Na aandaliwe kitanda pembeni ya FOFANA.Tunasubiri BIG STATEMENT ya Olise
Na aandaliwe kitanda pembeni ya FOFANA.Tunasubiri BIG STATEMENT ya Olise
Anatokea klabu gani?Jhon Duran Colombian Haaland kwenda Chelsea.
Huu ndio utakao kua usajili bora wa msimu
2024-25.
Nategemea kumuona dogo akimaliza league akiwa moja kati ya wafungaji bora pale PL
Na atapelekea Jackson Kutumika kama winger Chelsea
Ni mzuri ana finishing nzuri sema tu bado yuko raw,Hapo hakuna striker tupe stats zake
FFP ni ngumu kuikamata Chelsea kwa sababu inamapata mapato sio kama akina Everton na Notigham Forest.Wamiliki wa kimarekani ni wapumbavu wameua klub nyingi kwa mtindo huu huu. They need to play it safe this time. Vinginevyo FFp is around the corner na academy wa Abramovichi wa kuuza hawatakiwepo tena maana sioni wakiimarisha academy wakati ndo imekuwa ikizalisha faida nyingi kwa club.
Gallagher ni mzuri ila chonde chone usimfananishe na Caicedo, Caicedo kamuacha mbali sana kwenye maeneo mengi muhimu kama CMMwe mnaangalia mpira. Angalia takwimu za Galagher kama zinamatch na midfield yoyote pale Chelsea. Siyo Caisedo, Enzo, Chukwemeka wala yeyote ameshine defensively and offensively kama Galagher
Wewe ndio unaona academy hawapo ila amini kwamba kuna wachezaj wapo wazuri sana ni swala la mda na nafasi,Wamiliki wa kimarekani ni wapumbavu wameua klub nyingi kwa mtindo huu huu. They need to play it safe this time. Vinginevyo FFp is around the corner na academy wa Abramovichi wa kuuza hawatakiwepo tena maana sioni wakiimarisha academy wakati ndo imekuwa ikizalisha faida nyingi kwa club.
Galagher ni mzuri usianze kumfananisha na Caicedo o Enzo. Hapo ndip mnakoseaMwe mnaangalia mpira. Angalia takwimu za Galagher kama zinamatch na midfield yoyote pale Chelsea. Siyo Caisedo, Enzo, Chukwemeka wala yeyote ameshine defensively and offensively kama Galagher
Huyu ndio mchezaji sasa nachomkubali huyu mwamba Ana skills za ufungaji sio kila mshambuliaji Ana hii kitu.Hii taarifa nimeipenda kwa kweli zile taarifa za Duran zilikuwa zinanikera ile mbayaBreaking News:
Chelsea wanamtaka Serhou Guirassy wa VfB Stuttgart. ambaye ni striker wao
Ana miaka 28
Msimu uliopita alifunga goli 30 na assists 2 kwenye mechi 30
Ni mzaliwa wa Ufaransa anayeichezea timu ya Taifa la Guinea
Nadhani dili la Jhon Jader Durán limefeli baada ya kufanyiwa background check na kukutwa na kasoro mojawapo anataka mshahara mkubwa. Taarifa zilivuja kuwa attitute yake sio nzuri
Serhou Guirassy ni mzuri kwa sababu ni wa umri mkubwa na atawapa akina Jackson nafasi ya kukua
View attachment 3018654
Nilimuona jana akicheza nilimkubali sana uchezaji wake yaani beki anatoa pasi kama kiungo habutui butui, kumbe chelsea wanamtaka ni aina ya wachezaji wa kisasa anatumia akili. Sio kina Challobar nguvu nyingi akili kidogo.Chelsea ilituma maskauti kumtazama Riccardo Calafiori ambaye ni beki wa katikati wa timu ya Taifa ya Italia na pia anaichezea klabu ya Bologna kwa sababu Enzo Maresca anamtaka
View attachment 3018661
Chelsea itafika mahala itakua ina mablack tu.Breaking News:
Chelsea wanamtaka Serhou Guirassy wa VfB Stuttgart. ambaye ni striker wao
Ana miaka 28
Msimu uliopita alifunga goli 30 na assists 2 kwenye mechi 30
Ni mzaliwa wa Ufaransa anayeichezea timu ya Taifa la Guinea
Nadhani dili la Jhon Jader Durán limefeli baada ya kufanyiwa background check na kukutwa na kasoro mojawapo anataka mshahara mkubwa. Taarifa zilivuja kuwa attitute yake sio nzuri
Serhou Guirassy ni mzuri kwa sababu ni wa umri mkubwa na atawapa akina Jackson nafasi ya kukua
View attachment 3018654
Riccardo Calafiori [2022]: "Ndoto yangu ingekuwa kucheza Ligi ya Premia. Naipenda sana West Ham au Chelsea."Nilimuona jana akicheza nilimkubali sana uchezaji wake yaani beki anatoa pasi kama kiungo habutui butui, kumbe chelsea wanamtaka ni aina ya wachezaji wa kisasa anatumia akili. Sio kina Challobar nguvu nyingi akili kidogo.
Chelsea ilituma maskauti kumtazama Riccardo Calafiori ambaye ni beki wa katikati wa timu ya Taifa ya Italia na pia anaichezea klabu ya Bologna kwa sababu Enzo Maresca anamtaka
View attachment 3018661
Hivi kwa nn Ngolo Kante aliuzwa? Dah. Namuona hapa france anakichafua kama ndio kwanza ana miaka 22