Hapa Chelsea watakuwa wameupiga mwingi kitachobaki ni 2 signing pekee ndio kwa upande wangu tutakuwa tupo ready na epl Central back pamoja na kiungo mkabaji atayecheza Chini kidogo no 6 sijui kwanini hili Eneo hawalioni ukimtoa Caicedo ambaye kiuhalisia sio namba yake anayebakia ni Laiva ambaye ni pancha hatuna mwingine wamaanaBreaking:
Conor Gallagher ndie mchezaji anayejadiliwa katika mpango wa kubadilishana + pesa taslimu kwa Alexander Isak katika Newcastle United. Vilabu bado vinazungumza ili kuona ikiwa makubaliano yoyote yanaweza kufikiwa.
Chelsea wako tayari kuwaongeza Chalobah na Broja kwenye dili la kumsajili Isak, tukumbuke kuwa Newcastle wanatakiwa wawe wameshamuuza Isak leo kabla ya mwezi wa sita kuisha saa tano dakia 59 na ushenzi
Lavia na Caicedo wakipewa hiyo role na maelekeoz ya kocha wanaweza.Hapa Chelsea watakuwa wameupiga mwingi kitachobaki ni 2 signing pekee ndio kwa upande wangu tutakuwa tupo ready na epl Central back pamoja na kiungo mkabaji atayecheza Chini kidogo no 6 sijui kwanini hili Eneo hawalioni ukimtoa Caicedo ambaye kiuhalisia sio namba yake anayebakia ni Laiva ambaye ni pancha hatuna mwingine wamaana
Ngoja tuone itakavyokuwaLavia na Caicedo wakipewa hiyo role na maelekeoz ya kocha wanaweza.
Hata hivyo mfumo wa Enzo hauwategemei sana DM, yeye anatumia mfumo wa ulinzi shirikishi, yaani ma fullbacks wanakuwa inverted, wakati viungo wako kwenye viboksi vingine wao fullback wanajaza nafasi kuhakikisha katikati kuna msitu kila wakati
Wote hao wanajua kupiga pass
Timu ya Saudi nasikia wamekubali kumchukua Lukaku kwa exit clause ya £38mMwaka huu waarabu wako wapi watutwalie takataka kama Sterling, Lukaku na Kepa
Laiva na Caicedo first eleven kwanini hawa? Laiva ni mchezaji anayeleta utulivu kuanzia kwa mabeki na katikati ya uwanja na pia ana uwezo wa kucontrol game na kudetect temple ya mchezo overall atacheza chini, juu yake kidogo atacheza Caicedo kupitia uchezaji wa Laiva utamfanya Caicedo awe huru kuzunguka uwanja mzima kwenye kukaba
Na wanatumia akili sio Ghalagar akili ya mpira hana. Mpira wa huyo kocha haumfai hata kidogo.Wote hao wanajua kupiga pass
Usajili mzuri sana huuKiernan Drewsbury-Hall to Chelsea, here we go! Player on his way to medical today ahead of contract signing.Deal valid until June 2030 for KDH at Chelsea, reunited with Enzo Maresca.Chelsea to pay fee around £30m to Leicester City after final round of talks today.
@FabrizioRomano
https://x.com/FabrizioRomano
View attachment 3029813
Huyu bwana mdogo anafanana kama mchezaji....sura yake inaongea mengi sana.
Watatu wanaanza mmoja anaanzia bench
Naona ujio wa KDH naona ndio mwisho wa Galagher probably anauzwaWote hao wanajua kupiga pass