Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ufaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria. View attachment 3046116
Ila Ufaransa wamezungumzia kimpira zaidi wao wamefanya personal attack hiyo ndio utofauti uliopo mbona hili lipo clear wewe ndio unakaza fuvu
 
Si unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.
Upuuzi mtupu.
Enzo kaongea ujinga kulikuwa na umuhimu gani wakupost kwenye insta yake yeye ndio ameikuza hili jambo
 
Na Fofana naye kapokea akakuza, hawakuangalia maslahi ya Chelsea na Kocha mpya anaanza vibaya dressing room mood ikiwa ya hovyo kabisa
 
Si unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.
Upuuzi mtupu.
Ndio kitu ambacho hata mimi nilichokua napinga tokea mwanzo, naona wamelishupalia sana. na sio jambo kubwa hiivyo. Utafikiri enzo ndio alikua anaimba peke yake. Halafu walichokua wanaimba ni ukweli mtupu. Hawatak kuambiwa ukweli.

Kuna watu wanaiogopa sana hii project ya chelsea so wanaitumia hiyo kitu kama kuvuruga dressng room, na michezaji mingine mipumbavu inaingia kwnye mtego, Enzo kashaomba radhi,Fofana yeye atulie zake wodini aache ushamba.
 
Na Fofana naye kapokea akakuza, hawakuangalia maslahi ya Chelsea na Kocha mpya anaanza vibaya dressing room mood ikiwa ya hovyo kabisa
Na ukizingatia Enzo alishaomba msamaha. Mpuuzi sana huyo Fofana na visikio vyake vile kama kipepeo.
 
Ndio kitu ambacho hata mimi nilichokua napinga tokea mwanzo, naona wamelishupalia sana. na sio jambo kubwa hiivyo. Utafikiri enzo ndio alikua anaimba peke yake. Halafu walichokua wanaimba ni ukweli mtupu. Hawatak kuambiwa ukweli.

Kuna watu wanaiogopa sana hii project ya chelsea so wanaitumia hiyo kitu kama kuvuruga dressng room, na michezaji mingine mipumbavu inaingia kwnye mtego, Enzo kashaomba radhi,Fofana yeye atulie zake wodini aache ushamba.
Enzo = Bahanuzi aliyechangamka acha kumpaisha ilihali ni famba tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Enzo kahukumiwa tena huko Uingereza kwa kuficha taarifa za dereva wake aliyeendesha gari vibaya mwaka jana Desemba.
Huyu Enzo nyota yake Uingereza naona inaelekea pabaya

@BBCSport

Mchezaji wa Chelsea Enzo Fernandez amepatikana na hatia ya kushindwa kumtambua dereva wa gari aina ya Porsche inayodaiwa kuwaka taa nyekundu huko Carmarthenshire.

Mchezaji huyo alishtakiwa kwa kutotoa taarifa polisi Desemba 27 mwaka jana.

Alipatikana na hatia na atahukumiwa Septemba 11.

HUKUMU HII ILIAMULIWA WAKATI YEYE HAKUWEPO MAHAKAMANI

HATA HIVYO METAKIWA KUWEPO SEP 11 ILI:

.... ili kuzingatia kama kuna hali za kupunguza - "pamoja na ugumu wa kipekee" - kwa kutomzuia kuendesha gari.

Kama Enzo atashindwa anaweza kuzuiliwa asiendeshe gari
 
Unazani pale kwa mabingwa wa dunia na mabingwa wa copa amerca mara mbili mfululizo anacheza kwa bahati mbaya ?Enzo na argentina watachukua world cup tena
World cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.

Unaongea kana kwamba mpira ulichezwa chumbani je hukuona mpira au kuna mtu alionewa
 
Messi alibebwa hadi alikuwa anakera, kuna makosa alipaswa kupewa kadi za wazi kabisa ila Refa alimwita kwa kumwonya tu kisha baada ya mechi kuisha Refa alipigwa na kitu kizito.
 
World cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Fake news
 
Kolo muani angefunga goli dakika ya 120+1 ungeleta hizi story?heshimu mpira na uhalisia wake
 
Enzo Maresca anamtaka Sanchez awe golikipa na. 1 pale Chelsea, tujiandae na presure za huyu fisadi golini
Na ninaanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa huyu kocha kwenye kufanya maamuzi sahihi

Similar Discussions

Back
Top Bottom