Ukitaka proven coach huwez mpata kwa sasa hiyo chance Tulikuwa nayo last summer tukaletewa huyo bwana mashavu
Mistakes juu ya mistake .
Wanazingua Sana Hawa wapuuzi ,tulikuwa na nafasi ya kumpata Julian au Hans Flick msimu uliopita ila tukazingua
 
Unapaswa kuelewa kuwa De Zerbi is unproven coach.
Hata Xabi alonso ni unproven coach, wacha tu take risk kwa akina Robert De Zerbi na Kieran McKenna, ikikataa kuna plan B tayari, one thing I am sure, De Zerbi ni upgrade ya Poche, kwa Kieran McKenna ni mzuri sana ila kuna risk kubwa pia nyuma yake
 
Katika kitu ambacho wakurugenz wetu wanachokosea ni pale unapofukuza kocha halaf ndio uanze kutafuta.

Club zote zenye wakurugenzi wanaojielewa hata kabla ya kufukuza kocha tayar huwa washakuwa na mtu tayari.

Leo West Ham moyes anaondoka ila plan ya Kocha mwingine ilikuwa tayari

Ila sisi sasa😂😂
Ndani ya wiki ijayo tutajua kocha tayari, nothing is too late kwa sababu pre season bado na commitment za mechi hakuna.
Chelsea walikutana na representative wa Kieran McKenna wiki iliyopita zilizopita maana yake kabla Poche hajaachia ngazi. Pia nadhani Chelsea wana mkono kwa Robert De Zerbi
 
Hivi kuna watu wanamtetea Poche? Kisa mechi za mwishoni? Jamaa alikosa mbinu kabisa kusema kweli.
Poche ameshakosa mbinu kama old dog
Hata hiyo mwishoni alibahatisha tu na alilazimihswa kwa sababu ya majeruhi, tulifikisha 14 injuries, hakuwa na ujanja hata mchezaji asiyemtaka ilibidi amtumie tu
POche akiwa na full fit squad ni mbovu mbovu sana kwenye kupanga timu, Mara hutashangaa Badiashile akipangwa winga na Jackson akiwekwa CB. Yule fala fala wa kutupwa
 
Manchester United’s four man shortlist :
  1. Pochettino
  2. Frank
  3. Tuchel
  4. McKenna
 
Miezi ya Pochettino Katika Mchanganuo wa EPL;
Idadi ya pointi alizojizolea dhidi ya pointi zilzotakiwa
  • Mwezi - Pointi
  • Agosti - 4/9
  • Septemba - 1/9
  • Oktoba - 7/12
  • Novemba - 4/9
  • Desemba - 12/18
  • Januari - 3/6
  • Februari - 4/9
  • Machi - 5/9
  • Apr - 8/15
  • Mei - 15/15
Jumla kuu ya ponti zote ni 63/114 sawa na 55%
 
Kulingana na vyanzo vya ndani vya Chelsea,
chaguo la Todd Boehly ni Roberto DeZerbi na
chaguo la Egbali ni Kieran McKenna.
 
Kuna taarifa kutoka SPN kwamba Boehly anatarajia kuuza stock zake zote Chelsea
Tukumbuke kuwa Boehly alikuwa akimtetea Pochettino baada ya kufanya vizuri mwishoni
Alisikika kwenye vyombo vya habari akisifia mchezo mzuri ulioonyeshwa na Chelsea
Pia alidirika kumualika Pochettino kwenye chakula cha jioni na kuwa na mazungumzo yafaragha naye
Tukumbuke pia kuwa Eghbali kwenye kikao cha kumhakiki Pochettino alikuja na rundo la taarifa mbaya kuhusu Pochettino kwenye maeneo ya nafasi kubwa zilizokoswa pamoja na nafasi nyingi za set pieces ambazo hazikubadilishwa kuwa magoli
Hii taarifa ya Boehly kuuza stock zake inaonyesha kuwa Boehly na Eghbali wako kwenye mvutano mkubwa kwenye hili saga ya kumsimamisha Pochettino na sakata zima la kumuajiri kocha mpya
Kama taarifa hizi ni za kweli na kama hili litatokea, basi tutegemee twist kubwa sana kwenye hatima ya Chelsea kimaendeleo na kimafanikio.
Kuna kila hali kuwa Chelsea itarudi kwenye square zero kwenye kila kitu
 
Wamiliki wameshanza kuona kuwa wanafanya maamuzi yasiyo sahihi na muda si mrefu Toddy atauza his zake au kwa lugha nyingine Toddy ataondoa mtaji wake.
 
Chelsea tangu aondoke Tuchel imekuwa ni takataka. Kwa mara ya kwanza Poch kaonesha uelekeo hata ukiulizwa sasa unaweza kuitaja timu na kuona ni wapi tunataka wachezaji wapya. Unaweza kuona muunganiko wa timu ndani ya uwanja na hata nje ya uwanja. Hivi ndo vitu vinajengwa kwanza ili upate timu ya ushindani. Ila kwa kuwa vinadhauliwa Chelsea hii ambayo mwaka jana imepata hasara ya 105M itajikuta inapitia njia za Everton au Nortingam Forest na Monaco
 
Kuna taarifa kutoka SPN kwamba Boehly anatarajia kuuza stock zake zote Chelsea
Tukumbuke kuwa Boehly alikuwa akimtetea Pochettino baada ya kufanya vizuri mwishoni
Alisikika kwenye vyombo vya habari akisifia mchezo mzuri ulioonyeshwa na Chelsea
Pia alidirika kumualika Pochettino kwenye chakula cha jioni na kuwa na mazungumzo yafaragha naye
Tukumbuke pia kuwa Eghbali kwenye kikao cha kumhakiki Pochettino alikuja na rundo la taarifa mbaya kuhusu Pochettino kwenye maeneo ya nafasi kubwa zilizokoswa pamoja na nafasi nyingi za set pieces ambazo hazikubadilishwa kuwa magoli
Hii taarifa ya Boehly kuuza stock zake inaonyesha kuwa Boehly na Eghbali wako kwenye mvutano mkubwa kwenye hili saga ya kumsimamisha Pochettino na sakata zima la kumuajiri kocha mpya
Kama taarifa hizi ni za kweli na kama hili litatokea, basi tutegemee twist kubwa sana kwenye hatima ya Chelsea kimaendeleo na kimafanikio.
Kuna kila hali kuwa Chelsea itarudi kwenye square zero kwenye kila kitu
Mkumbuke moja kati ya kipengele kwenye mauzo ya team ni hawawamiliki hawatakiwi kuuza team o stakes ndani ya miaka 10
 
Wamiliki wameshanza kuona kuwa wanafanya maamuzi yasiyo sahihi na muda si mrefu Toddy atauza his zake au kwa lugha nyingine Toddy ataondoa mtaji wake.
Hawezi uza mikataba ya mwanzo inawafunga hiyo.
Nendeni mkatafute mashart waliyopewa wakat wanainunua team.

60% ya stakes inamilikiwa na Clearlake (Eghbali na Feliciano) hiyo 40% iliyosalia ni ya Wyss,Boehly,Walter
 
Mkumbuke moja kati ya kipengele kwenye mauzo ya team ni hawawamiliki hawatakiwi kuuza team o stakes ndani ya miaka 10
Ni kweli kabisa kuwa wamiliki wapya wa Chelsea waliwekewa katazo kulipa gawio (dividends), kuuza hisa au kuchukua ada za usimamizi (management fee) kwa miaka 10. ila hatujui vitu viwili
  1. Kwamba hilo katazo ni sheria au commitment tu
  2. Undani wa hilo katazo na masharti yake
 
Back
Top Bottom