Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

World cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kwahiyo alielekeza wachezaji wa ufaransa wa pige penati vibaya au alitumia maujiza gani kipa wao argetina awe anadaka mpira vizuri?
 
Enzo Maresca anamtaka Sanchez awe golikipa na. 1 pale Chelsea, tujiandae na presure za huyu fisadi golini
Na ninaanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa huyu kocha kwenye kufanya maamuzi sahihi

View attachment 3047622
Kuangalia footwork zaidi huyo kocha anapenda keeper mwenye uwezo wa kupiga pass anapenda kujenga mashambulizi kupitia kwa kipa na kwenye hilo ni kweli Sanchez ni bora kuliko Petrovic hata angekuwa Pep angeanza na Sanchez kama unakumbuka Joe Hart alikuwa nakiwango kikubwa sana cha kudaka pale City alipokuja Pep akamuondoa kwasababu tu yakukuwa na ubora wa footwork nakusahihisha hapo uwezi ukampima huyo kocha kuwa hafai kwa hicho kigezo chako.
 
Enzo kahukumiwa tena huko Uingereza kwa kuficha taarifa za dereva wake aliyeendesha gari vibaya mwaka jana Desemba.
Huyu Enzo nyota yake Uingereza naona inaelekea pabaya

@BBCSport

Mchezaji wa Chelsea Enzo Fernandez amepatikana na hatia ya kushindwa kumtambua dereva wa gari aina ya Porsche inayodaiwa kuwaka taa nyekundu huko Carmarthenshire.

Mchezaji huyo alishtakiwa kwa kutotoa taarifa polisi Desemba 27 mwaka jana.

Alipatikana na hatia na atahukumiwa Septemba 11.

HUKUMU HII ILIAMULIWA WAKATI YEYE HAKUWEPO MAHAKAMANI

HATA HIVYO METAKIWA KUWEPO SEP 11 ILI:

.... ili kuzingatia kama kuna hali za kupunguza - "pamoja na ugumu wa kipekee" - kwa kutomzuia kuendesha gari.

Kama Enzo atashindwa anaweza kuzuiliwa asiendeshe gari
😂 Kimewaka
 
Kuangalia footwork zaidi huyo kocha anapenda keeper mwenye uwezo wa kupiga pass anapenda kujenga mashambulizi kupitia kwa kipa na kwenye hilo ni kweli Sanchez ni bora kuliko Petrovic hata angekuwa Pep angeanza na Sanchez kama unakumbuka Joe Hart alikuwa nakiwango kikubwa sana cha kudaka pale City alipokuja Pep akamuondoa kwasababu tu yakukuwa na ubora wa footwork nakusahihisha hapo uwezi ukampima huyo kocha kuwa hafai kwa hicho kigezo chako.
Yeye katoa maagizo anunuliwe kipa wa kuja kuwa namba mbili ili Sachez awe kipa na. 1, hapo ndio naona Enzo Maresca anaona kengeza huyo.

Eti anasema Petrovic auzwe au atolewe mkopo

Najua Petrovic hana viwango bora kwenye footwork ila anaweza akafanywa kipa namba 2 halafu kocha wa makipa akmfunza ili aboreshe footwork yake ila sio Sanchez, huyo anatakiwa kuuzwa tu.

Bora Petrovic marka 10 kuliko Sanchez huyo mwehu anagawa mipira kwa maadui ndio useme ana footwork nzuri

Natumaini Sporting director anamfahamu Sachez vizuri na hataruhusu uhalifu kama huu kutokea tena Chelsea
 
Binafsi si mkubali kabisa Sanchez ebu tuone itavyokuwa inawezekana labda kuna kitu kimekuwa improved kwake
 
Yeye katoa maagizo anunuliwe kipa wa kuja kuwa namba mbili ili Sachez awe kipa na. 1, hapo ndio naona Enzo Maresca anaona kengeza huyo.

Eti anasema Petrovic auzwe au atolewe mkopo

Najua Petrovic hana viwango bora kwenye footwork ila anaweza akafanywa kipa namba 2 halafu kocha wa makipa akmfunza ili aboreshe footwork yake ila sio Sanchez, huyo anatakiwa kuuzwa tu.

Bora Petrovic marka 10 kuliko Sanchez huyo mwehu anagawa mipira kwa maadui ndio useme ana footwork nzuri

Natumaini Sporting director anamfahamu Sachez vizuri na hataruhusu uhalifu kama huu kutokea tena Chelsea
Huyu sanchez huyu ,angeendelea kudaka tungekuwa nafasi ya 15 kushuka chini ,sanchezi anafungwa kulia na kushoto ,anafungwa juu anafungwa chini ,kiufupi kama ukipiga mipira mitatu on target hapo ni kamba 2 .Sanchez ni kituko kama chelsea inao mpango wa kumfanya golikipa namba moja ,anajua kugawa mipira kwa maadui kuliko maelezo
 
Ni hekima tu kama huwezi kumfanya mtu afanane na unachokiwaza au kufikiria aunkuona umuache. Si vywema kumfunga mtu asione au kuwaza cha kwake moyoni
Hili ni jukwaa la magreat thinker bro. Kuna mawazo mengine ya kiduanzi. hata kama tupo huru kutoa mawazo. Mawazo ya kitoto kbs.
 
1721655719491.png
 
Hili ni jukwaa la magreat thinker bro. Kuna mawazo mengine ya kiduanzi. hata kama tupo huru kutoa mawazo. Mawazo ya kitoto kbs.
Great thinker ni pamoja na kutoa uhuru wa mawazo, ukimkandamiza mtu asiseme mawazo yake utajuaje kwamba yeye ndie yuko sawa

Great thinkers wanaenda ndani zaidi ya masuala yanayotokea katika maisha au jamii kila siku. Great thinker huwa na dhana ya kujitegemea kimawazo na kifikra, kuona mambo kwa akili iliyofunguka. Wakati fulani wanaweza kushindwa kueleweka kwa watu wengine kwa sababu wao wanaona vitu vya ndani wasioweza kuona wengine

Kwa mukadha huu, ukianza kumfunga mtu au kumlazimisha mtu aamini mawazo yako unakuwa umeondoa maana halisi ya Great thinking.

Mimi napenda uhuru wa mawazo
 
Enzo Maresca anamtaka Sanchez awe golikipa na. 1 pale Chelsea, tujiandae na presure za huyu fisadi golini
Na ninaanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa huyu kocha kwenye kufanya maamuzi sahihi

View attachment 3047622
Mashabiki wa Chelsea kazi ipo muda siyo mrefu ymesifu uteuzi wake na kumtukana Poch. Sasa hata ligi haijaanza umeshasahau ulichoandika ndani ya mwezi mmoja
 
Chalobah kaachwa preseason ya USA, kazi ipo, analazimishwa atafute timu ya kumnunua

Huu ni uonevu kwa sababu
Galagher anauzwa
Broja anauzwa
Mbona hao wote wameenda na timu USA?
Chalobaha amekosa nini?
 
Umri waliokuwa nao walipojiunga na Chelsea academy:

Mason Mount - 6
Declan Rice - 7
Ruben Loftus-Cheek - 8
Reece James - 6
Tammy Abraham - 8
Marc Guehi - 7
Fikayo Tomori - 8
Callum Hudson-Odoi - 7
Conor Gallagher - 8
Samuel Iling-Junior - 8
Tino Livramento - 7
Jamal Musiala - 8
Dominic Solanke - 7
Trevoh Chalobah - 8
Tariq Lamptey - 8
Lewis Hall - 8
Michael Olise - 8
Josh Acheampong - 8
Dujon Sterling - 8
Armando Broja - 8
Levi Colwill - 8
Tyrique George - 8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom