Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watatu wanaanza mmoja anaanzia bench
Akitumia 2-2-5-1
Hii ni hybrid ya 4-2-3-1 ambapo fullbacks wanakuwa inverted fullbacks wanacheza kama winger na viungo
So kwa mfumo huo kutakuwa na pivot ya 2 box to box midfilders
Akitumia 2-3-4-1 ambayo ni hybrid ya 4-3-3 hapo viungo watahitajika watatu
 
Usajili wetu wa hivi punde wa kiangazi: Kiernan Dewsbury-Hall!
Chelseafc
1719934120338.png
 
Kulikuwa na maana ipi ya kuwasajiri wachezaji wote hao na hakuna mahala walipo tumika.?
Nini maana ya Kiernan Dewsbury-Hall kusajiliwa??

Gallagher atauzwa!

Nini maana ya Santos kubakizwa msimu ujao??

Cesare Casadei, Lesley Ugochukwu na Carney Chukwuemeka watauzwa!

Nini maana ya Marc Guiu kununuliwa kwa ajili ya first team?

Datro Fofana atauzwa!

Nini maana ya Chelsea kutaka kumsajili Ricardo Calafiori.?

Badiashile atauzwa!

nini tena?
 
Confirmed Enzo Maresca atakuwa anatumia mfumo wa 4-3-3 ambapo LB an RB watakuwa Inverted Fullbacks

Sterling--------Nkunku--------Palmer

KDH-----------Enzo-----------Caicedo

Cucurella --- Colwill ----Fofana---James

---------------- Sanchez----------------
 
Confirmed Enzo Maresca atakuwa anatumia mfumo wa 4-3-3 ambapo LB an RB watakuwa Inverted Fullbacks

Sterling--------Nkunku--------Palmer

KDH-----------Enzo-----------Caicedo

Cucurella --- Colwill ----Fofana---James

---------------- Sanchez----------------
Naona ameonyesha kwamba ni defensive coach kama wa Italiano wengi walivo
 
Chelsea wanampango wakuweka philosophy ndani ya club itakayoanzia academy mpka first team.

Kuwe na mfumo maalum utakaotambulika ndani ya chelsea kama ilivyo la masia
 
Confirmed Enzo Maresca atakuwa anatumia mfumo wa 4-3-3 ambapo LB an RB watakuwa Inverted Fullbacks

Sterling--------Nkunku--------Palmer

KDH-----------Enzo-----------Caicedo

Cucurella --- Colwill ----Fofana---James

---------------- Sanchez----------------
Winga wa kulia awe Jackson badala ya Sterling itakuwa unyama sana
 
Sawa ila huo mfumo wake kama ndo atakao tumia ni defensive......
Mkuu mfumo haumfanyi mtu aonekanae defensive bali uwanjani kinachoonekana ndio kinaonyesha kama ni defensive au lah.

343/352 anayotumia Alonso na Conte ni mifumo sawa ila ndani ya uwanja ndio utofauti
4231/433 anayotumia Pep,Klop, au Arteta zote ni tofauti ndani ya uwanja.

433/4231 sio mfumo wa kujilinda
 
Hili ni jukwaa la kudiscus kuuza na kununua wachezaji.

Msimu ujao utakuja utaisha, nyie mnabaki kuwaza tumnunue nani, tuuze nani
 
Jana mechi ya Argentina vs Ecuador kulikuwa na vijana wetu watatu, Enzo,Paez na Caisedo ,leo Spain vs Germany tutamuone Cucu mainvertion hakika blues ina vijana wakutosha.
 
Renato Veiga anatarajiwa kusaini mkataba hadi 2032. Beki wa kati wa upande wa kushoto, beki wa kushoto au no.6 katika kiungo, anatarajiwa kutumika kama beki wa pembeni na anaonekana kuwa anafaa kabisa. Mfumo wa Enzo Maresca.
Inaonekana tunaunga mkono scout wetu kwa ununuzi wa busara badala ya kutumia pesa nyingi. Sio wazo mbaya, kwa sababu tayari tuna msingi thabiti wa kujenga. Kutumia €80m-€100m kununua mchezaji mmoja si lazima kwa wakati huu.

Kazina iliyoko ndai ya Renato Veiga💎
Jina: Renato Veiga
Kampeniu ya timu ya u20 ya Ureno
Klabu: FC Basel
Raia: Mreno
Nafasi: DM, CM, LB, CB
Mguu Unaopendelea: Kushoto
Urefu: 6'3"/190cm
Umri: 20
Nguvu: mwili wa kibaunza, mipira ya juu, pasi ndefu, recovery, tackling
Maneneo ya kufanyia kazi:: kufanya maamuzi, consistency

Huu ununuzi ndio wenye tija sasa

Hongereni Chelsea

1720195595912.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom