Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hamna kocha hapa, hili kocha ni takataka. Timu kuuzwa kwa hao wa Marekani ilikuwa ni upumbavu mkubwa mno kuwahi kutokea kwenye historia ya Chelsea.
Klabu ya soka ya Chelsea inafuraha kutangaza uteuzi wa Enzo Maresca kama kocha mkuu mpya wa timu ya mpira ya wanaume.

Muitaliano huyo ataanza jukumu lake jipya mnamo tarehe 1 Julai 2024 kwa mkataba wa miaka mitano, na chaguo la nyongeza ya mwaka zaidi hadi 30 Juni 2030.

Laurence Stewart na Paul Winstanley, wakurugenzi-wenza wa michezo wa Chelsea, walisema:

‘Tuna furaha kumkaribisha Enzo Chelsea. Amejidhihirisha kuwa kocha bora mwenye uwezo wa kutoa matokeo ya kuvutia kwa mtindo uchezaji wa kusisimua na wenye utambulisho.

'Enzo ametuvutia sana katika mijadala yetu hadi kuteuliwa kwake. Matarajio yake na maadili ya kazi yanaendana na yale ya klabu. Tunatazamia sana kufanya kazi naye.

Kundi la umiliki wa Chelsea lilisema: ‘Tunafuraha kumkaribisha Enzo katika familia ya Chelsea. Tunatazamia kumuunga mkono yeye na timu nyingine ya wanamichezo katika kutimiza uwezo wao na matarajio yetu kwa miaka ijayo.

"Ni kocha mwenye kipawa cha hali ya juu na kiongozi ambaye tuna uhakika anaweza kusaidia kutimiza maono yetu na malengo ya ushindani kwa Klabu."

Maresca alisema: ‘Kujiunga na Chelsea, moja ya klabu kubwa duniani, ni ndoto kwa kocha yeyote. Ndio maana nimefurahishwa sana na fursa hii.

"Ninatarajia kufanya kazi na kundi la wachezaji na wafanyakazi wenye vipaji ili kukuza timu ambayo inaendeleza utamaduni wa mafanikio wa klabu na kuwafanya mashabiki wetu wajivunie."

View attachment 3007714
 
lembu tunaomba utuletee ubora wa huyo beki wa Fulham tunayetaka kumsajili maana nimewaza kwa sauti vile Fulham walivyokuwa back line ilivyokuwa inaruhusu magoal inanitia shaka kidogo

Mimi ninaimani nae atatuvusha
Ni mzuri kwenye mipira ya juu, passing kama ya akina Luiz na pia kwenye kukaba. UZoefu wake wa EPL unaweza kuwa replacement ya Silva hata kama hatafikia kiwango cha Silva

Breaking :

Katika kikao na bodi Enzo Maresca aliulizwa iwapo anadhani kikosi hiki kipo tayari kuwania nafasi ya nne msimu ujao , alijibu kuwa hakuja chelsea kuwania 4 bora na anaamini kikosi hiki chenye vipaji vingi kwenye kikosi kinapaswa kupigana ubingwa wa ligi kuu. Anataka kuwapa changamoto Man City na Arsenal kwa ajili ya ubingwa wa ligi kuu msimu ujao na anataka pre season kuanza kesho ili aanze mazoezi na kikosi.
[kupitia @SkyKaveh ]
 
Mimi sitasema neno
Kama ilivyokuwa kwa Pochettino, nampa muda, nusu msimu unatosha kujua kama tutakwenda naye mbali au #ENZOOUT
Sawa, tuwe na akiba za maneno ila kwa usajili wanaotaka Chelsea SC ni upumbavu juu ya upumbavu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ni mzuri kwenye mipira ya juu, passing kama ya akina Luiz na pia kwenye kukaba. UZoefu wake wa EPL unaweza kuwa replacement ya Silva hata kama hatafikia kiwango cha Silva

View attachment 3007866
Naomba ya chalobar akipga pasi kama hizo.
Hao ndio mabeki wa kisasa siyo hii takataka chaloba, akiwa na mpira anawaza kumpasia kipa.
 
lembu tunaomba utuletee ubora wa huyo beki wa Fulham tunayetaka kumsajili maana nimewaza kwa sauti vile Fulham walivyokuwa back line ilivyokuwa inaruhusu magoal inanitia shaka kidogo

Mimi ninaimani nae atatuvusha
Beki mzuri sana huyo.

Team kuruhusu magoal inategemea na ubovu wa team na muundo wa team kuzuia.
 
Breaking :

Katika kikao na bodi Enzo Maresca aliulizwa iwapo anadhani kikosi hiki kipo tayari kuwania nafasi ya nne msimu ujao , alijibu kuwa hakuja chelsea kuwania 4 bora na anaamini kikosi hiki chenye vipaji vingi kwenye kikosi kinapaswa kupigana ubingwa wa ligi kuu. Anataka kuwapa changamoto Man City na Arsenal kwa ajili ya ubingwa wa ligi kuu msimu ujao na anataka pre season kuanza kesho ili aanze mazoezi na kikosi.
[kupitia @SkyKaveh ]
Ila waandishi wahabari😂😂😂😂
 
Chelsea dhidi ya Mancity imeibuka kuwa mechi nzuri kuliko zote EPL msimu uliopita

1717511234565.png
 
Wakati Chelsea ilipomsajili Cole Palmer kwa £45m mwaka jana kila mtu walidhihaki sana na kusema ni kupoteza pesa bure pesa.

Je sasa bado wanadhihaki?

1717558320469.png
 
Vipi kama olise akitua kwenye uzi wa blue ataongeza kitu kwenye kikosi au na yeye ni kama wachezaji wengi mnavyowaita takataka
Olise akitua itakuwa poa sana wakifanya partner na Palmer. Kumbuka Chelsea tunakosa finishers wazuri, Chelsea wanatengeneza nafasi nyingi sana ila watuamiaji wa hizo nafasi ndo hatuna.
 
Olise akitua itakuwa poa sana wakifanya partner na Palmer. Kumbuka Chelsea tunakosa finishers wazuri, Chelsea wanatengeneza nafasi nyingi sana ila watuamiaji wa hizo nafasi ndo hatuna.
Kwani olise ni mzuri kwenye finish
 
Olise akitua itakuwa poa sana wakifanya partner na Palmer. Kumbuka Chelsea tunakosa finishers wazuri, Chelsea wanatengeneza nafasi nyingi sana ila watuamiaji wa hizo nafasi ndo hatuna.
Olise ni mzuri kwenye kutengeneza nafasi na kufunga mabao kwenye mazingira ya mbali. Ni kama Bukayo Saka, ukimpa nafasi tu kidogo hata akiwa mbali anaweka kwenye angle ya 90 degree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom