Ukiingia kwenye Comments za raia zimejaa kuisema chelsea 😂 anyway tulikuwa na msimu mbaya.
Japo kwenye footwork anaonekana Sanchez yupo vizuri but Ana makosa mengi yanayoigharimu time na prefer no 1 awe Petrovic yupo vizuri sana kwenye kudaka na hana makosa ya kijingqKipa gani inabidi awe namba moja msimu ujao
View attachment 3012479
Nani huyu?Hii ina ukweli wowote?
View attachment 3012607
Tosin Adarabioyo, beki wa FulhamNani huyu?
Huyu mbona tulishamsajili siku nyingi kama mchezaji huru kutoka FulamHii ina ukweli wowote?
View attachment 3012607
Japokuwa wote sio level ya Chelsea ila afadhali Petrovic.Kipa gani inabidi awe namba moja msimu ujao
View attachment 3012479
Ok huyu mbona kitambo tuTosin Adarabioyo, beki wa Fulham
Tamaa haijakatika ila tuu hakuna habari mpyaHumu kimya sana ni kwamba chama letu halina habari mpya au tumekata tamaa
Tunasubiri BIG STATEMENT ya OliseHumu kimya sana ni kwamba chama letu halina habari mpya au tumekata tamaa
Safi mkuuTunasubiri BIG STATEMENT ya Olise
Kama ni hivyo tupo pamojaTamaa haijakatika ila tuu hakuna habari mpya
Hapo hakuna striker tupe stats zakeJhon Duran Colombian Haaland kwenda Chelsea.
Huu ndio utakao kua usajili bora wa msimu
2024-25.
Nategemea kumuona dogo akimaliza league akiwa moja kati ya wafungaji bora pale PL
Na atapelekea Jackson Kutumika kama winger Chelsea