Kamcheche
Member
- Jun 7, 2021
- 49
- 136
Paulo ferreiraNaye ni mreno 2004-2010
Paulo ferreiraNaye ni mreno 2004-2010
OkNaye ni mreno 2004-2010
Uzuri wa Arsenal ukiona mchezaji amegombaniwa kumpata, ujue kwanza mchezaji mwenyewe ameipa arsenal first priority na pia Arteta anajua atakavyo mtumia Huyo mchezaji.1. Basel iliuza Caliafiori kwa Bologna na kuingiza kifungu cha kupewa 50% ya mauzo
2. Chelsea walimtaka Veiga lakini Basel waliwaambia waongeze watie kashkashi ili bei ya Caliafioriipande kutoka kwa Arsenal.
3. Chelsea walisonga mbele kuwasiliana na mchezaji danganya toto bei ya Caliafiori ikapaa bila Arsenal kugundua
4.Arsenal ilidanganyika kulipa pesa zaidi na Basel walizawadia Chelsea na Veiga kwa €14m bila addons wala kifungu chochote cha kumuuza hapo baadaye
Todd Boehly sikuwahi kuwa na shaka na wewe kabisa. Wewe ni Genious kwenye usajili na biasharaView attachment 3035155
Hahaaaa ,kumbe na wewe umeona ?Huyu jamaa hajadanganya umri kweli?
Hata Mudryk aliipenda sana Arsenal, yuko wapi sasa hivi. Hao wachezaji wa timu ndogo wao wanachoangalia ni fursa tu. hivi vitu vingine vya mahaba na mapenzi ni ya waandishi wa habari na wafurukutwa wa timu husika. Chelsea tungeamua kumfukuzia mngesikia mara anaipenda Arsenal mara anaipenda Chelsea na blaaa blaa nyingi tuUzuri wa Arsenal ukiona mchezaji amegombaniwa kumpata, ujue kwanza mchezaji mwenyewe ameipa arsenal first priority na pia Arteta anajua atakavyo mtumia Huyo mchezaji.
Huyo Veiga, ukiangalia video zake YouTube (best moments), asilimia kubwa anachezea mpira (press resistant) hazimuoneshi kama ni beast kwenye defending.
Hapo mna uhakika wa kupata beki ambaye ni press resistant, lakini mtakapo kuwa mnashambuliwa mtakuja kumkataa huyo mchezaji
Tuliokuwa tunamsema poch tulionekana tunachuki😁😁😁 ndio maana mchezaj km galagher alionekana anaperfom sana kwa sababu style ya poch ilimfavour😂Moses Caicedo amlipua Pochettino kinamna namna vile
Caicedo: “Mwanzoni mwa msimu baadhi yetu (wachezaji) tulikuwa tunashambuliwa kwa sababu tulikuwa hatufanyi vizuri na mashabiki walikuwa wakitushambulia, ilikuwa ngumu kwangu kwa sababu nilipendelea kucheza ugenini kuliko nyumbani kwa sababu (Chelsea) mashabiki walikuwa wakinishambulia."
Caicedo: “Kule Brighton uchezaji ulikuwa ni; "tactical, tactical, tactical" tu na huku Chelsea ilikuwa ni kukimbia, kukimbia kimbia tu na ilikuwa ngumu sana kwangu"
"Nikiwa na Chelsea siku zote nilikimbia zaidi na nikiwa na Brighton karibu kila mara tulikuwa tunabaki na mpira muda mrefu, na Chelsea ilikuwa soka tofauti na tulilazimika kukimbia zaidi."
Moises Caicedo: "Tangu Februari wakala wangu aliajiri mtu ambaye anakagua mechi zangu na kile ninachopaswa kuboresha, jinsi ya kujiweka na kiakili"
"Ilisaidia kuniondoa shinikizo kwa sababu nilikuwa nikifikiria zaidi kuhusu 'walilipa pesa nyingi kwa ajili yangu lazima nifanye vizuri'
"Sikuwa makini, sikuonyesha kiwango changu, baada ya wakala wangu kumwajiri mtu huyo, nilianza kuimarika na kupata ujasiri zaidi"
"Yule mtu aliniambia "kama walikulipa kiasi hicho, ni kwa sababu wanajua thamani yako, na kuanzia hapo nilianza kujisikia vizuri, alinisaidia sana, kusema ukweli".
"Msimu ujao utakuwa mzuri sana!"
Mahojiano: (@Alfonso_Laso via @perro_chelsea)
View attachment 3036309
Tuliokuwa tunamsema poch tulionekana tunachuki😁😁😁 ndio maana mchezaj km galagher alionekana anaperfom sana kwa sababu style ya poch ilimfavour😂
Ghalagha alikua anakimbia kama mwehu. Nguvu nyingi akili kidogo ndio mpira wa Poch mashavu.Tuliokuwa tunamsema poch tulionekana tunachuki😁😁😁 ndio maana mchezaj km galagher alionekana anaperfom sana kwa sababu style ya poch ilimfavour😂
Hata Potter na Pochettino mlianza hivihivi, baadae mkaanza kuwaona kama ngedereEnzo Maresca: Hotuba yake ya kwanza
"Unapojiunga na klabu kama Chelsea, unajua ni klabu ya kushinda mechi na kubeba mataji
Ujumbe wa Enzo Maresca:
"Amini mchakato, amini wazo, kuwa nyuma ya timu. Kwa hakika tutafurahia safari. Kama ilivyo kwa kila klabu, kwa kila meneja, haitakuwa rahisi kwa sababu hakuna kitu rahisi. Lakini kwa hakika tuko sawa. tutafurahia safari yetu."
Enzo Maresca: "Kwangu, ni wazi tunahitaji kuunda haraka iwezekanavyo fikra na utamaduni sahihi, utamaduni ambao mashabiki wanaweza kujivunia. Hili ni muhimu sana.” [chelseafc]
Enzo Maresca:
"Niko hapa ni kwa sababu nina hakika kwamba kikosi ni kizuri sana na kimejaa vipaji. Jambo muhimu zaidi sasa ni kwamba tunaweza kuunda utamaduni sahihi unaotuongoza kwa msimu huu."
View attachment 3036585
Uzuri sisi hatuna kuremba, nashangaa Arsenal wana kocha wa hovyo bado wanamchekea tu. Mwaka wa sita huu anazurura tu hakuna alichokifanya. Utofauti wake na hao akina Potter sijui ni upi?Hata Potter na Pochettino mlianza hivihivi, baadae mkaanza kuwaona kama ngedere
Asilimia kubwa left back ni wafupi na sio hodari wa mipira ya vichwa for me sioni hilo tatizo labda kama angekuwa anacheza beki wa kati ndio ingekuwa ni shida kubwa.
- Marc Cucurella ameonyesha utendaji mzuri katika mashindano ya Euro 2024, na kuisaidia timu ya taifa ya Uhispania kufika fainali ya Euro 2024.
- Licha ya changamoto za urefu na kucheza mipira ya juu, Cucurella amekuwa muhimu katika ulinzi na kusaidia safu ya kiungo.
- Uwezo wake wa kusoma mchezo na kuwa katika nafasi sahihi umemsaidia kufanya tackles muhimu na kuondoa mipira ya hatari golini.
- Kwa kuzingatia mchango wake na maendeleo katika kinyang'anyiro hicho, Chelsea wanaweza kufikiria kumweka msimu wa 2024/25 kama sehemu muhimu ya safu ya ulinzi.
View attachment 3038043
Nywele pia zinamlemea, angenyoa angeweza kuruka vizuri.Asilimia kubwa left back ni wafupi na sio hodari wa mipira ya vichwa for me sioni hilo tatizo labda kama angekuwa anacheza beki wa kati ndio ingekuwa ni shida kubwa.
Nywele hizo haziko rafiki kabisa na mpira sijui kwa nini anazifuga. Zinamuongezea uzito hadi anashindwa kurukaNywele pia zinamlemea, angenyoa angeweza kuruka vizuri.
Kwa kimo chake na nafasi anayocheza hakina shida kabisa,sema tu apunguze kupiga back passNywele hizo haziko rafiki kabisa na mpira sijui kwa nini anazifuga. Zinamuongezea uzito hadi anashindwa kuruka