Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizi pesa tunazokusanya hawa watoto team inashindwa vipi kutoa 100-120 kwa watkin,isak,sesko,openda,etc
Kuna hatari ya kumnunua mchezaji wa mil 100 akaflop halafu hauziki
Mimi nawatetea hawa wamiliki
Lukaku mil 100 na mshahara wa 300K+ kwa wiki sasa hivi hata 20m hatupati kutoka kwake
Tuwekeze kwa vijana wadogo wana riski ndogo
Wee fikiria Marc Guiu kwa mil 5 akikomaa kidogo tu mil 50 au 80
Maon o ni mazuri ila yanahiotaji uvumilivu
Mashabiki wa Chelsea tujue kuwa zama za Abramovich na Marina umepitwa na wakati

Uhamisho wa Chelsea hadi sasa dirisha hili:

Tumenunua:
Tosin - bure
Guiu - £5m
Kellyman - £19m
Anselmino - £17? (TBC)
Jumla - £41m kwa wachezaji 4

Tumeuza:
Maatsen - £37.5m
Lewis Hall - £28m
Jumla - £65.5m kwa wachezaji 2

Faida ya Chelsea kwenye dirisha hili: + £24.5m
 
Utoe 100 kw Watkins?seriously, au hiyo gari ya mkaa Isak, Si bora ubaki na Jackson.
Nakuunga mkono, hatuna shida sana na mchezaji wa msimu mmoja au nusu msimu anarudi kitandani.
Kocha atengeneze safu ya ushambuliaji kupitia watoto....Jackson ameshindwa kutumia nafasi nyingi lakini haioneshi kuwa akina Guiu nae atashindwa kutumia nafasi za Jackson. Jackson anahitaji kitu kidogo sana ili awe bora.
 
Kuna hatari ya kumnunua mchezaji wa mil 100 akaflop halafu hauziki
Mimi nawatetea hawa wamiliki
Lukaku mil 100 na mshahara wa 300K+ kwa wiki sasa hivi hata 20m hatupati kutoka kwake
Tuwekeze kwa vijana wadogo wana riski ndogo
Wee fikiria Marc Guiu kwa mil 5 akikomaa kidogo tu mil 50 au 80
Maon o ni mazuri ila yanahiotaji uvumilivu
Mashabiki wa Chelsea tujue kuwa zama za Abramovich na Marina umepitwa na wakati

Uhamisho wa Chelsea hadi sasa dirisha hili:

Tumenunua:
Tosin - bure
Guiu - £5m
Kellyman - £19m
Anselmino - £17? (TBC)
Jumla - £41m kwa wachezaji 4

Tumeuza:
Maatsen - £37.5m
Lewis Hall - £28m
Jumla - £65.5m kwa wachezaji 2

Faida ya Chelsea kwenye dirisha hili: + £24.5m
Huyo Kelly man anacheza nafasi gani?
 
Dili la Brighton na Leicester city kumhusu Kiernan Dewsbury-Hall limeharibika baada ya Chelsea kumsubirisha Kiernan Dewsbury-Hall asifanye vipimo vya afya South Coast ili Chelsea ikabidhi Leicester city ombi lao la kumnunua Kiernan Dewsbury-Hall. Chelsea tumekuwa walafi kwenye usajili. Inabidi sheria ziongezwe na zibanwe maana akinaBoehly ni wazee wa loopholes

Kiernan Dewsbury-Hall ni kiungo kama
  1. Moises Caicedo
  2. Romeo Lavia
  3. Enzo Fernández
  4. Conor Gallagher
  5. Lesley Ugochwkwu
  6. Carney Chukwuemeka
  7. Andrey Santos
  8. Cesare Casadei
  9. Omari Kellyman
Hitaji letu muhimu ilikuwa ni Striker mzoefu na angalau ila sio lazima Winga wa kushoto na pia sio lazima CB wa kushoto

1719577888506.png
 
Kiungo mshambuliaji, ana mika 18
Chelsea imeshapotea kabisa kwanini tunasajili makinda wengi kwenye team kama vile ni team ya academy sippingi mpango wao but kusajili vitoto bila experience players kwenye ligi competitive kama Epl ni kupoteza muda si bora wangewekeza nguvu kwenye development squid ( Academy). Kule ndio tungekuwa tunapika wachezaji kuingia kwenye first team.Kama tutaendelea na mpango huu hata wale wachezaji wetu muhimu tutakuwa tunawapoteza kama hatutapata mafanikio kwa hii miaka michache hapo hapo tutakuwa hatuna nguvu sokoni kushawishi wachezaji wazuri waje
 
Dili la Brighton na Leicester city kumhusu Kiernan Dewsbury-Hall limeharibika baada ya Chelsea kumsubirisha Kiernan Dewsbury-Hall asifanye vipimo vya afya South Coast ili Chelsea ikabidhi Leicester city ombi lao la kumnunua Kiernan Dewsbury-Hall. Chelsea tumekuwa walafi kwenye usajili. Inabidi sheria ziongezwe na zibanwe maana akinaBoehly ni wazee wa loopholes

Kiernan Dewsbury-Hall ni kiungo kama Enzo, Caicedo, Gallagher, Lesley, Lavia, Kellyman, Casadei nk
Hitaji letu muhimu ilikuwa ni Striker mzoefu na angalau ila sio lazima Winga wa kushoto na pia sio lazima CB wa kushoto

View attachment 3028304
Sisi tunatakiwa tuongeze kiungo mmoja mkabaji asaidiane na Laiva awe msaada hata pale tutapomkosa laiva ili Caicedo awe free acheze role kama ya kante
 
Chelsea imeshapotea kabisa kwanini tunasajili makinda wengi kwenye team kama vile ni team ya academy sippingi mpango wao but kusajili vitoto bila experience players kwenye ligi competitive kama Epl ni kupoteza muda si bora wangewekeza nguvu kwenye development squid ( Academy). Kule ndio tungekuwa tunapika wachezaji kuingia kwenye first team.Kama tutaendelea na mpango huu hata wale wachezaji wetu muhimu tutakuwa tunawapoteza kama hatutapata mafanikio kwa hii miaka michache hapo hapo tutakuwa hatuna nguvu sokoni kushawishi wachezaji wazuri waje
Sio kila usajili unalenga timu kuu, hawa akina Boehly wanafikria huu mtego wa kuuziwa mchezaji kama Enzo au Caicedo kwa mil 100 kwenda juu utaweza kuteguliwa tu kwa kusajili prospect tallent popote walipo duniani. Focus yao kuu ni South America. Kwa kufanya hivi, in the long run watakuwa wakivuna faida kwa kuua ndege wawili kwa jiwe moja
  1. Kuwapata wachezaji wazuri wa main team bila kutumia pesa ndefu
  2. KUwauza wengine watakaozidi au watakaotakiwa kwa faida
 
Na vipi kuhusu mafanikio ya team hilo wamelizingatia?
 
Chelsea wana nia ya dhati ya kumsajili Alexander Isak kutoka Newcastle, huku mazungumzo ya ofa ya pauni milioni 100 yakiwa yanatarajiwa kuwekwa mezani kesho.

Enzo anamtaka mfungaji bora, na Newcastle, ingawa wanasita kuwauza wachezaji wao nyota, wanaweza kufikiria kumtoa Isak kwa ada nzuri ya si chini ya £100M kabla ya tarehe ya mwisho ya PSR kufungwa Julai 1.

Hebu tusubiri tuone jinsi hii inavyotokea.

1719607250915.png
 
Chelsea wamekubaliana na Boca Junior kumsajili Aaron Anselmino na atarudi Boca Junior kwa mkopo wa msimu mmoja

Aaron Anselmino to Chelsea Done
Fee of €17M agreed between Chelsea and Boca Juniors
Personal Terms agreed
Aaron will go back on loan to Boca.
Medical to follow
Huyu nasikia ataenda Ufaransa, Strasbourg kwa mkopo
 
Chelsea wana nia ya dhati ya kumsajili Alexander Isak kutoka Newcastle, huku mazungumzo ya ofa ya pauni milioni 100 yakiwa yanatarajiwa kuwekwa mezani kesho.

Enzo anamtaka mfungaji bora, na Newcastle, ingawa wanasita kuwauza wachezaji wao nyota, wanaweza kufikiria kumtoa Isak kwa ada nzuri ya si chini ya £100M kabla ya tarehe ya mwisho ya PSR kufungwa Julai 1.

Hebu tusubiri tuone jinsi hii inavyotokea.

View attachment 3028673
Huyu dogo katili sana matajiri watoe 100 hakuna hasara anachomzidi jackson ni technically ability yake yeye kuwachukuwa watu watatu wawili kawaida sana,one on one ndiye straiker hatari epl nzima,kasi ya hatari,ni caving master .
 
Nini maana ya Kiernan Dewsbury-Hall kusajiliwa??

Gallagher atauzwa!

Nini maana ya Santos kubakizwa msimu ujao??

Cesare Casadei, Lesley Ugochukwu na Carney Chukwuemeka watauzwa!

Nini maana ya Marc Guiu kununuliwa kwa ajili ya first team?

Datro Fofana atauzwa!

Nini maana ya Chelsea kutaka kumsajili Ricardo Calafiori.?

Badiashile atauzwa!

nini tena?
 
Dili la Brighton na Leicester city kumhusu Kiernan Dewsbury-Hall limeharibika baada ya Chelsea kumsubirisha Kiernan Dewsbury-Hall asifanye vipimo vya afya South Coast ili Chelsea ikabidhi Leicester city ombi lao la kumnunua Kiernan Dewsbury-Hall. Chelsea tumekuwa walafi kwenye usajili. Inabidi sheria ziongezwe na zibanwe maana akinaBoehly ni wazee wa loopholes

Kiernan Dewsbury-Hall ni kiungo kama
  1. Moises Caicedo
  2. Romeo Lavia
  3. Enzo Fernández
  4. Conor Gallagher
  5. Lesley Ugochwkwu
  6. Carney Chukwuemeka
  7. Andrey Santos
  8. Cesare Casadei
  9. Omari Kellyman
Hitaji letu muhimu ilikuwa ni Striker mzoefu na angalau ila sio lazima Winga wa kushoto na pia sio lazima CB wa kushoto

View attachment 3028304
Chelsea na Leicester city wameshakubaliana juu ya usajili wa Kiernan Dewsbury-Hall kwa dau la Pauni milioni 30. Anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya yake leo leo bila ngoma kulala
Kwa heri Gallagher tulikupenda lakini matajiri walipenda faida ghafi zaidi
@David_Ornstein

1719752173641.png
 
View attachment 3029797
Hii ni biashara nzuri zaidi huyu ni upgrade ya Gallagher in term of pass quality, role awareness and score ability
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom