Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kulikuwa na haja ya kubadilisha mbinu wakat wa league??
Nitakachokwambia yawezekana sio jibu sahihi ila ni hisia zangu. Kwanza yapo mambo kama kutoridhika na kile anachokiona, yawezekana sisi mashabiki tulifurahi kuona vile tunavyocheza lakini ukija kwenye marathon(Premier League) hai apply hivyo. Lakini pia ingia toka ya wachezaji mostly kutokana na injury inapelekea kubadilisha mfumo.

Lakini hapa naomba tuwe wakweli, Je mechi tulizoshinda au ambazo tulikua na peformance nzuri ulitumika huu mfumo?
 
Shida ulikuwa upangaji wake, mfumo plus injury
Injury sio shida. Poche akiwa na wachezaji wote fit hajui kupanga timu. Ni clueless. Tukiwa na injuries 14 ndipo Chelsea ilichezà vizuŕi
Tangu afanyiwe surgery Enzo ndipo Chelsea ilicheza viźuri kwa sababu ya Gallagher kuchezeshwa deep.
Ngoja tuanze msimu tukiwa na wachezaji wote pamoja na Osimhen utaona vioja vya Poche
 
UNampa asilimia ngapi ya uchezaji tangu mechi na Villa baafa ya HT?
20240505_193729.jpg
 
Kuna yule jackson anakosaga magoli unaweza chapa makofi
Fala sana yule jamaa, kuna magoli kadhaa pia alitakiwa atoe assist kw Palmar akaishia kuzingua, kama sio huyo kilaza mpk sasa Palmar alitakiwa awe anaongoza kw magoli EPL.
 
David Ornstein:
Hali ya mkataba wa Pochettino utaangaliwa katika majira ya joto. Chelsea wanadai kufuzu kwa Ligi ya Europa, sio Ligi ya Conference"
akishindwa kufuzu Europa atabebeshwa virago.
20240505_222934.jpg
 
Fala sana yule jamaa, kuna mogoli kadhaa pia alitakiwa atoe assist kw Palmar akaishia kuzingua, kama sio huyo kilaza mpk sasa Palmar alitakiwa awe anaongoza kw magoli EPL.
Jackson kamuacha Havertz kwa magoli ambaye kule Arsenàl anasifiwa sana kwamba Arteta amembadilisha
 
Fala sana yule jamaa, kuna magoli kadhaa pia alitakiwa atoe assist kw Palmar akaishia kuzingua, kama sio huyo kilaza mpk sasa Palmar alitakiwa awe anaongoza kw magoli EPL.
Jamaa mpira anaujua, tatizo lake ubinafsi na stamina hana
Timu imemvumilia sana kwa ujinga wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom