Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama tukiwa na squad hii iko fit msimu wote unadhani tutamaliza namba ipi msimu ujao?

--------------Striker mpya hatari---------------

Nkunku -----------Gallagher-----------Palmer
-------Lavia --------------------Caicedo-------
Cucurella -----Colwill ----Fofana -----James
-------------------Petrovic-------------------

Sub:
1) Sanchez
2) Chalobah
3) Malo
4) Chilwell
5) Enzo
6) Casadei
7) Jackson
8) Mudryk
9) Madueke
 
1716228128948.png
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kuna wachezaji wana majeraha sana ,tukiona wanazingua sana ni bora kuwauza , mtu kama Fofana , ni useless kabisa
 
Uza Broja, uza Matsen kwa kuwa Poch ameshindea mtumia.

Bakisha Galagher na Chalobah wabaki kama Squad Player
Uza Sanchez fursa ikitokea
 
BREAKING: Iwapo Pochettino ataondoka, Chelsea itatafuta kocha kijana.
@FabrizioRomano

Kipaumbele ya uongozi ni kuendelea kufanya kazi na Pochettino lakini kama hakutakuwepo makubaliano, Pochettino ataondoka Chelsea na Uongozi utajikita kutafuta kocha kijana
 
Chelsea priority is to continue to with Mauricio Pochettino, but if terms can’t be agreed, keep an eye on young coaches. Pochettino is waiting for the meeting. (@FabrizioRomano)
 
Klabu isiyojulikana iliilipa Brighton pauni mil 4.3 kama fidia ya kumwachilia Robert De Zerbi.
Mkataba umeshasainiwa tayari na kumekuwepo usiri mkubwa sana kwenye hili sakata.
Tunasubiri tu muda muafaka ufike ili tuweze kujua hiyo klabu ni ipi.
Kumbuka RDZ alishasema angependa kuendelea kuifundisha timu England
????
????
1716234724350.png
 
BREAKING: Iwapo Pochettino ataondoka, Chelsea itatafuta kocha kijana.
@FabrizioRomano

Kipaumbele ya uongozi ni kuendelea kufanya kazi na Pochettino lakini kama hakutakuwepo makubaliano, Pochettino ataondoka Chelsea na Uongozi utajikita kutafuta kocha kijana
Kama poch akitaka control ya transfer sidhan kama atapata hilo
Nq hapo ndio utakuwa mwisho wake.


Huyo kocha kijana asiwe Kieran McKena wa Ipswich hii version ya 2.0 Potter

Labda wawe hawa
Sebastian Hoeness
Rdz
Thiago Motta
Ruben Amorin
 
Kama poch akitaka control ya transfer sidhan kama atapata hilo
Nq hapo ndio utakuwa mwisho wake.


Huyo kocha kijana asiwe Kieran McKena wa Ipswich hii version ya 2.0 Potter

Labda wawe hawa
Sebastian Hoeness
Rdz
Thiago Motta
Ruben Amorin
Na pia kwa press conference za Poche kushambulia wamiliki nadhani kutakuwa na mvutano mkubwa, ile dinner na Boehly sijui kama iliongeza, ilpunguza au haikugusa kabisa kwenye hiyo tension

Kama wamiliki watang'ang'ania kuwauza wachezaji kama Gallagher sidhani kama Poche atakubali kubaki
Hapa sio suala la Poche kutimuliwa, wasipokubaliana mambo hata Poche atasepa
Refer press conference zake kuhus asilimia 80-90% ya timu kubaki
Kuhusu kwamba anamtakla Gallagher
Na hii ya kuhus kupewa madaraka zaidi kwenye usajili
 
Ni heri kubaki na Poch kuliko kumleta Keran McKena.

Utakuwa ni upumbav wa hali ya juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom