Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata hiyo mwishoni alibahatisha tu na alilazimihswa kwa sababu ya majeruhi, tulifikisha 14 injuries, hakuwa na ujanja hata mchezaji asiyemtaka ilibidi amtumie tu
POche akiwa na full fit squad ni mbovu mbovu sana kwenye kupanga timu, Mara hutashangaa Badiashile akipangwa winga na Jackson akiwekwa CB. Yule fala fala wa kutupwa
Kuna wakati unatoa point, Ila kuna wakati unaandika vitu mpaka unakatisha tamaa kusoma comments nyingine. Mkuu ukiwa na chuki usianze kumnenea mambo kwa kufuata hisia zako.
 
Wanaomtetea poch aisee nawashangaa!! kwa kipi alichokifanya. Kushinda hizo mechi za mwisho ndio kunawafunga macho. Mechi zenyewe tulishinda ila tulisakwa msako, mechi mnashinda ila muda wote umebana mambupu. Mpk mpira uishe yote yanauma.
 
Kwani niliyosema ni uongo, hakumng'ang'ania Chilwell acheze winga na Colwill LB na Maatsen akapigwa benchi wakati yeye ndie specialist wa LB. hiyo vurugu wewe hukuona mwanzoni. Kocha tu kichaa ndie anakuwa na kiburi kama ya Pochettino. Period
 
Usijudge kabla ya league kuanza? What if huyo anayekuja ndio akafanya makubwa kuliko hata Poch.

Arteta Arsenal ndio team yake ya kwanza ila angalia kipi alichokifanya mpaka sasa.

League ikishaanza tuanze kuwajudge hapo
Sahiv stability ipo kuliko mwanzoni,Foundation Poch ashatengeneza ni jukumu la kocha anaekuja kuendeleza pale pale alipoishia Poch kwa maboresho machache.

PS.
Tunahitaji kocha anaendana na Profile ya wachezaji, Wachezaji wetu wanahitaji Possession based Coach
Mkuu unachoongea kina ukweli japo kinyume chake pia chaweza kutokea ila tazama mchezaji kama Jackson ambaye ukimtazama ni mchezaji mzuri il kaja kama vile hajawahi kucheza ligi kuu yaani alikuwa na makosa kibao, confidence zero, alipoteza nafasi nyingi. Angalia Poch alivyemjenga, akamlinda na kuendelea kumwamini mpaka kafunga magoli mengi tu kwenye mzunguko wa 2 wa ligi tena katika msimu wake wa kwanza EPL.

Mwangalie Caesedo kwenye mechi yake ya kwanza kaconsede penalty na amekuwa na makosa yaliyosababisha magoli. Ila mtazame mechi 8 za mwisho, hutaamini kama ni yeye. Sasa hivi kawa mtamu.

So mashaka yangu ni kuwa je kocha mpya akija na kumweka bench mtu ambaye mfumo unaanza kama Jackson na Mudueke?

Je huu mshikamano ulioachwa na Poch utaendelezwa? Maana msisahau wakati Tuchel anaondoka the dressing room wasn't together.
 
Uongozi wa Manchester United umeamua kukatiza kibarua cha Erick Ten Hag baada ya fainal ya FA
Mrithi wake kwa asilimia kubwa atakuwa ni Kieran McKenna ambaye atakuwa akirudi kwenye timu yake ya zamani
Probability ya Man Un ited kushinda FA ilikuwa 20% na sasa baada ya huu uamuzi wa kumtimua kocha probability ya kushinda FA final ni 5%
Advantage Chelsea = Tunaenda Europa
 
Tuombe Mungu tupate kocha anayejua umuhimu wa rotation kwa baadhi ya wachezaji. Pochettino alikuwa hana hata habari kwamba rotation ina exists. TT sikuwa namkubali sana ila nilimsifia sana kwenye rotation. Faida kubwa ya rotation inakuza na kuwadevelop wachezaji wengi kwa pamoja. Mwisho wa msimu wa TT wachezaji wengi viwango vyao vilipanda sana kabla hajaja Potter
 
Usijudge kabla ya league kuanza? What if huyo anayekuja ndio akafanya makubwa kuliko hata Poch.

Arteta Arsenal ndio team yake ya kwanza ila angalia kipi alichokifanya mpaka sasa.

League ikishaanza tuanze kuwajudge hapo
Sahiv stability ipo kuliko mwanzoni,Foundation Poch ashatengeneza ni jukumu la kocha anaekuja kuendeleza pale pale alipoishia Poch kwa maboresho machache.

