Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiyo ya wachezaji kumsupport ondoa
ungepanga mawazo yako kwa namba ningekutajia
Kufukuza fukuza makocha saa nyingine ni nzuri na saa nyingine ni mbaya, Kumbuka wakati wa Abramovich utimuajiw a makocha ndio uliotupa makombe mengi
  1. Arsene Wenga alikaa arsenal miaka mingi bila kombe baada ya 2006
  2. Klopp alikaa Liverpool 11 akibeba makombe makubwa matatu tu
  3. Poche alikaa Spurs miaka mingi kafanya nini?
Kukaa sana sio tija kwa klabu kubwa kama Chelsea, performance na makombe ziende sambamba ndio inaipa timu jina, umaarufu na mashabiki wengi kuongezeka
Pattern
Poche ni mzuri kwa ball transition na kushambulia ila kujilinda bado sana. Ili huo udhaifu wake uondoike anahitaji kuwa na makocha wasaidizi kwenye hilo eneo wanaojiweza sana
Inverted LB ya Cucurella imempa sifa kubwa sana na timu ikapata balance pale katikati. akiendlea kuwa mbunifu wa kuweka mbinu zinazofanya kazi hakuna mtu atakayemlaumu au kumtaka aondoke
Wewe unatakaje aondoke au abaki?
 
Concern yangu kwa poch ni uwezo wake kimbinu sio mtu wa kubadilika mara kwa mara,
Na ni rahisi sana kumsoma,

Tunaelekea msim mpya je yuko tayar kubadilika kutokana na mchezo unavyoenda au ndio kuendelee kuforce vitu hata kama mambo yakienda ndivyo sivyo?

Je anaweza kuusoma mchezo nankufanya tactical change kadri mchezo unavyoenda?

Against low block team amejipangaje kwa hawa?
Kwenye mbinu kiukweli anajitahidi sana hasa tunapocheza dhidi ya big team ile game dhidi ya man city Etihad team ilikuwa compact sana space baina ya safu ya defence na kiungo ilikuwa ndogo ikawapa tabu mno City kuifungua tukipata mpira tukawa bora kwenye counter attack in short ile game tulikuwa bora both defensively and attacks the same dhidi ya Arsenal Stanford Bridge natulikuwa tunashinda makosa ya Sanchez ndio ilifanya tutoke draw. Changamoto ya Poche ni dhidi ya team ndogo huwa anakuwa open mno hawaheshimu kabisa ndio maana tunaruhusu magoal ya kijinga unajiuliza kwanini asicopy and paste dhidi ya mbinu alivyocheza dhidi ya man city?
lembu
 
Game za home against top 6 ni kama tumecheza vizuri ila away ndio changamoto ilipokuwepo ukiitoa game ya City,
Ila
Against Liverpool na Arsenal alienda kama anaenda kucheza dhidi ya Oxford.

next season nahisi ndio real test kwake. Mwishon mwa league ameweza kubadilika, Ngoja tuone if anaweza kuendelea hapo hapo alipoishia na tukaimprove zaidi ya hapo
 
Hizi habar za kumtaka kocha wa Ipswich zitakuwa ni za hovyo😃

Ya utakuwa unaruka mikojo unaenda kunyaga faeces😂

Yani hapo ndio madirector wetu na wamiliki itakuwa vichwa wazi katika hilo
 
Wewe unatakaje aondoke au abaki?
Akiondoka apatikane bora kuliko yeye??? mashaka
Akibaki tumtathmini kwa msimu ujao akifanya vizuri aongezewe mkataba wa mwaka mmoja au mrefu kulingana na msimu ujao atafanya nini?
 
Maamuzi yoyote about poch sidhan kama yataangalia mechi za mwisho sana ila inaweza kuwa ndio turning point yake kuendelea kuwepo

Tusubiri maamuzi yatakayokuja bases na overall performanc ya msim mzima
 
Mtafanya makosa sana kumuachia Poch. Labda mpate bora zaidi ambapo tutasema mmepatia. Ila Poch aendelee, atawafikisha mbali.

Msisahau huyu mhuni Poch alitusumbua sana akiwa Tottenham na alifika mpaka fainali ya UCL.

Jamaa ni bonge la kocha.
 
Tne Blues tungeongezwa mechi 10 tungechukua kombe. Sio kwa moto huu tuliouwasha mwisho wa msimu. Bahati mbaya tumekumbuka shuka alfajiri
 
Maamuzi yoyote about poch sidhan kama yataangalia mechi za mwisho sana ila inaweza kuwa ndio turning point yake kuendelea kuwepo

Tusubiri maamuzi yatakayokuja bases na overall performanc ya msim mzima
Poch aendelee na kazi. Pamoja na wachezaji vilaza tulio nao ametupeleka uefa conference league. Huyu jamaa akipewa muda na wachezaji wazuri atatufikisha mbali. Huwezi kutegemea wachezaji vilaza kama Jackson na Steering wakakupeleka popote.
 
Screenshot_20240520-131310_X.jpg
 
Maamuzi yoyote about poch sidhan kama yataangalia mechi za mwisho sana ila inaweza kuwa ndio turning point yake kuendelea kuwepo

Tusubiri maamuzi yatakayokuja bases na overall performanc ya msim mzima
wanaweza wasikae kwa sababu dinner ya Tod Boehly na Pochettino ijumaa imeonyesha kila dalili kuwa hawatakaa. Aliyekuwa anamkataa Pochettino ni Boehly tu na naona wamemalizana tofauti na pia Boehly anaridhishwa na performance ya dec hadi may 2024. Tuonane Pre-season na msimu ujao
 
Poch aendelee na kazi. Pamoja na wachezaji vilaza tulio nao ametupeleka uefa conference league. Huyu jamaa akipewa muda na wachezaji wazuri atatufikisha mbali. Huwezi kutegemea wachezaji vilaza kama Jackson na Steering wakakupeleka popote.
Wachezaji tulionao sio vilaza, futa hiyo kauli. Wanaweza wakawepo wawili watatu ila wengine wa XI ni wachezaji bora
 
Mtafanya makosa sana kumuachia Poch. Labda mpate bora zaidi ambapo tutasema mmepatia. Ila Poch aendelee, atawafikisha mbali.

Msisahau huyu mhuni Poch alitusumbua sana akiwa Tottenham na alifika mpaka fainali ya UCL.

Jamaa ni bonge la kocha.
Sisi atutaki bonge la kocha tunataka makombe mkuu
 
Estevão atasaini na Chelsea wiki hii. Bei itakuwa kubwa kuliko ilivyotarajiwa: Palmeiras itapokea €45M fixed pamoja na €20M nyingine katika addons. Jumla ya kifurushi kizima bado kitakuwa €65M.
1716208098838.png
 
De Zerbi juu ya nini kinafuata kwake:

"Sijui ... kwa hakika ikiwa nitalazimika kukaa nyumbani, miezi mitatu, minne, mitano, kwangu sio shida".

"Hii kwa sababu nitafanya kazi, kusoma michezo tofauti, timu na makocha. Inabidi nijenge maarifa ili kubakia kuwa kocha mkubwa".

1716209663396.png
 
Erling Haaland:

Je, una ujumbe kwa wale wanaosema ulikuwa na msimu mbaya kwako?

"Msimu ulikuwa ni mzuri tu! Kadiri watu wanavyochukia na kukukosoa, ndivyo unavyokuwa bora zaidi”.

"Ikiwa huu ni msimu mbaya ... niko ndani yake, basi inaweza tu kwenda juu!",

1716210016486.png
 
Pep Guardiola kuhusu mustakabali wake na mkataba unaotarajiwa kumalizika Juni 2025: "Ukweli ni kwamba ninakaribia kuondoka kuliko kubaki".

“Tumezungumza na klabu na hisia zangu ni kwamba nataka kubaki sasa. Nitabaki msimu ujao”.

"Lakini wakati wa msimu ujao tutazungumza, tutaona".

1716210191204.png
 
View attachment 2995117
Heeee hili jini linabaki au sio ?
Kwamba linataka kufuta kabisa legacy ya Kibabu Fergie .
Epl ishakua ligi ya wakulima ,msimu ujao tukaze tako tuondoe hii aibu aisee .
 
Kama tunataka kuwa challenge Man City msimu ujao jambo la kwanza hatuna budi kumfuata kazi Poch. Hamna kocha mule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom