Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Great thinker ni pamoja na kutoa uhuru wa mawazo, ukimkandamiza mtu asiseme mawazo yake utajuaje kwamba yeye ndie yuko sawa

Great thinkers wanaenda ndani zaidi ya masuala yanayotokea katika maisha au jamii kila siku. Great thinker huwa na dhana ya kujitegemea kimawazo na kifikra, kuona mambo kwa akili iliyofunguka. Wakati fulani wanaweza kushindwa kueleweka kwa watu wengine kwa sababu wao wanaona vitu vya ndani wasioweza kuona wengine

Kwa mukadha huu, ukianza kumfunga mtu au kumlazimisha mtu aamini mawazo yako unakuwa umeondoa maana halisi ya Great thinking.

Mimi napenda uhuru wa mawazo
Kwa hiyo Great thinking ni pamoja na hoja za kitoto sio?! Haya sawa.

Halafu mimi cjazuia mtu kutoa mawazo na sina huo uwezo huo, ila nimemwambia ametoa mawazo ya kitoto. Ila hatujuani humu pengine bado ni mtoto na mawazo yake ndio yalipoishia.
 
Wachezaji watakaokuwepo kwenye msafara wa USA

  1. Makipa:
  2. Sanchez,
  3. Betinelli,
  4. Beach,
  5. Bergstrom.

Walinzi:
  1. James,
  2. Gusto,
  3. Acheampong,
  4. Fofana,
  5. Disasi,
  6. Tosin,
  7. Badiashile,
  8. Colwill,
  9. Chilwell,
  10. Veiga.

Viungo:
  1. Carney,
  2. Lavia,
  3. Ugochukwu,
  4. KDH,
  5. Santos.

Washambuliaji:
  1. Jackson,
  2. Nkunku,
  3. Sterling,
  4. Mudryk,
  5. Madueke,
  6. Broja,
  7. George,
  8. Guiu,
  9. Angelo.

Hawatakuwepo kwenye msafara wa Preseason USA

  1. Djorde Petrovic ❌ -
  2. Trevoh Chalobah ❌
  3. Deivid Washington ❌
  4. Cesare Casadei ❌
  5. David Fofana ❌
  6. Bashir Humphreys ❌
  7. Alfie Gilchrist ❌
  8. Omari Kellyman ❌ - Kabaki kwa ajili ya Majeruhi

Wataungana na timu baadaye

  1. Cole Palmer
  2. Enzo Fernandez
  3. Moises Caicedo
  4. Marc Cucurella
  5. Conor Gallagher
 
Chalobah kaachwa preseason ya USA, kazi ipo, analazimishwa atafute timu ya kumnunua

Huu ni uonevu kwa sababu
Galagher anauzwa
Broja anauzwa
Mbona hao wote wameenda na timu USA?
Chalobaha amekosa nini?
Chalabor mfumo wa huyu kocha haumfai hata kidogo unalalamika tu bure,kwa muda mchache tu mazoezini kocha ameona hamna mchezaji humo, mchezaji gani huyo asiyeweza hata kupga pasi moja kwa usahihi.

Mfumo wa Enzo ni wa kumiliki mpira zaidi sasa ukiwa na wachezaji kama akina Ghalagar na mwenzie Challoba akili zipo kwnye kuzuia zaid ni matumizi mabaya ya mfumo. Chaloba na Ghalager timu kama man u ingewafaa, ila kwa timu inayomiliki mpira ni kuwatesa.
 
Issue sio hafai, issue kwanini amebaguliwa, kwani si angeweza kuuzwa akiwa USA
Mbona hao wengine wasiotakiwa wao wanaenda
 
Wachezaji watakaokuwepo kwenye msafara wa USA

  1. Makipa:
  2. Sanchez,
  3. Betinelli,
  4. Beach,
  5. Bergstrom.

Walinzi:
  1. James,
  2. Gusto,
  3. Acheampong,
  4. Fofana,
  5. Disasi,
  6. Tosin,
  7. Badiashile,
  8. Colwill,
  9. Chilwell,
  10. Veiga.

Viungo:
  1. Carney,
  2. Lavia,
  3. Ugochukwu,
  4. KDH,
  5. Santos.

Washambuliaji:
  1. Jackson,
  2. Nkunku,
  3. Sterling,
  4. Mudryk,
  5. Madueke,
  6. Broja,
  7. George,
  8. Guiu,
  9. Angelo.