PS.
Tunahitaji kocha anaendana na Profile ya wachezaji, Wachezaji wetu wanahitaji Possession based Coach
Mkuu unachoongea kina ukweli japo kinyume chake pia chaweza kutokea ila tazama mchezaji kama Jackson ambaye ukimtazama ni mchezaji mzuri il kaja kama vile hajawahi kucheza ligi kuu yaani alikuwa na makosa kibao, confidence zero, alipoteza nafasi nyingi. Angalia Poch alivyemjenga, akamlinda na kuendelea kumwamini mpaka kafunga magoli mengi tu kwenye mzunguko wa 2 wa ligi tena katika msimu wake wa kwanza EPL.

Mwangalie Caesedo kwenye mechi yake ya kwanza kaconsede penalty na amekuwa na makosa yaliyosababisha magoli. Ila mtazame mechi 8 za mwisho, hutaamini kama ni yeye. Sasa hivi kawa mtamu.

So mashaka yangu ni kuwa je kocha mpya akija na kumweka bench mtu ambaye mfumo unaanza kama Jackson na Mudueke?

Je huu mshikamano ulioachwa na Poch utaendelezwa? Maana msisahau wakati Tuchel anaondoka the dressing room wasn't together.

Kuhusu Arteta mkuu unakumbuka kuwa msimu wake wa kwanza 2019/2020 Arsenal ilimaliza nafasi ya 8 ikiwa na points 56, msimu wake wa pili yaani 2020/2021 akaendelea kushika hiyo namba 8 I akiwa na point 61, msimu wake wa tatu 2021/2022 akamaliza nafasi ya tano akiwa na point 66, msimu wake wanne ndipo kashika nafasi ya pili akiwa na alama 84 na alimfukuza kwa karibu sana Man City. Hapa nachotaka kuonesha ni kuwa timu mpya inajengwa kwa misimu kadhaa siyo msimu mmoja. Sasa unamleta kocha ambaye hajawakukochi epl game hata 1, hajawahi kukochi timu yoyote ya EPL ukiachilia mbali Chelsea ambayo ni timu kubwa na demands na mategemeo ya maboss na mashabiki yako juu, hapo unategemea nini? Yes anaweza kufanya vizuri ila siyo rahisi. 2019 Frank alijaribu kufanya kitu ila ni kwa sababu mashabiki walimvumilia mwanzoni kwa sababu ni club legend. McKenna hakuna atakayemvumilia pale darajani akianza kuzingua na stability ya timu itapotea tena.
 
Mkuu mkuu delagete zipi hizo unazozizungumzia wakat kila kitu kimeshakuwa delagated, Maamuzi yiye yanayofanywa yanaanzia kwa Sporting Director lawrance Stewart na Paul Winstanley hawa ndio wanaofanya kabla ya maamuzi kupitishwa na owner
Nitakupa mfano kaka. Enzo Fernández walimsajiri ila Poch alishawahi kuwahoji kuwa, wao wakati waliomsajiri wanamuona yuko offensive enough kuwa namba 8 au destructive enough kuwa namba 6?

Lakini ukimtazama Enzo yupo kati ya namba 6 na nane. Akicheza na Enzo alimlimit sana Caisedo kucheza maana kwa kawaida Caisedo anapenda kuzunguka uwanjani na kuharibu mipango ya adui. Lakini kama directors na matajiri wanataka Enzo acheze kocha atafanya nini?
 
Hili la kupewa kocha mamlaka ina two school of thoughts
Inategemea kwanza project inafuata model ipi?
  1. Model #1: Coach ndiye anayeamua identy ya uchezaji
  2. Mo9del#2: Klabu ndiyo inaamua identity ya uchezaji
Kama jibu ni namba moja lazima timu iweze kuti in kwa kocha
Kama namba mbili ndio inachukuliwa lazima kocha anayechukuliwa aweze kufit in

Bahati mbaya au nzuri wamiliki wa Chelsea wao wameamua kufuata model no. 2 ambapo sasa wanatafuta kocha anayeweza kutengeneza timu icheze identity ya klabu
wamiliki na SD wanataka kocha anayeweza kucheza soka la kisasa la kumiliki mpira, progressive coach ambaye anaweza kubadilika kulingana na mpinzani.

Pia klabu inamtaka kocha ambaye atakuwa tayari kushirikiana na SD, Medical team na other technical department
So hili suala la deligation haitaweza fanya kazi kwenye hii project model ambayo wamemaua kuifuata

Tukumbuke pia kuwa hii model sio mbaya kama atapatikana kocha ambaye atafit in. Ila akija kocha ambaye yeye anawaza kwenda tofauti na hii model ataongeza mvutano na hakuna kitu kitakachoendlea na timu itavurugika.
Mkuu nafikiri muda utaendelea kuwa mwl mzuri. Kuna siku madirector watatimuliwa. Hivi unaEnzo, una Palmer kwenye first Eleven. Where does the balance of the team lie?
 
Nimeiweka vizuri hii model ambayo hao wamiliki wanaifuata ambayo mimi sioni iko mabay. Barcelona waliifuata kwa miaka mingi na iliwapa mafanikio makubwa sana
Barca kipindi cha Guadiola it wa Pep who was Powerful. Aliamua Ronadinho aondoke na hakuna aliyembishia. Mashabiki wakabaki kulaani. But everyone knows what happened next.
 
Kuna wakati unatoa point, Ila kuna wakati unaandika vitu mpaka unakatisha tamaa kusoma comments nyingine. Mkuu ukiwa na chuki usianze kumnenea mambo kwa kufuata hisia zako.
Hopefully wengi wataona hii na kulike zaidi.
Mostly makocha wengi wanapoingia kwenye timu mpya hasa ambayo haiko uwanjani, wanapenda kumpa kila mtu nafasi ili wapate machaguo mazuri. Ukifuatilia mwishoni,

Chaloba was undroppable labda acheze mechi nyingi mfululizo,

Gusto was undropable labda aumie,

Cucurella was undroppable,

the same kwa Caisedo,
Gallagher,
Palmer,
Jackson,
Mudueke,
Jackson.
Upande ambao haukuwa stable ni CB wa kushoto na winger wa kushoto.

Unaweza kuona kuwa Timu ishaanza kupatikana na nafasi ya beki wa kati, winger wa kushoto aliona waliopo hawakuwa wanaimudu. So lazima angependeke kwamba this transfer window apewe watu katika maeneo hao na Estavao ni mmoja wa wachezaji ambaye atacheza nafasi ya Mudryk kama hatameet mategemeo.

Ndo maana tunawaambia kuwa timu haijengwi siku moja
 
Lengo la matajiri siyo kujenga timu ya kubeba makombe ..bali ni kujenga timu ya kuuza wachezaji, angalia hata makocha wanataka ..siyo ma legend Tena Bali ni vijana aina ya akina kompany, so tusitegeme chochote msimu ujao ..tujiandae kisaikolojia kuwa mid table team kama akina Brighton kukuza wachezaji na kuuza uko Madrid, PSG na sehemu pengine

Tutamkumbuka sana Abramovich
Hii imeenda 100%
 
Wanaomtetea poch aisee nawashangaa!! kwa kipi alichokifanya. Kushinda hizo mechi za mwisho ndio kunawafunga macho. Mechi zenyewe tulishinda ila tulisakwa msako, mechi mnashinda ila muda wote umebana mambupu. Mpk mpira uishe yote yanauma.
Fatilia mjadala mkuu unaweza kuambulia kitu
 
Unapomuhukumu kocha kwa sababu wachezaji wanakosa nafasi za wazi sio sahihi. Kocha ahukumiwe kwa kuto kutengeneza nafasi. Mfano sisi Nunez kakosa nafasi 37 za wazi nafasi ambazo hata kipofu steve wonder anafunga. Hapa kocha anahusika je? Poch kaonewa.
 
Mkuu unachoongea kina ukweli japo kinyume chake pia chaweza kutokea ila tazama mchezaji kama Jackson ambaye ukimtazama ni mchezaji mzuri il kaja kama vile hajawahi kucheza ligi kuu yaani alikuwa na makosa kibao, confidence zero, alipoteza nafasi nyingi. Angalia Poch alivyemjenga, akamlinda na kuendelea kumwamini mpaka kafunga magoli mengi tu kwenye mzunguko wa 2 wa ligi tena katika msimu wake wa kwanza EPL.

Mwangalie Caesedo kwenye mechi yake ya kwanza kaconsede penalty na amekuwa na makosa yaliyosababisha magoli. Ila mtazame mechi 8 za mwisho, hutaamini kama ni yeye. Sasa hivi kawa mtamu.

So mashaka yangu ni kuwa je kocha mpya akija na kumweka bench mtu ambaye mfumo unaanza kama Jackson na Mudueke?

Je huu mshikamano ulioachwa na Poch utaendelezwa? Maana msisahau wakati Tuchel anaondoka the dressing room wasn't together.
Dressing room ipi unayoizungumzia wakat almost player wengi unaosema hawapo. Poch alikuta kikosi kipya wachache sana waliokuwepo wa Tuchel.

Jinsi alivyokuwa anamtumia caicedo mwanzoni ndio alikuwa anakosea

Hao kina madueke mwanzoni humu tulikuwa tunasema Poch alivyokuwa hawatumii ila kunawatu wakawa wanapinga.
 
Uongozi wa Manchester United umeamua kukatiza kibarua cha Erick Ten Hag baada ya fainal ya FA
Mrithi wake kwa asilimia kubwa atakuwa ni Kieran McKenna ambaye atakuwa akirudi kwenye timu yake ya zamani
Probability ya Man Un ited kushinda FA ilikuwa 20% na sasa baada ya huu uamuzi wa kumtimua kocha probability ya kushinda FA final ni 5%
Advantage Chelsea = Tunaenda Europa
Nyumbu na Chelsea tushakuwa midtable rasmi .
So sad
 
Uongozi wa Manchester United umeamua kukatiza kibarua cha Erick Ten Hag baada ya fainal ya FA
Mrithi wake kwa asilimia kubwa atakuwa ni Kieran McKenna ambaye atakuwa akirudi kwenye timu yake ya zamani
Probability ya Man Un ited kushinda FA ilikuwa 20% na sasa baada ya huu uamuzi wa kumtimua kocha probability ya kushinda FA final ni 5%
Advantage Chelsea = Tunaenda Europa
Nilikuwa na furaha zaidi kutaka kuona Pochetinho akipewa msimu ujao malengo ya kufika top 4 kisha apewe challenge ya kutafuta ubingwa 2025/2026.

Wachezaji wengi walikuwa majeruhi.
Wachezaji wengi walikuwa hawajapata synergy na consistency kimpira ila walikuwa wakielekea mwsihoni mwa ligi kuu mfano nafasi nyingi walizokuwa wanakosa.
Wachezaji wengi Vijana hivyo ilihitaji muda zaidi kuwajengea uzoefu na confidence ktk ball possession, attacking football and defense solidarity.

Bodi ya Chelsea SC imezingua sana kumfukuza Pochetinho mapema ingawa sikuwahi kumkubali lakini alijitahidi kufanya vizuri kwa msimu mmoja tu kufika carabao cup final, FA semi finals tena bila mbeleko ya Man City kuwafichia penalty halali lolote lingetokea na kumaliza nafasi ya 6 kupata tiketi 1 kwa 1 ya Europa/Conference league ikiwa Man Utd atabeba FA cup 25/05/2024.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Barca kipindi cha Guadiola it wa Pep who was Powerful. Aliamua Ronadinho aondoke na hakuna aliyembishia. Mashabiki wakabaki kulaani. But everyone knows what happened next.
Soka lishabadilika mkuu angalia Madrid, na almost vilabu vingine sahiv kocha hapewi control kama zaman kwasababu utaishia kuwa na kikosi kichojengwa na makocha zaidi ya wawili wenye idea tofauti.

Liverpool klopp na Edward kulikuwa na msuguano huo huo ikafanya Edward aondoke, Klopp anaondoka Edward anarudi.

West ham kati ya stiedten na moyes

Sahiv team nyingi zinaundwa na Sporting director then wao ndio wanaotafuta kocha atakaendana na aina ya wachezaj waliopo.
 
Nitakupa mfano kaka. Enzo Fernández walimsajiri ila Poch alishawahi kuwahoji kuwa, wao wakati waliomsajiri wanamuona yuko offensive enough kuwa namba 8 au destructive enough kuwa namba 6?

Lakini ukimtazama Enzo yupo kati ya namba 6 na nane. Akicheza na Enzo alimlimit sana Caisedo kucheza maana kwa kawaida Caisedo anapenda kuzunguka uwanjani na kuharibu mipango ya adui. Lakini kama directors na matajiri wanataka Enzo acheze kocha atafanya nini?
Tena Enzo akicheza na Caisedo lazima wote wapotee ki-performance lakini tangu Caisedo awe anacheza uwanjani bila Enzo aliimarika vizuri tu.

Tutamkumbuka sana Boss Abrahamovich ila si hawa Mabosi aliowaachia timu sasa hivi ni kama Wana ajenda ya kuharibu Chelsea club's vision to gain trophies zaidi ya kuangalia masilahi yao tu binafsi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom