lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Hadi unarespond kwenye taarifa kama hizi kweli bro!!! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hadi ww unaleta taarifa kama hii kweli bro.?
Hadi unarespond kwenye taarifa kama hizi kweli bro!!! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hadi ww unaleta taarifa kama hii kweli bro.?
DuhChelsea imepokea pauni mil 8 kama bonus ya Kepa kwa RM kushinda UCL
Pia imepokea pauni mil 5 ya Hazard kwa RM kushinda UCL.
View attachment 3006283




Isak 1v1 ni hatari kuliko mshambuliaji yoyote EplUnatamani nani atuwe blues kati ya isak au osimhen kuja kumpa changamoto Jackson
Pia lilikuwa goli bora la mwezi May 2023/2024Goli la Moises Caisedo dhidi ya Bornemouth mechi ya ligi ya mwisho wa msimu lapigiwa kura na mashabiki wa Chelsea kuwa goli bora la msimu wa 23-24
HONGERA SANA MOI
View attachment 3005574
ila ana trip nyingi sana za mloganzila.Isak 1v1 ni hatari kuliko mshambuliaji yoyote Epl
Kweli kama hayupo fit tunaenda na Jackson mpaka akae sawa .ila ana trip nyingi sana za mloganzila.
Jackson nae asipokuwa fitKweli kama hayupo fit tunaenda na Jackson mpaka akae sawa .
Nyie na ueropa conference cha kuwatenganisha labda kifo pekee yani ueropa waitoe man u timu yenye mafans wakutosha wabaki na nyie wakora .UEFA imewapa Manchester United hadi Jumatatu kutafuta suluhu kuhusu ushiriki wao wa Ligi ya EUROPA msimu ujao.
Muda huu umewekwa kutokana na mgongano wa kimaslahi unaotokana na ukweli kwamba mmiliki mwenza wa United, Sir Jam Ratcliffe, pia anamiliki klabu ya Nice, ambayo imefuzu kwa mashindano hayo.
Kulingana na kanuni za UEFA, chombo kimoja hakiwezi kuwa na ushawishi mkubwa kwa vilabu viwili au zaidi vinavyoshiriki katika ligi moja.
Ikizingatiwa kuwa Nice walimaliza ligi wakiwa juu zaidi kuliko United, Mashetani Wekundu wanaweza kuhitajika kushuka hadi Ligi ya Conference ya Europa isipokuja na azimio la kutoa suluhisho.
View attachment 3004818
Ake unafananisha na hiyo takataka, Ake hata kiungo anacheza, sasa hiyo kiaz inajua tu kuzuia ndio ukaifananishe na Ake acheni basi masihara.
Beki za kisasa zinazuia na zinatoa pasi bila mawenge, angalia akina VVD, Saliba, Stones, Ake halafu nyie mna Challoba hahahaha...
Ambaye tutakuja kujutia tukimuuza ni Badiashile, ni bonge moja la beki wa kisasa. Japo kw sasa bado anamakosa mengi yanayoigarimu timu ila sio hiyo mbatata.
Unajisumbua bure kubishana na huyo jamaa kuhusu Chalobah. Huyo jamaa hajua kuwa Chalobah katupa kombe la champions league 2022Wewe unabase uchezaji wake alipokuwa kwenye form mbaya 2022. Kama ni clip 100 basi weka 200 na zile wakati wa Tuchel kabla ya kwenda majeruhi
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe
- Chalobah ni fast
- Anajua kusoma mchezo
- Wakati wa TT alicheza vizuri sana
- Wakati wa Potter alicheza vibaya
- Wakati wa mshavu kacheza vizuri kama wakati wa TT
- Mipira ya juu yeye ndie pekee mwenye uwezo wa kuzipangua
- Mechi nyingi alizocheza rate ya Chelsea kushinda ilikuwa kubwa sana
- Ni mzalendo wa kweli
- Akiondoka aondoke tu kwa ajili ya vitabu na sio kwa vile ni CB mbovu
AfadhaliMpango wa kumsajili Victor Osimhen kwa sasa ni OFF
Afadhali
Waniletee Sesko
Takataka tu , hamna lolote humu .Klabu ya soka ya Chelsea inafuraha kutangaza uteuzi wa Enzo Maresca kama kocha mkuu mpya wa timu ya mpira ya wanaume.
Muitaliano huyo ataanza jukumu lake jipya mnamo tarehe 1 Julai 2024 kwa mkataba wa miaka mitano, na chaguo la nyongeza ya mwaka zaidi hadi 30 Juni 2030.
Laurence Stewart na Paul Winstanley, wakurugenzi-wenza wa michezo wa Chelsea, walisema:
‘Tuna furaha kumkaribisha Enzo Chelsea. Amejidhihirisha kuwa kocha bora mwenye uwezo wa kutoa matokeo ya kuvutia kwa mtindo uchezaji wa kusisimua na wenye utambulisho.
'Enzo ametuvutia sana katika mijadala yetu hadi kuteuliwa kwake. Matarajio yake na maadili ya kazi yanaendana na yale ya klabu. Tunatazamia sana kufanya kazi naye.
Kundi la umiliki wa Chelsea lilisema: ‘Tunafuraha kumkaribisha Enzo katika familia ya Chelsea. Tunatazamia kumuunga mkono yeye na timu nyingine ya wanamichezo katika kutimiza uwezo wao na matarajio yetu kwa miaka ijayo.
"Ni kocha mwenye kipawa cha hali ya juu na kiongozi ambaye tuna uhakika anaweza kusaidia kutimiza maono yetu na malengo ya ushindani kwa Klabu."
Maresca alisema: ‘Kujiunga na Chelsea, moja ya klabu kubwa duniani, ni ndoto kwa kocha yeyote. Ndio maana nimefurahishwa sana na fursa hii.
"Ninatarajia kufanya kazi na kundi la wachezaji na wafanyakazi wenye vipaji ili kukuza timu ambayo inaendeleza utamaduni wa mafanikio wa klabu na kuwafanya mashabiki wetu wajivunie."
View attachment 3007714
Mimi ninaimani nae atatuvushaTunawaacha watu wa maana tunakimbilia majitu ya ovyo kuja kufanya coaching Chelsea ......
Hii ni aibu