Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Marc Cucurella vs Italy
  • 51/51 Accurate passes [100%]
  • 3 Key passes
  • 1 Big chance created
  • 4/5 Successful tackles [80%]
  • 8/10 Ground duels won [80%]
  • 2/2 Aerial duels won [100%]
  • 2 Passes into the final third
  • 6 Clearances
  • 2 Interceptions
  • 7 Recoveries
  • 0 Dispossessed
  • Most duels won: 10
  • Most tackles won: 4
  • Most rated: 8.5 [Fotmob MOTM]
1718917764930.png
 
Marc Cucurella vs Italy
  • 51/51 Accurate passes [100%]
  • 3 Key passes
  • 1 Big chance created
  • 4/5 Successful tackles [80%]
  • 8/10 Ground duels won [80%]
  • 2/2 Aerial duels won [100%]
  • 2 Passes into the final third
  • 6 Clearances
  • 2 Interceptions
  • 7 Recoveries
  • 0 Dispossessed
  • Most duels won: 10
  • Most tackles won: 4
  • Most rated: 8.5 [Fotmob MOTM]
View attachment 3021828
Halafu watu wanasema auzwe dah yani wachezaji wanaojituma hatuoni jitihada zao kabisa!!!
 
Hata huyo jude sinamuona akifanya chochote au ndio kma SAMATA TIMU YA TAIFA SIYO KIPAUMBELE CHAKE NI CLUB TU NA HATA MCHELE JANA SIKUMUONA
JUDE hata Madrid si mchezaji wa kuonekana sana,sema faida yake tu anaweza kufunga anapopata chance
 
Baada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default

Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Si mlisema mfumo wa sasa wa Chelsea haumsikilizi kocha anataka nini bali club inamtaka nani? Mbona U turn ya ghafla sana?
 
Baada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default

Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Usisahau kabla hatujapandisha dau la kumnunua Cucurella ni Guadiola alimtaka kwanza. Cucu passion based player na wahispaniola wako hivyo si kama akina Chilwel wazee wa kimbia kimbia
 
Olise off to Bayern baada ya Chelsea kujitoa

Naona sasa tumefikia hatua nzuri ya kutombeleza mchezaji maswala ya mishahara na pesa wanazotaka good.
 
Olise ni mchezaji mzuri wa RW LAKINI kumkosa ni kwa faida zaidi. Ninasema kwa faida zaidi na mtaelewa hili baadaye kama sio sasa. Tuna Estevao Willian na Kendry Paez wanaokuja kwenye nafasi hiyo hiyo na wanatakiwa kuingia kwenye main team direct, una Madueke na Gabriel wanaoendelea kukua na una Olise hapoyuko tu kuzuia maendeleo ya vipaji vya vijana hawa wa kizazi kipya. Hapana, hatuhitaji kuweka msisitizo tena kwenye RW. Tuna matatizo na LW na Striker na CB labda! tuweke mkazo hapo
 
Olise off to Bayern baada ya Chelsea kujitoa

Naona sasa tumefikia hatua nzuri ya kutombeleza mchezaji maswala ya mishahara na pesa wanazotaka good.
Halafu mshahara wa £ 220,000 kwa wiki huku Plamer akilipwa £75,000 na kwa data Palmer angeendelea kuwa mzuri kuliko Olise. Wewe unadhani agent wa Palmer angekaa kimya? Yangetutokea yale ya Man United tangu walipomchukuaga Alex Sancez akina Pogba wakaanza kubomoa timu kupitia malalamiko na sumu dressing room

Pamoja na kuwaasajili wachezaji bora, mshahara bado ni lazima usingatiwe especially kwa wachezaji wapya wachanga i8li kutoondoa morale kwenye dressing room na uwanjani
 
Napendelea hii approach waliokuja nao, hakuna haja ya kuanza kumlipa mchezaj hela kubwa halaf uwanjan impact yske ni ndogo
 
Halafu mshahara wa £ 220,000 kwa wiki huku Plamer akilipwa £75,000 na kwa data Palmer angeendelea kuwa mzuri kuliko Olise. Wewe unadhani agent wa Palmer angekaa kimya? Yangetutokea yale ya Man United tangu walipomchukuaga Alex Sancez akina Pogba wakaanza kubomoa timu kupitia malalamiko na sumu dressing room

Pamoja na kuwaasajili wachezaji bora, mshahara bado ni lazima usingatiwe especially kwa wachezaji wapya wachanga i8li kutoondoa morale kwenye dressing room na uwanjani
Safi sana, sasa umakini ni mkubwa kwenye kusajili
 
Timu hii ya Chelsea ya 2025 na kuendelea itakuwa hatari sana. Hapo una contenders watatu wa Ballon D'or

Weka Palmer na Nkunku ndani na bila kusahau Jackson wa 2025 atakuwa moto sana.

Jackson ----Nkunku ----Paez

Nkunku ----Palmer ---- Willian

Jackson ----Paez------Willian

Nkunku ---Palmer ---Paez

Jackson ----Nkunku ----Willian

1719080279395.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom