Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Wamiliki wa kimarekani ni wapumbavu wameua klub nyingi kwa mtindo huu huu. They need to play it safe this time. Vinginevyo FFp is around the corner na academy wa Abramovichi wa kuuza hawatakiwepo tena maana sioni wakiimarisha academy wakati ndo imekuwa ikizalisha faida nyingi kwa club.Tena watamuuza kwa bei rahisi ya pauni mil 25
Mashabiki wengi wanadai hata basi akiuzwa sio kwa bei chee
- Gallagher mil 50
- Broja bei imeshushwa hadi mil 30
- Maatsen RC ya mil 35
- Chalobah mil 25