Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kapige kura mechi bora ya msimu
Mimi nimepiga, inayoongoza hadi sasa ni Chelsea vs Man city 4-4
Ikifuatiwa na Chelsea vs Man Un ited 4-3
Mwongozo tafadhali Chifu...🤗

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tosin Adarabioyo anatarajiwa kufanya vipimo vya afya yake wiki ijayo kabla ya kusaini mkataba wa muda mrefu na klabu ya Chelsea.
1717258570355.png
 
Kuna watu wanasema Chalobah hawezi kupasi mpira, hiyo ilikuwa 2022 tena baada ya kutoka majeruhi.
Huyu Chalobah wa 2023/24 ni mwingine kabisa. Mechi nyingi alizocheza Chalobah kama CB ay RB Chelsea ilishinda na haikufungwa magoli ya kijinga kama ya Disasi na Badiashile
Ebu cheki hiyo pasi kwenda kwa Madueke

View attachment 3005331
Hata saa mbovu kuna muda mmoja huwa inasema ukweli.

Huyo ni takataka kama unaangalia clip 100, ukarelay kwnye hiyo clip moja ukaacha nyingine 99 ambazo alishindwa kupga pass sahihi na kulikua na chance ya kupga pass akaishia kurudsha kwa kipa. kuna mahala patakua panashida.

Ningekua najua namna ya kuzipata hizo clip ningekuletea mpk ningejaza seva y JF, we ungebaki na hako hako kaclip kako kamoja. Kama hutojali naomba kujua namna ya kudukua hivyo viclip.
 
Kapige kura mechi bora ya msimu
Mimi nimepiga, inayoongoza hadi sasa ni Chelsea vs Man city 4-4
Ikifuatiwa na Chelsea vs Man Un ited 4-3
Aliyemfatia Garnucho kwa kura nyingi kwenye best goal of the season 2023/24 ni Mchezaji gani?
 
Hata saa mbovu kuna muda mmoja huwa inasema ukweli.

Huyo ni takataka kama unaangalia clip 100, ukarelay kwnye hiyo clip moja ukaacha nyingine 99 ambazo alishindwa kupga pass sahihi na kulikua na chance ya kupga pass akaishia kurudsha kwa kipa. kuna mahala patakua panashida.

Ningekua najua namna ya kuzipata hizo clip ningekuletea mpk ningejaza seva y JF, we ungebaki na hako hako kaclip kako kamoja. Kama hutojali naomba kujua namna ya kudukua hivyo viclip.
Wewe unabase uchezaji wake alipokuwa kwenye form mbaya 2022. Kama ni clip 100 basi weka 200 na zile wakati wa Tuchel kabla ya kwenda majeruhi

Mnyonge mnyongeni haki yake apewe
  1. Chalobah ni fast
  2. Anajua kusoma mchezo
  3. Wakati wa TT alicheza vizuri sana
  4. Wakati wa Potter alicheza vibaya
  5. Wakati wa mshavu kacheza vizuri kama wakati wa TT
  6. Mipira ya juu yeye ndie pekee mwenye uwezo wa kuzipangua
  7. Mechi nyingi alizocheza rate ya Chelsea kushinda ilikuwa kubwa sana
  8. Ni mzalendo wa kweli
  9. Akiondoka aondoke tu kwa ajili ya vitabu na sio kwa vile ni CB mbovu
 
Angalau Chelsea sasa imeanza kuweka vipaumbele kwa wachezaji warefu kama Tosin Adarabioyo, ambaye ni nyongeza nzuri ikizingatiwa kuwa anajiunga nasi bila malipo.

View attachment 3005728
Angalau Chelsea sasa imeanza kuangazia wachezaji warefu kama Tosin Adarabioyo, ambayo ni nyongeza chanya ikizingatiwa kuwa anajiunga nasi bila malipo.
Issue sio tu kuwa mrefu je mipira mirefu ana win? isije ikawa kama bashiachile na Disasi wana urefu ambao hauna matumizi
 
Chelsea imepokea pauni mil 8 kama bonus ya Kepa kwa RM kushinda UCL
Pia imepokea pauni mil 5 ya Hazard kwa RM kushinda UCL.

1717296795803.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom