Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chalobah anauzwa, CB mpya wa nini? mada ilibase kwenye wachezaji waliopo, soma vizuri
WanaChelsea tujue kuchuka habari. Hakuna source reliable imesema Chalobah anauzwa. Ndo hivyo hivyo mshaanza kusema De Zerbi 60% to Chelsea wakati hakuna Chanzo cha Uhakika kiliripoti hivyo.
 
  1. Chalobah to Man United
  2. Gallagher to Aston Villa/Spurs
  3. Broja to Monaco
  4. Maatsen to Dortmund
  5. Sarr -
  6. Lukaku - Saudi
  7. Ziyech - Galatasaray
**Hawa wote wanauzwa
Hata hivyo itategemea sana na kocha mpya na negotiation watakayokubaliana na SD na maafikiano, otherwise nguvu ya Chelsea kuingia sokoni msimu ujao itategemea sana mauzo ya wachezaji
Lakini tujue pia kabla ya kutafuta reliable source kuwa kilichomuondoa Pochettino kwa sehemu kubwa ni Gallagher ambayue alikuwa akimng'ang'ania
 
Stori ya Pochetino mimi nishafunga wakati huu ni Maresca. Nachojua Chelsea inaonyesha mwanga upande wa katikati na mbele japo tunahitaji winger mmoja na striker wa kutoa competition kwa Jackson. Nyumba ndiko tumekuwa na shida kwa msimu huu uliopita na sababu moja wapo ni injuries za James na Chilwell. Tunahitaji CB wa uhakika na katika eneo hili la kati Chalobah hawezi kuuzwa
 
S
  1. Chalobah to Man United
  2. Gallagher to Aston Villa/Spurs
  3. Broja to Monaco
  4. Maatsen to Dortmund
  5. Sarr -
  6. Lukaku - Saudi
  7. Ziyech - Galatasaray
**Hawa wote wanauzwa
Hata hivyo itategemea sana na kocha mpya na negotiation watakayokubaliana na SD na maafikiano, otherwise nguvu ya Chelsea kuingia sokoni msimu ujao itategemea sana mauzo ya wachezaji
Lakini tujue pia kabla ya kutafuta reliable source kuwa kilichomuondoa Pochettino kwa sehemu kubwa ni Gallagher ambayue alikuwa akimng'ang'ania
Sasa unamuuza chalobah ili umnunue nani? Tina kikosi kizuri sana yenye maboresho upande wa winga, foward na beki wa kati...tofauti na hapo ni matumizi mabaya ya pesa
 
Wafanyakazi 8 wa benchi la ufundi wa Enzo Maresca katika Chelsea walichaguliwa kama alitaka kupata wakufunzi wenye ustadi zaidi duniani na wafanyikazi wa kiufundi.

Kila mfanyakazi aliyesajiliwa alikaguliwa na Chelsea ili kuhakikisha kuwa anakidhi matarajio yao na watajumuisha:
  1. Willy Caballero - Meneja Msaidizi
  2. Danny Walker - Kocha (ushambuliaji)
  3. Michele De Bernardin - Kocha wa Makipa
  4. Ben Roberts - Kocha wa Makipa na Mkuu wa Makipa wa Kimataifa
  5. Marcos Alvarez - Kocha wa fitness
  6. Bernardo Cueva - Kocha wa set-pieces
  7. Javier Molina Caballero - Mchambuzi
  8. Roberto Vitiello - Development Coach
 
Swala la hao wachezaji hata mimi na mashabiki wengi wa Chelsea hatupendi ila suala la kubalance vitabu ni la lazima kama sio kwa msimu uliopita basi kwa msimu ujao ili tuweze kuingia sokoni kununua wachezajui muhimu wa kuziba viraka vilivyopo

Kumbuka tuna hawa CBs
  1. Fofana
  2. Disasi
  3. Colwill
  4. Badiashile
  5. Cucurella na James pia wanachezaga kama CB
 
Best 10 Eden Hazard's goals ni habari nyingine kabisa kati ya Wachezaji mahiri waliowahi kutokea Chelsea ukiangalia kwenye YouTube.

Wachezaji wanyumbulifu, wenye kasi na wepesi kuchenga, ku-drible, kutoa pass assists, kujipanga kwa kufunga na kuilazimisha ngome ya wapinzani kufanya makosa hadi wafungwe waliishia kwa akina Edern Hazard?

Madueke na Mudrick wana kazi za ziada sana, hawajafikia hata 25% kwa skills, confidence, pass accuracy, dribbling, stamina, winning mentalities, sharpness, working spirits, goal scoring position na disciplines.
 
Hapa ndipo wazungu wametuacha mbali kocha anakuja na timu yake ilioshiba
 
Enzo Maresca anakuja na hii timu yake
  1. Willy Caballero - Assistant Manager (Analysis and tactical observation)
  2. Danny Walker - Assistant Manager (Offensive)
  3. Michele de Bernardin - Goalkeeping coach
  4. Marcos Alvarez - Fitness coach
  5. Javier Molina Caballero - First team analysts
  6. Roberto Vitiello - Development Coach
Walioongezwa ambao walishakuwepo
  1. Ben Roberts - Kocha wa Makipa na Mkuu wa Makipa wa Kimataifa
  2. Bernardo Cueva - Kocha wa set-pieces
 
Swala la hao wachezaji hata mimi na mashabiki wengi wa Chelsea hatupendi ila suala la kubalance vitabu ni la lazima kama sio kwa msimu uliopita basi kwa msimu ujao ili tuweze kuingia sokoni kununua wachezajui muhimu wa kuziba viraka vilivyopo

Kumbuka tuna hawa CBs
  1. Fofana
  2. Disasi
  3. Colwill
  4. Badiashile
  5. Cucurella na James pia wanachezaga kama CB
Kumuuza Chalobah ni mistake ,ni bora tungemuuza takataka yule Fofana , mchezaji gani kila siku kitandani ?
 
Tena watamuuza kwa bei rahisi ya pauni mil 25
Mashabiki wengi wanadai hata basi akiuzwa sio kwa bei chee
  1. Gallagher mil 50
  2. Broja bei imeshushwa hadi mil 30
  3. Maatsen RC ya mil 35
  4. Chalobah mil 25
 
Best 10 Eden Hazard's goals ni habari nyingine kabisa kati ya Wachezaji mahiri waliowahi kutokea Chelsea ukiangalia kwenye YouTube.

Wachezaji wanyumbulifu, wenye kasi na wepesi kuchenga, ku-drible, kutoa pass assists, kujipanga kwa kufunga na kuilazimisha ngome ya wapinzani kufanya makosa hadi wafungwe waliishia kwa akina Edern Hazard?

Madueke na Mudrick wana kazi za ziada sana, hawajafikia hata 25% kwa skills, confidence, pass accuracy, dribbling, stamina, winning mentalities, sharpness, working spirits, goal scoring position na disciplines.
Wakubwa huu ujumbe usipuuzwe kujibiwa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kumuuza Chalobah ni mistake ,ni bora tungemuuza takataka yule Fofana , mchezaji gani kila siku kitandani ?
Gallagar na challoba wote ni matakataka wauzwe tu hat kwa aftatu tatu itakua biashara nzuri, michezaji gani inajua kukaba kupga pasi haiwezi. Kwa kocha anaejielewa hawezi kuiweka hiyo mizigo kwnye kikosi chake.

Huyu kocha kama niwakuposses mpira hiyo migobole haimfai hata kidogo.
 
Gallagher anafaa kwenye mfumo wa Kocha wa sasa na pia Chalobah ameimprove sio yule wa 2022, sasa hivi anajua kupiga pasi na msimu mmoja zaidi Chalobah atakuwa hot cake CB
 
Yaliotutokea kwa AKE yanajirudia kwa chaloba
 
UEFA imewapa Manchester United hadi Jumatatu kutafuta suluhu kuhusu ushiriki wao wa Ligi ya EUROPA msimu ujao.

Muda huu umewekwa kutokana na mgongano wa kimaslahi unaotokana na ukweli kwamba mmiliki mwenza wa United, Sir Jam Ratcliffe, pia anamiliki klabu ya Nice, ambayo imefuzu kwa mashindano hayo.

Kulingana na kanuni za UEFA, chombo kimoja hakiwezi kuwa na ushawishi mkubwa kwa vilabu viwili au zaidi vinavyoshiriki katika ligi moja.

Ikizingatiwa kuwa Nice walimaliza ligi wakiwa juu zaidi kuliko United, Mashetani Wekundu wanaweza kuhitajika kushuka hadi Ligi ya Conference ya Europa isipokuja na azimio la kutoa suluhisho.

1717162311665.png
 
View attachment 3004818
Sheria hizi wakati mwingine huwa zinabakwa hadharani sababu tu ya nguvu za pesa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom