Kaveh Solhekol reports that the leading candidates are Thomas Frank, Enzo Maresca, Kieran McKenna along with a 'high-profile mystery name'

Kwenye hawa candidates sidhani kama watawafaa. Kabla HansFlick haja saini kule barca mnaweza ku hijack ila mkishindwa kabisa Mourinho is Jobless ni bora kuliko hao makocha wa brentford, Leicester na Ipswitch ni makocha wa timu ndogo na walishafelikina Potter why hamjifunzi wakuu?
Mabosi wanakwepa old fashion training methods na tactics
Safari hii tutagumble kwa kocha kijana ili tuwe na project kama ya Leverkusen
 
Thomas kasema hataki ofa ya Chelsea
Hans Flick ni kocha bora kwenye market ya sasa hivi na naamini ni better option kuliko hao akina Thomas Frank na akina Mackena , ffs
Lasivyo tuna chukua magarasa kuja kurudi nyuma badala ya kupiga hatua mbele
 
Anaverbal agreement na Barcelona
 
Hii banner mbona kwa sasa huwa si oni pale uwanjani?
images(1).jpeg
 
  • Thanks
Reactions: K11
Stewart and Winstanley have been empowered by Clearlake Capital and Boehly to build a world-class squad and sporting infrastructure at Chelsea, and their success or failure in that endeavour will be judged ‘over years rather than months or individual transfer windows’.
via @TheAthleticFC

Stewart na Winstanley wamewezeshwa na Clearlake Capital na Boehly kujenga kikosi cha kiwango cha kimataifa na miundombinu ya michezo huko Chelsea, na kufaulu au kutofaulu kwao katika juhudi hiyo kutazingatiwa ‘kwa miaka badala ya miezi au dirisha moja.
via @TheAthleticFC
 
Hans Flick ni kocha bora kwenye market ya sasa hivi na naamini ni better option kuliko hao akina Thomas Frank na akina Mackena , ffs
Lasivyo tuna chukua magarasa kuja kurudi nyuma badala ya kupiga hatua mbele
Kuna kitu bado hamjakielewa kwa hawa wamiliki. Wanataka damu mpya kwenye approach ya soka. Hao akina Hans Flick anaweza kuja akawa Poche v2.0
Wamevutiwa na soka la kizazi kipya, model ya Leverkusen
 
Kufungwa sio sababu ya kumfanya kocha aonekane kilaza kuna factor nyingi mkuu.

Huwezi compare Profile ya Brighton na ya Kwetu.

Kwa hiyo Tuchel aliyemfunga Pep game 3 mfululizo unaweza sema anamzidi Pep???

Terdzic aliyemfunga Luis Enrique anamzidi Enrique???

Kufungwa na kocha kuna factor nyingi sana.
Kukaa na kucompare Brighton na Chelsea ni kujitoa ufaham.
Ishu sio kufungwa ishu unafungwa vipi Tuchel tuliona kabisa alimfunga pep kwa mbinu ya kutumia wing back pamoja na kutumia counter attack pindi tu tulipokuwa tunapata mpira. Huyo kocha wako game zote anafungwa kwa style moja na habadiliki opponent wanapress pindi tu build up yao inapofika katikati ya uwanja unaniambiaje ana mbinu?
 
Ziangalie hizo game vizuri Poch ameshindaje???kama sio quality ya wachezaji ndio mda mwingine inayoamua

Unaweza kuwa kocha mzuri ila quality ya wachezaji ulionao ndio ikakukwamisha.

Don Carlo wakat yuko Everton ilikuwaje??? Sahiv madrid hata anaweza kuwa nyuma kwa goal 2 ilq quality ya wachezaj alionao ikabadilisha matokeo + mbinu zake.

Tusikariri kwamba kocha lazima awe ametoka team flan no soka lishabadilika,

Sahiv unahitaji kocha na wachezaji wanaoendana.
Squad profile tulio nayo ni differ na Squad profil poch anayoendana nayo.
 
Kufungwa sio sababu ya kumfanya kocha aonekane kilaza kuna factor nyingi mkuu.

Huwezi compare Profile ya Brighton na ya Kwetu.

Kwa hiyo Tuchel aliyemfunga Pep game 3 mfululizo unaweza sema anamzidi Pep???

Terdzic aliyemfunga Luis Enrique anamzidi Enrique???

Kufungwa na kocha kuna factor nyingi sana.
Kukaa na kucompare Brighton na Chelsea ni kujitoa ufaham.
Unapaswa kuelewa kuwa De Zerbi is unproven coach.
 
Ancelotti alifungwa hovyo hovyo akiwa manager wa Everton lakini haikumpunguzia heshima yake ya kuwe elite coach na ndio maana Real Madrid wakamchukua
Kushinda au kushindwa ni subject na rasilimali zilizoko mkononi mwako. Kila mara tunawaambia wachezaji Brighton walimsajilia RDZ nim matakataka kuliko wote EPL hamsikii. RDZ kaamua kutoka kistaharabu pale kwa sababu hiyo
Chelsea tuna wachezaji wazuri sana ambao hata hao makocha wa Championship wakija wakatuliza kichwa watafika mbali sana

Poche alikuwa ni tapeli lisilobadilika, mbishi na mkorofi
Old fasion methods, hana tofauti na akina MOU
Ukiulizwa old fashion yake methods zake ni zipi unaweza kujibu au utaanza kuzunguka zunguka tu?

Huyo De Zerbi ni Potter 2.0.
 
Katika kitu ambacho wakurugenz wetu wanachokosea ni pale unapofukuza kocha halaf ndio uanze kutafuta.

Club zote zenye wakurugenzi wanaojielewa hata kabla ya kufukuza kocha tayar huwa washakuwa na mtu tayari.

Leo West Ham moyes anaondoka ila plan ya Kocha mwingine ilikuwa tayari

Ila sisi sasa😂😂
 
Hivi kuna watu wanamtetea Poche? Kisa mechi za mwishoni? Jamaa alikosa mbinu kabisa kusema kweli.
Poche ameshakosa mbinu kama old dog
 
Back
Top Bottom