa timu regardless coach anayekuwepo. Ila kipindi cha pre season lazima nieleze changamoto ninazoziona then msimu ukianza everyone should be behind the team ila kwa sasa kama kuna madhaifu yanayoweza kugharimu tomu yetu baadae na kutuzuia kuingia top four basi lazima yawe underscored.

Na pia ni muhimu kuzingatia kuwa mpira wa possession ndo unaanza Chelsea. Mimi ni muumini wa gegen pressing na kuwa direct yaani mpira unapigwa kuelekea golini siyo pembeni na nyuma. Tuchel au Klopp ni baadhi ya makocha wanafundisha mchezo ninaoutaka mimi. Hivyo tuelewane ila tusianze kuitana vitu visivyo.
Ujue mkuu kama unavyosema wewe ni muumini wa Gegenpress mpaka hapo tu huoni kama hili la possession we sik zote utaona ni negative kwa sababu sio kitu unachokipenda.

Kwa performance ya jana na ukiangalia na za nyuma unaona improvement ipo ila pale mtu tho mapungufu yapo ila pale improvement inapoonekana na makosa yanafanyiwa kazi inabidi tupongeze maana kama matatizo yanatatuliwa inamaana tunaenda kwenda right direction
 
kwamba Ujio wa Felix unaweza sababisha tukauza madueke o sterling km offer nzuri ikiletwa.

Why not Mudryk?? Madueke kila siku anaimprove km akirekebisha tabia yake.
Kuna mda bora sterling kuliko Mudryk
Hivi kweli kuna madueke na Felix unaambiwa chagua mmoja unachagua madueke, aisee!!!
 
Felix ni mchezaji talented sana nadhani atatusaidia kutupa option kwa Palmer pia cos tuna michuano mingi
Tallented lakini haonyeshi talent yake ni kama Mudryk tu
Nasikia Chelsea wanajitahidi kufufua usajili wa Samu Omorodion
Ni bora huyo kuliko Felix
 
Je Tunamuhitaji Joao Felix????

Naona Profile yake tunayo

Hata akicheza LW bado sio elite kwenye hiyo position.

Naona Usajili wake ni SD wanazingua tu Jorge Mendes ukimentertain huwa anapanda kichwan.

Kwa sasa hatumuhitaji Felix
Kiukweli hatumhitaji kwa sababu kwanza Felix workrate yake haina tofauti na Mudryk, Sterling kamzidi sana, wewe sema umri wake ni afadhali kuliko Sterling na kama Sterling ataondoaka kwenda Juventus itakuwa fair. Pia Felix analipwa mshahara mkubwa tatu eneo hilo limesheheni wachezaji wenye uwezo mkubwa kuliko Felix
 
Kama unataka kumuuza Galagher nanoption A imekataa proceed sio lazima kuwe na exchange ya mchezaj, Uza mchezaji basi upate hiyo hela ukatafute target zingine
Issue ni Atl;etico wanajitahidi ili wasimpoteze Gallagher na Julian Alvarez kwa sababu uuzwaji wa Samu ni muhimu kwa hizo dili mbili
 
Kwa Felix no, Felix ni mzuri ila Attitude yake ndio tatizo.
Je kwa sasa tuhitaji mchezaj aina ya felix kwa waliopo?

Tunatengeneza Chance nyingi za kutosha.

Tatizo letu ni CF(Clinical) na CB(mwenye uzoefu)
Kama Sterling hataondoak tutakuwa na wachezaji wengi wanaocheza hiyo nafasi na pengine bora kuliko Felix
Kuna
  1. Neto
  2. KDH
  3. Mudryk
  4. Sterling
  5. Jackson
  6. Nkunku
Tunahitaji zaidi mabeki na styriker mbona hawaweki nguvu huko?
 
Kwa uchezaji huu wa Pre season kama hatabadilika, Madueke ni bora kuliko Felix, workrate ya Madueke ni kubwa mno na Goal threat yake imekuwa kiasi cha kumlazimisha kocha kumchezesha Palmer katikati ili yeye ache RW
Aisee!! kwa hiyo Palmar katafutiwa mahala ampishe Madueke?!, dah!
 
Aisee!! kwa hiyo Palmar katafutiwa mahala ampishe Madueke?!, dah!
Tangu mwanzo Enzo alipokuja taarifa zilidai anampango zaidi wa kumtumia Palmer na Nkunkiu kwenye na. 10 na kulia anatarajia kumtumia Madueke zaidi na ndio maana alicheza game nyingi sana hata kulikoAngelo Gabriel. So sioni Enzo akimtupa Madueke nje labda avuruge mwenyewe
 
Tetesi: Dili la Samu naona kama limekufa kabisa na pia kuna uwezekano Chelsea na Madrid wakashindwa kukubaliana kuhusu dili la Felix

Kama dili la Samu na Felix ikifeli, unadhani mchezaji gani wa Atletico Madrid tumchukue kama mbadala kwa sababu Madrid wanamtaka kwa udi na uvumba Gallagher
 
Dili la Gallagher nalo limekufa kwa sasa, anarudi darajani
Chelsea wanamtaka Swap deal ya Lukaku kwa Osimhen
Chelsea hawatabioriki kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom