Dogo vp...anaupiga mwingi?..nipeni AB zake...Chelsea wanasonga mbele zaidi katika mazungumzo ya kumsajili Marc Guiu kwa kuanzisha release clause yake ya pauni milioni 5.
Makubaliano na Guiu yalihusu mkataba wa muda mrefu yanazidi kukaribia na kuzidi ile ya Bayern baada ya mazungumzo chanya wikendi hii.
❗️ Barça ilimpa Guiu mkataba mpya - bado hakuna jibu la mwisho kutoka kwa upande wa mchezaji.
View attachment 3024178
Sawa...tumemuona kiongozi...tungoje je yaliyomo yamo?Wakubwa, first team. Ni striker mzuri akipewa dakika kadhaa pale hata 10 au 5 na baadhi ya mechi ndogo kama za Karabao itamtosha kukua na kukomaa. Akifikisha 20 huyo atakuwa ni striker wa kutufaa sana. Ukufuatilia maoni ya mashabiki wa Barcelona wanalaani ile mbaya.
Barcelona wameshindwa kumuweka kwa sababu hali yao ya kifedha wasingeweza kumpa mhshara wa mil 6 kwa mwaka ambao Chelsea wamemuahidi
Baadhi ya sifa zake
• Mrefu na mzuri hewani
• Ni mzuri kwenye kupiga mashuti ya nguvu
• Hutumia miguu yote miwili
• Agressive na mwenye nguvu
• Anajua kufanya mbio za timing kuwapita mabeki
• Kwa release clause ya £5m sio gamble mbaya, ni nzuri
View attachment 3026294
Wakubwa, first team. Ni striker mzuri akipewa dakika kadhaa pale hata 10 au 5 na baadhi ya mechi ndogo kama za Karabao itamtosha kukua na kukomaa. Akifikisha 20 huyo atakuwa ni striker wa kutufaa sana. Ukufuatilia maoni ya mashabiki wa Barcelona wanalaani ile mbaya.
Barcelona wameshindwa kumuweka kwa sababu hali yao ya kifedha wasingeweza kumpa mhshara wa mil 6 kwa mwaka ambao Chelsea wamemuahidi
Baadhi ya sifa zake
• Mrefu na mzuri hewani
• Ni mzuri kwenye kupiga mashuti ya nguvu
• Hutumia miguu yote miwili
• Agressive na mwenye nguvu
• Anajua kufanya mbio za timing kuwapita mabeki
• Kwa release clause ya £5m
Tatizo wakifika hawapewi nafasi ya kuchezaWakubwa, first team. Ni striker mzuri akipewa dakika kadhaa pale hata 10 au 5 na baadhi ya mechi ndogo kama za Karabao itamtosha kukua na kukomaa. Akifikisha 20 huyo atakuwa ni striker wa kutufaa sana. Ukufuatilia maoni ya mashabiki wa Barcelona wanalaani ile mbaya.
Barcelona wameshindwa kumuweka kwa sababu hali yao ya kifedha wasingeweza kumpa mhshara wa mil 6 kwa mwaka ambao Chelsea wamemuahidi
Baadhi ya sifa zake
• Mrefu na mzuri hewani
• Ni mzuri kwenye kupiga mashuti ya nguvu
• Hutumia miguu yote miwili
• Agressive na mwenye nguvu
• Anajua kufanya mbio za timing kuwapita mabeki
• Kwa release clause ya £5m sio gamble mbaya, ni nzuri
View attachment 3026294
We inakuuma niniKuna timu za mpira hafu kuna nyie wakora mna sajili tu kila siku hafu uwanjani bure kabisa.
poor chelkenge
Wakubwa, first team. Ni striker mzuri akipewa dakika kadhaa pale hata 10 au 5 na baadhi ya mechi ndogo kama za Karabao itamtosha kukua na kukomaa. Akifikisha 20 huyo atakuwa ni striker wa kutufaa sana. Ukufuatilia maoni ya mashabiki wa Barcelona wanalaani ile mbaya.
Barcelona wameshindwa kumuweka kwa sababu hali yao ya kifedha wasingeweza kumpa mhshara wa mil 6 kwa mwaka ambao Chelsea wamemuahidi
Baadhi ya sifa zake
• Mrefu na mzuri hewani
• Ni mzuri kwenye kupiga mashuti ya nguvu
• Hutumia miguu yote miwili
• Agressive na mwenye nguvu
• Anajua kufanya mbio za timing kuwapita mabeki
• Kwa release clause ya £5m sio gamble mbaya, ni nzuri
View attachment 3026294
Sisi washabiki hatutoi hela na wala hakuna anauetudai unaumia nini na ukiwa wapi?Kuna timu za mpira hafu kuna nyie wakora mna sajili tu kila siku hafu uwanjani bure kabisa.
poor chelkenge
Je' akija atafanya hayo? [emoji23]Uwezo wa Marc Guiu
1) Ustadi wa kutumia miguu yote miwili, ambayo inatupa makali mengi katika mechi.
2) Utumiaji mzuri wa nafasi za wazi: Ana uwezo mkubwa wa kucheza kwenye open spaces
3) Uwezo wa kupiga mpira kwa haraka unaruhusu fursa za kufunga mabao, kukamata timu pinzani bila ulinzi.
4) Uwezo mkubwa wa kupress, unachangia sana kwenye kujilinda na kijihami.
5) Uwezo mkubwa wa kupiga mashuti ya nguvu, mara nyingi husababisha mabao ya kuvutia wa masafa.
6) Ustadi wa kucheza hewani, akitumia faida yake ya urefu kutawala katika vichwa na kucheza mipira kwa ufanisi angani.
7) Katika kuwania mipira, nguvu za Marc zinaonekana, zikimruhusu kudumisha umiliki na kushinda changamoto za kuwania mipira mfululizo.
8) Mwisho, anaweza kukimbia haraka kwa timing nyuma ya mabeki kumekuwa muhimu katika kuvunja safu za ulinzi, na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga au kusaidia kufunga magoli.
View attachment 3027146
Muda wowote usajili wa Aaron Anselmino utakamilika, Boka Juniour wanamtaka kwa mkopo ila Chelsea wao wanamtaka aende Strasbourg kwa mkopoKuna lile deal la Yule dogo wa kule Boca Juniors ,sijui limefikia wapi
Chelsea wamekubaliana na Boca Junior kumsajili Aaron Anselmino na atarudi Boca Junior kwa mkopo wa msimu mmojaMuda wowote usajili wa Aaron Anselmino utakamilika, Boka Juniour wanamtaka kwa mkopo ila Chelsea wao wanamtaka aende Strasbourg kwa mkopo
View attachment 3027869
Hi naona kama longterm peoject na lengo la wamiliki ni kupata faida kwa kuuza wachezaji badaye sio kupata vikombe hivi karibuni.......ila hiyo biashara ni ya kubahatisha sanaa 50 50 anaweza akaflopChelsea wamekubaliana na Boca Junior kumsajili Aaron Anselmino na atarudi Boca Junior kwa mkopo wa msimu mmoja
Aaron Anselmino to Chelsea Done
Fee of €17M agreed between Chelsea and Boca Juniors
Personal Terms agreed
Aaron will go back on loan to Boca.
Medical to follow
Striker atasajiliwa ila sio experience, wako addicted na dogodogoHii chelsea yetu mbona wako bize sana sokoni, suala la msgambuliaji ndiyo huyo dogo wa Barca anakuja kufanya au kuna mwingine?
Naomba kujua maendeleo ya Lavia na Fofana wodini kama wameshatoka.
Hii Chelsea inakuaje na usajili wa vijana wadogo wengi hivi?
Hizi pesa tunazokusanya hawa watoto team inashindwa vipi kutoa 100-120 kwa watkin,isak,sesko,openda,etcStriker atasajiliwa ila sio experience, wako addicted na dogodogo
Wanamtaka yule wa Athletico Madrid anayeitwa Samu Omorodion ambaye ana miaka 20 tu na hajacheza mechi zozote competitive. Alves kache za mechi 34 na ana goli 8
GooodChelsea Trophies:![]()
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m
View attachment 2262786
Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg Wyss and Mark Walter
View attachment 2268766
Chairman: Todd Boehly
View attachment 2681294
Head Coach: Mauricio Pochettino
League Titles: 6
Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)
European Trophies: 9
UEFA Champions League: 2 (2011/12, 2020/2021)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 2 (1998, 2021)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 1970/71)
FIFA Club World Cup: 1 (2022)
FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)
League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)
Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)
View attachment 1889041Follow this thread for team updates!
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Super Cup Winners(2021)
View attachment 1801870
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Champions League Winner (2020/21)
View attachment 2117727
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned FIFA Club World Cup Winner (2022)
View attachment 2682733
Chelsea’s Premier League Fixture - 2023/24