Hawatakuwepo kwenye msafara wa Preseason USA

  1. Djorde Petrovic ❌ -
  2. Trevoh Chalobah ❌
  3. Deivid Washington ❌
  4. Cesare Casadei ❌
  5. David Fofana ❌
  6. Bashir Humphreys ❌
  7. Alfie Gilchrist ❌
  8. Omari Kellyman ❌ - Kabaki kwa ajili ya Majeruhi

Wataungana na timu baadaye

  1. Cole Palmer
  2. Enzo Fernandez
  3. Moises Caicedo
  4. Marc Cucurella
  5. Conor Gallagher
Kwanini Petrovic kaachwa?
 
Kwa huu mwendo wa kocha mpya sijui kama tutafika ni bora tungebaki na yule tapeli poch mechi kumi za mwisho tuligawa wastani kwa idadi,huyu kocha wa simtaki huyu ,huyu anafaa ,huyu hafai ,maumivu mengine yanakuja
 
Atauzwa au mkopo, hafai kabisa kwenye style ya Maresca
Huyu kocha anapenda mchezaji mwenye foot work nzuri, Petrovic ni goal stoper mzur ila kwnye foot work hayupo vizuri.

Halafu mbona kama kumbukumbu zangu zinaniambia chelsea ya Poch nene ilimtandika huyu huyu Maresca goli4.
 
Inategemea alikuwa na kikosi gani, yaani ulitegemea kikosi chenye mchezeji tegemeo kama Daka ifanye vizuri zaidi ya kikosi cha chelsea kilichojaa vipaji tena siku hiyo ikiwa na bahati yao.
 
Huyu kocha anapenda mchezaji mwenye foot work nzuri, Petrovic ni goal stoper mzur ila kwnye foot work hayupo vizuri.

Halafu mbona kama kumbukumbu zangu zinaniambia chelsea ya Poch nene ilimtandika huyu huyu Maresca goli4.
Cha ajabu Sanchez ana footwork ipi nzuri, kugawa mipira kwa maadui ndio footwaork. Bora angewakataa wote ili SD aingie sokoni mapema sana
 
Cha ajabu Sanchez ana footwork ipi nzuri, kugawa mipira kwa maadui ndio footwaork. Bora angewakataa wote ili SD aingie sokoni mapema sana
Ukiwacompare hao wawili mnyonge mnyongen hak yake mpeni Sanchez ana foot work nzuri kuliko Petrovic, japo Sanchez ana makosa mengi sana y kiboya na anakera, ile game y Arsenal angekua karibu yangu siku ile ningukua na bastola ningepga ya kichwa niulie mbali.
 
Hapa tutahitaji tu kipa mwingine
Filip Jørgensen anaongoza kwenye orogha ya targets
 
Mbona chalobah ameachwa kiroho ngumu hvy, mana mpaka sasa cjaskia timu yoyote ikimuhitaj vp sasa aachwe kwa style hy 😔

Anyway, kwahy Sanchez ndio atakuwa kipa namba 1 😂 haya bhana labla mm sijui mpira ndio mana namuona petrovic n bora kuliko Sanchez.
 
Chalobah ameambiwa atafute timu ya kumnunua nadhani kupitia ajenti wake
Timu kama tatu zimeonyesha nia ikiwemo Man United na timu inayocheza UCL ya nje na Uingereza
Chalobah hana haraka kwa sababu ana mkataba wa miaka sita na Chelsea na amesema yuko tayari kupigania nafasi yake Chelsea hata baada ya kuachwa kwenye pre-season
Amehuzunika sana kuachwa, tena baada ya kufanya vizuri mechi za mwisho wa msimu uliopita baada ya kutoka majeruhi ya muda mrefu.
 
Chelsea wametuma ofa ya kwanza ya €20m kwa Villarreal kwa ajili ya kumnunua Filip Jorgensen.
@FabrizioRomano
Kwa hiyo offer na kuzingatia ubora wa mchezaji na namna alivyomuhimu kwa club lazima itemwe kweupe ni bora hata wangeanza na €30m
 
Kwa huu mwendo wa kocha mpya sijui kama tutafika ni bora tungebaki na yule tapeli poch mechi kumi za mwisho tuligawa wastani kwa idadi,huyu kocha wa simtaki huyu ,huyu anafaa ,huyu hafai

Kwa huu mwendo wa kocha mpya sijui kama tutafika ni bora tungebaki na yule tapeli poch mechi kumi za mwisho tuligawa wastani kwa idadi,huyu kocha wa simtaki huyu ,huyu anafaa ,huyu hafai ,maumivu mengine yanakuja
Haujui mpira. Hujaona mazoezi, haujaona hata mechi moja alafu unasema kocha hafai?
Nyie ndo mnafanya Chelsea forum idharaulike.

I stand with Chelsea, I stand with Maresca.

Na msimu huu nunueni jezi za kushangilia kombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom