Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkohoti yuko , je wangeimbwa wachezaji kutoa UJerumani, mama ana uraia wa Uhispania ingekuwa ubaguzi?
Hapo hautasikia ubaguzi, sisi sasa ndio tatizo, hatujikubali kbs. Tukiitwa waafrika hatutaki, tunasema tunabaguliwa. Tunataka na sisi tuitwe wazungu.
 
Yeye inamuhusu nini maisha ya watu wengine kama sio shobo
Wesley Fofana ni mchochezi na anatia sumu dressing room. Hata kama aliona kuna tatizo kwenye hiyo video kwa nini amemblast mwenzake hazarani wakati akijua itaharibu morali ya dressing room? Maamuzi ya hao wanyamwezi wa Ufaransa ni mbaya sana.

Lengo la akina enzo sio kuwashambiulia wachezaji weusi bali timu ya Ufaransa ambayo imejaza wachezaji weusi kwa kuwapa uraia ili waichezee Ufaransa. Ni katika kujibu video ya 2018 ambao nao hao hao ufaransa walikashfu
1721286095807.png

View attachment 3045303

View attachment 3045304
Ufaransa wamezungumza kimpira wakati Enzo kafanya personal attacks huoni utofauti?
 
Alichokifanya Enzo na wachezaji wenzake wa Argentina ni kitendo cha kipuuzi , nawashangaa mnaomtetea humu .
Hao wachezaji wa Argentina mbona wana heritage ya uhispania ?
Timu nzima imejengwa na kizazi cha vitukuu vya wakoloni wa kihispania (conqistadors) na sio indigenous au watu WA makabila na race ya asili ya Argentina .
Tukitumia context hii na wachezaji wa Ufaransa wakaimba wimbo wa kuwadhihaki wachezaji wa Argentina kwamba babu zenu wamezaliwa Spain na mlivamia Argentina ,Leo hii mmejaa timu ya Argentina mnajiita waArgentina ,
Hii ingekuwa sawa ?
 
Huyu mseng# Enzo, kwanza hata sijui anacheza nini hapo tangia aje ,
Walitimue tu ,useless kabisa
Overhyped ,overpriced ,uwanjani zero .
Lavia +caicedo +Hall +Santos +Ghalagher , we are good to go for an Epl marathon
 
Enzo kafanya upumbavu unaotisha hata zaidi ya upumbavu wenyewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Screenshot_2024-07-18-14-32-05-47_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg

Screenshot_2024-07-18-14-33-54-18_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2024-07-18-14-34-29-27_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
Enzo kafanya upumbavu unaotisha hata zaidi ya upumbavu wenyewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.View attachment 3045910View attachment 3045910View attachment 3045911View attachment 3045912
Alilewa sana huyo dogo akapitiwa. Kikubwa kashaomba msamaha
Kwa upande wake Wesley Fofana, mgonjwa wetu maarufu anapona na kuibukia kuharibu hali ya hewa kwa kukuza kitu ambacho wangemalizana kule dressing room.
Lakini pia usisahau media inaongeza chumvi. Isije iokawa hata hizi taarifa unazopost sio za kweli. Chelsea ina maadui wengi pale Uingereza. Media nyingi ni puppete wa timu za Man U na kwa mbali Arsenal na Liverpool
 
Ufaransa wamezungumza kimpira wakati Enzo kafanya personal attacks huoni utofauti?
Upinzani na uadui wa Ufaransa na Argentina ni mkubwa mno na saa nyingine inaenda hadi kwenye siasa. Umesoma alivyoandika makamu wa rais wa Argentina akimtetea Enzo
Hii hapa
"No colonialist country is going to intimidate us for a football song or for telling the truths that they do not want to admit. Stop feigning indignation, hypocrites. Enzo, I'm with you."
Argentina's Vice-President Victoria Villarruel:

Kiswahili
"Hakuna nchi ya kikoloni itakayotutisha kwa wimbo wa soka au kwa kusema ukweli ambao hawataki kuukubali. Acheni kujifanya kuwa na hasira, wanafiki. Enzo niko pamoja nawe."
Makamu wa Rais wa Argentina -President Victoria Villarruel:
1721336669714.png
 
Alilewa sana huyo dogo akapitiwa. Kikubwa kashaomba msamaha
Kwa upande wake Wesley Fofana, mgonjwa wetu maarufu anapona na kuibukia kuharibu hali ya hewa kwa kukuza kitu ambacho wangemalizana kule dressing room.
Lakini pia usisahau media inaongeza chumvi. Isije iokawa hata hizi taarifa unazopost sio za kweli. Chelsea ina maadui wengi pale Uingereza. Media nyingi ni puppete wa timu za Man U na kwa mbali Arsenal na Liverpool
Ninachokiona hapa ni kwamba kuna ushindani na uadui wa muda mrefu kati ya Ufaransa na Argentina na pande zote zinazohusika katika sakata ya Enzo ni waathirika tu.

"Meloni: "this is called the CFA franc, a colonial currency that FRANCE prints for 14 African nations and with which it exploits its resources. 50% of the gold that Burkina Faso exports ends up in France. The solution isn't for Africans to relocate, but rather to liberate them"."

Kiswahili
"Meloni: "hii inaitwa faranga ya CFA, sarafu ya kikoloni ambayo UFARANSA inachapisha kwa mataifa 14 ya Kiafrika na ambayo inatumia rasilimali zake. 50% ya dhahabu ambayo Burkina Faso inauza nje inaishia Ufaransa. Suluhisho si kwa Waafrika kuhama, bali ni kuwakomboa."
 
Upinzani na uadui wa Ufaransa na Argentina ni mkubwa mno na saa nyingine inaenda hadi kwenye siasa. Umesoma alivyoandika makamu wa rais wa Argentina akimtetea Enzo
Hii hapa
"No colonialist country is going to intimidate us for a football song or for telling the truths that they do not want to admit. Stop feigning indignation, hypocrites. Enzo, I'm with you."
Argentina's Vice-President Victoria Villarruel:

Kiswahili
"Hakuna nchi ya kikoloni itakayotutisha kwa wimbo wa soka au kwa kusema ukweli ambao hawataki kuukubali. Acheni kujifanya kuwa na hasira, wanafiki. Enzo niko pamoja nawe."
Makamu wa Rais wa Argentina -President Victoria Villarruel:
View attachment 3045931
Sasa inshu ya siasa kujihusisha na mpira si ni kinyume na taratibu na sheria za FIFA, huoni huyo Vice President kashaboronga kwa nchi yake ya Argentina?

Hata club mates wake Enzo watakuwa washajua kipi kinachompatia kiburi na ni hatari sana kwake pale klabuni.

Mimi nimezungumzia kwa upande wa Enzo sio huyo makamu wa raisi
 
Hivi hakuna mchezaji aliyechezea Argentina kwenye mashindano ya Copa Amerika anayecheza kwenye vilabu vya Ufaransa?

Anyway, mimi kama shabiki wa Chelsea, najitenga na alichokifanya Enzo.
 
Hivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Si unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.
Upuuzi mtupu.
 
Sasa inshu ya siasa kujihusisha na mpira si ni kinyume na taratibu na sheria za FIFA, huoni huyo Vice President kashaboronga kwa nchi yake ya Argentina?

Hata club mates wake Enzo watakuwa washajua kipi kinachompatia kiburi na ni hatari sana kwake pale klabuni.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ukitaka kujua ukubwa wa chuki iliyonayo Argentina dhidi ya Ufaransa, angalia naye Rais wa Argentina alichokifanya

Rais wa Argentina Javier Milei aliamua kumfukuza kazi Naibu Waziri wa Michezo wa Argentina Julio Garro ambaye alimtaka Nahodha Lionel Messi aombe radhi kwa kitendo cha Enzo Fernandez.

Taarifa hiyo inanukuu:
"Hakuna anayemwambia Bingwa wa Dunia Nini cha kufikiria, nini cha kufanya au nini cha kusema"
1721373213015.png

1721373151231.png
 
Mimi nimezungumzia kwa upande wa Enzo sio huyo makamu wa raisi
Ufaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria.
1721373836967.png
 
Ufaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria. View attachment 3046116
Kwani Kante mwenyewe anasemaje ....?
 
Hivi aliyekua anaimba alikua Enzo pekee??? Mbona naona kama anasakamwa yeye tu????[emoji24][emoji24][emoji24]
Yeye ndio aliyepost kwenye insta yake kuonesha kwa amebariki tofauti na wenzake ndio maana anaandamwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom