juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Mfumo anaotumia Poch ulikuwa huwezi kupata ubora wa wote wawili kwa wakat mmoja ni mara chache sana ambaoo wote wawili wamecheza vizur.Nitakupa mfano kaka. Enzo Fernández walimsajiri ila Poch alishawahi kuwahoji kuwa, wao wakati waliomsajiri wanamuona yuko offensive enough kuwa namba 8 au destructive enough kuwa namba 6?
Lakini ukimtazama Enzo yupo kati ya namba 6 na nane. Akicheza na Enzo alimlimit sana Caisedo kucheza maana kwa kawaida Caisedo anapenda kuzunguka uwanjani na kuharibu mipango ya adui. Lakini kama directors na matajiri wanataka Enzo acheze kocha atafanya nini?
Angalia game ambazo Caicedo alikuwa hayupo . Wakat enzo anacheza na galagher