Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Biashara yetu hadi sasa:

Adarabioyo - Uhamisho wa bure
Marc Guiu - €6m
Omari Kellyman - €22m
Kiernan Dewsbury-Hall - €41m
Renato Veiga - €14m
Jumla: €83m
 
Calafiori wa Tandale au??
Kazina iliyoko ndai ya Renato Veiga💎
Jina: Renato Veiga
Kampeniu ya timu ya u20 ya Ureno
Klabu: FC Basel
Raia: Mreno
Nafasi: DM, CM, LB, CB
Mguu Unaopendelea: Kushoto
Urefu: 6'3"/190cm
Umri: 20
Nguvu: mwili wa kibaunza, mipira ya juu, pasi ndefu, recovery, tackling
Maneneo ya kufanyia kazi:: kufanya maamuzi, consistency
Taarifa nilizonazo ni kuwa Chelsea haikuwahi kuwa na jicho kwa Riccardo, Fabrizio aliingiza Chelsea makusudi ili Arsenal waingie mkenge wap[andishe bei

Taarifa zaidi nilizonazo ni kuwa Baada ya Ricardo kuuzwa kwenda .., Basel walimnunua Renato Veiga kama replacement ambaye ni mzuri zaidi ya Ricardo. Chelsea tumempata kwa mil 12 tu na yeye ana sifa nyingi nzuri kuliko huyo hyped Ricardo
 
Urefu umekuwa sehemu ya tatizo la Chelsea kucheza vizuri mipira ya juu
Sasa uongozi umeliona hilo na wanajitahidi sana kuzingatia urefu kwenye usajili wa msimu huu
Tukiangaza kwenye ulizinzi wamesajiliwa mabeki wenye urefu wa mita 1.96 na 1.90
  1. Tosin Adarabioyo (1.96M)
  2. Renato Veiga (1.90M)
1720253575088.png
 
Mbona tutakuwa na mabeki wengi sana ? , Hawa wengine watacheza wapi ? ,Au tuna mpango wa kuuza baadhi ya mabeki na viungo tulionao kwa sasa ?

View attachment 3034823
Arabiyoyo
 
Kuna Injury hapo 😂 Fofana,Chilwel,James sio wa kuwategemea kabisa mda wowote wanarudi wodini

Silva kaondoka so ilikuwa lazima tusajili

Chalobah nae huenda akauzwa ila ningependelea Disasi ndio aondoke

Ujio wa Veiga unatupa option zaidi ya moja na ni kama mtu anaefit kwenye falsafa ya sasa ambayo tunahitaji lb au lCb anaeweza kuja kucheza kiungo pale tunapokuwa na mpira

Thus tunaona tuko tayar kumuachia chilwell
 
Urefu umekuwa sehemu ya tatizo la Chelsea kucheza vizuri mipira ya juu
Sasa uongozi umeliona hilo na wanajitahidi sana kuzingatia urefu kwenye usajili wa msimu huu
Tukiangaza kwenye ulizinzi wamesajiliwa mabeki wenye urefu wa mita 1.96 na 1.90
  1. Tosin Adarabioyo (1.96M)
  2. Renato Veiga (1.90M)
View attachment 3034823
Nadhan sahiv tunafanyw scouting iliyotulia hatufati mkumbo
 
Mbona tutakuwa na mabeki wengi sana ? , Hawa wengine watacheza wapi ? ,Au tuna mpango wa kuuza baadhi ya mabeki na viungo tulionao kwa sasa ?

Arabiyoyo
Chelsea ilikuwa inamtafuta CB au LB ambaye ni left footed. Enzo Maresca yeye anapenda wachezaji wenye kuweza kucheza nafasi nyingi na Huyu Renato Veiga anafit kabisa kwenye hiyo profile kwa sababu ana uwezo wa kucheza Nafasi ya DM, CM, LB, LCB na Left Wingback

Chelsea ina mpango wa kumuuza aidha Cucurella au Chilwell kama bei nzuri ikipatikana japo hawauzi kwa ulazima
Wachezaji ambao watauzwa kwa ulazima ni
Chalobah
Sarr
Broja
Lukaku
 
Tetesi zinazondirima kwa sasa zinaonyesh akuwa Chelsea bado inaweza kumsajili Victor Osimhen kwa dau la chini ya mil 100
Napoli wanahaha kumuofload ili wanunue mchezaji atakayeendana na Conte

Chelsea ikicheza vizuri karata zake huyu tunambeba kwa mil 60 au 50

1720265949342.png
 
Mara ya mwisho kuwa na Mreno klwenye kikosi ukimuondoa Diego Moreira na Joao Felix ni
  1. Eduardo - Goalkeeper - 25.08.2016
  2. Raúl Meireles - Midfield - 31.08.2011
  3. Ricardo Quaresma - Attack - 02.02.2009
  4. Deco - Midfield - 01.07.2008
  5. Bosingwa - Defender - 16.07.2008
 
Renato Veiga anatarajiwa kusaini mkataba hadi 2032. Beki wa kati wa upande wa kushoto, beki wa kushoto au no.6 katika kiungo, anatarajiwa kutumika kama beki wa pembeni na anaonekana kuwa anafaa kabisa. Mfumo wa Enzo Maresca.
Inaonekana tunaunga mkono scout wetu kwa ununuzi wa busara badala ya kutumia pesa nyingi. Sio wazo mbaya, kwa sababu tayari tuna msingi thabiti wa kujenga. Kutumia €80m-€100m kununua mchezaji mmoja si lazima kwa wakati huu.

Kazina iliyoko ndai ya Renato Veiga💎
Jina: Renato Veiga
Kampeniu ya timu ya u20 ya Ureno
Klabu: FC Basel
Raia: Mreno
Nafasi: DM, CM, LB, CB
Mguu Unaopendelea: Kushoto
Urefu: 6'3"/190cm
Umri: 20
Nguvu: mwili wa kibaunza, mipira ya juu, pasi ndefu, recovery, tackling
Maneneo ya kufanyia kazi:: kufanya maamuzi, consistency

Huu ununuzi ndio wenye tija sasa

Hongereni Chelsea

View attachment 3034434
Huyu jamaa hajadanganya umri kweli?
 
Je uwanjani usajili huo uta click???
Umri mdogo pesa ndogo = risky ndogo kabisa kuliko tumnunue kama Lukaku yakatokea yaliyotokea, Sasa tunafikiria kumuuza Uarabuni baada ya kutufungia goli 8 tu mwaka mzima kwa mil 100 na ushenzi pamoja na mashara wa 300,000/week,
 
Taarifa nilizonazo ni kuwa Chelsea haikuwahi kuwa na jicho kwa Riccardo, Fabrizio aliingiza Chelsea makusudi ili Arsenal waingie mkenge wap[andishe bei

Taarifa zaidi nilizonazo ni kuwa Baada ya Ricardo kuuzwa kwenda .., Basel walimnunua Renato Veiga kama replacement ambaye ni mzuri zaidi ya Ricardo. Chelsea tumempata kwa mil 12 tu na yeye ana sifa nyingi nzuri kuliko huyo hyped Ricardo
Ukweli usemwe
IMG_20240706_155131.jpg
 
Ukweli ni kwamba Chelsea hawakuwa na interest naye tangu mwanzo japo waliulizia taarifa zake. Taarifa za kwamba Riccardo anaitaka Arsenal tu sio za kweli na hizi ni propaganda za waandishi wa habari. Baada ya Arsenal kuonyesha nia na kwenda kwa mchezaji, mchezaji mdogo yeyote asiye na jina kama Riccardo asingeikataa Arsenal inayocheza ligi kubwa ya Uingereza, vinginevyo hata Chelsea tungeonyesha nia ya dhati tukaingia kidume, na sisi tungepewa greenlights kama hiyo mliyopewa Arsenal

Au mmesahau ya Mudryk, aliwapa Arsenal maneno matamu na watu dunia mziuma wakajua hakuna klabu ambayo ingeweza kuingia hapo, ila Chelsea walipokuaj kijana kanyamaza kimya kama hakuwahi kuongea
 
1. Basel iliuza Caliafiori kwa Bologna na kuingiza kifungu cha kupewa 50% ya mauzo
2. Chelsea walimtaka Veiga lakini Basel waliwaambia waongeze watie kashkashi ili bei ya Caliafioriipande kutoka kwa Arsenal.
3. Chelsea walisonga mbele kuwasiliana na mchezaji danganya toto bei ya Caliafiori ikapaa bila Arsenal kugundua
4.Arsenal ilidanganyika kulipa pesa zaidi na Basel walizawadia Chelsea na Veiga kwa €14m bila addons wala kifungu chochote cha kumuuza hapo baadaye

Todd Boehly sikuwahi kuwa na shaka na wewe kabisa. Wewe ni Genious kwenye usajili na biashara
1720285943394.png
 
Mara ya mwisho kuwa na Mreno klwenye kikosi ukimuondoa Diego Moreira na Joao Felix ni
  1. Eduardo - Goalkeeper - 25.08.2016
  2. Raúl Meireles - Midfield - 31.08.2011
  3. Ricardo Quaresma - Attack - 02.02.2009
  4. Deco - Midfield - 01.07.2008
  5. Bosingwa - Defender - 16.07.2008
Cavalho hakuwa mreno kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom