Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mi naona mildfield ya caicedo na Ghalagher ni bora kuliko ya enzo na caicedo au ninyi mnaonaje wadau ?
Caicedo akicheza na kibelenge Ghalagher anakuwa na uhuru wa kuzunguka na kucover eneo kubwa na kupiga hata pasi za kuassist kwenye magoli .
Enzo ni poor kwenye kukaba akicheza na Caicedo mzigo wa kukaba pale kati kati unakuwa mkubwa kwa Caicedo , hopefully msimu ujao tutaona pia na matumizi ya Lavia yatakuwaje , ila kama na Lavia naye akiclick kwenye formation na partnership ya mildfield basi tutatisha sana .
Enzo amecheza miezi 8 akiwa na injury. Na bado tumu ilikuwa haijajipata plus injuries

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu timu yetu inahitaji kocha mtulivu anayeweza kuendelea kuimprove viwango vya wachezaji na Poch ni kocha sahihi. Angalia Mudueke, Caisedo, Caragher, Palmer, etc. Hii siyo Chelsea ya zamani. Tusiishi kwenye illusion. Tuko kwenye ujenzi wa timu mpya tena kwa falsafa mpya kabisa. Makocha kama Conte, Tuchel, Mourinho hawakiwezi hiki kikosi

Hata mimi sijawataja hao, issue iliyoko ni Poche na RDZ
 
Mimi kitakachonifanya niendelee kuchukia hadi ajirekebishe ni blunders nyingi alizofanya kwa makusudi msimu huu wa 23/24. Poche hadi nimuamini tena msimu ujao itabidi ajirekebishe kwenye makosa yake aliyoyafanya.
Kafanya blunders nyingi za makusudi huyo tapeli. Bodi ilishakaa kumtimua ni bahati yake hizi mechi za mwishoni iliifanya bodi imsamehe hadi mechi ya leo. Wiki ijayo bodi itakaa kuhakiki utendaji wake na anaweza kupewa nafasi amalizie mkataba wake wa miaka miwili kwa sababu Eghbali anampenda sana.

Anyway hizi mechi ziliniuma sana ndio maan sitamkubali hadi amalize msimu wake wa pili akiwa amejiyarekebisha hayo makosa ya kijinga jinga sana
1716148777102.png
 
🚨Jackson ameweka kipande hiki kwenye instagram.

Q) “Msimu huu umekuwaje kwako binafsi)

A) "Binafsi, nadhani watu wengi sana wameongea sana, watu wengi sana wameniongelea vibaya juu yangu na sasa wanapaswa kunyamaza, ndivyo ilivyo."

1716149024098.png
 
Jumla ya pointi za mameneja wa Chelsea baada ya mechi 38 za kwanza za PL karne hii:
  1. Mourinho 95
  2. Nambari ya 93
  3. Ancelotti 86
  4. Tuchel 79
  5. Sari 72
  6. Lampard 66
  7. Ranieri 65
  8. Pochettino 63
 
Hata mimi sijawataja hao, issue iliyoko ni Poche na RDZ
RDZ in Potter 2.0
Tuendelee na huyu Poch awachallenge Man City na Arsenal au angalau aiingize timu top 4 msimu ujao. Akishindwa hapo anaweza kuondoka ila akiweza kufanya hivyo basi msimu utakaofuata lengo liwe ni ubingwa and nothing else.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Ni kocha mzuri kimbinu
Sio kweli msimu ule alisumbua ni kwasababu team nyingi azikumjulia baada ya kumjalia ndio maana anapoteza game nyingi na zote anfungwa kwa aina moja ya soka utaniambiaji ni Mzuri kimbinu? Team nyingi zinazomfunga wanachofanya ni hivi wanajua ubora wa huyu kocha ni kwenye build up kuanzia chini wanachofanya hawapress juu wanawasubiri wafike kati ndipo wanawapress kwa nguvu na mara nyingi wanakuwa wamepoteza shape yao ya uzuiaji ndio maana wanafunga magoal mengi
lembu
 
Hivi wewe unajua wachezaji waliotoka Brighton na impact yao baada ya kutoka. Hivi unajua sera ya wamiliki wa Brighton kuwa wao focus yao kubwa ni kuuza wachezaji. Hivi wajua kuwa wachezaji walionunuliwa wengine ni wale matakataka ya mwisho wakitegemea kocha wakuze ili wawauze kama akina Caicedo. RDZ kachukia huo mchezo akaamua kuondoka
 
Ukumbusho wa haraka🤭

Klabu ya mwisho ya London ilishinda mataji chini ya 💙
  1. Ligi Kuu 🥇
  2. Ligi ya Mabingwa🥇
  3. Ligi ya Europa 🥇
  4. Kombe la Dunia la Klabu 🥇
  5. Super Cup 🥇
  6. Legue cup 🥇
  7. Maybe, tunaweza pia kuwa Klabu inayofuata ya London kufanya hivyo tena 🎯
 
Hivi wewe unajua wachezaji waliotoka Brighton na impact yao baada ya kutoka. Hivi unajua sera ya wamiliki wa Brighton kuwa wao focus yao kubwa ni kuuza wachezaji. Hivi wajua kuwa wachezaji walionunuliwa wengine ni wale matakataka ya mwisho wakitegemea kocha wakuze ili wawauze kama akina Caicedo. RDZ kachukia huo mchezo akaamua kuondoka
Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
 
Ancelotti ni level nyingine, tunamzungumzia RDZ na Poche, ukienda kwenye uwanja mkubwa zaidi makocha wengi hawaendani na aina ya wachezaji tulionao,
RDZ aliwafundisha akina
  1. Mudryk
  2. Caicedo
  3. Colwill
  4. Cucurella
Kumbuka pia kuwa Paul Winstanley aliletwa na RDZ kutoka Shaktar ambaye kwa sasa yuko Chelsea
Huyu ndie alikuwa kiini cha Brighton kusajili wachezaji wazuri. Sasa hayupo na Brighton imekosa mwelekeo kabisa
 
Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
Sababu iliyomfanya RDZ asepe hii hapa
akipata timu yenye uwezo wa kununua wachezaji wazuri huyu ni kocha mzuri kuliko Poche
1716151846077.png
 
Conor Gallagher kuhusu mkataba unaoisha Juni 2025:

"Nina uhakika hilo litatatuliwa".

"Kila mtu anajua Chelsea ni klabu yangu na ninapenda kuichezea - mashabiki wetu ni mahiri na ninaipenda kwa sasa. Nina uhakika itajitatua yenyewe,” aliambia Guardian.

Taarifa zingine zimedai kuwa Conor Gallagher alipata wasaa wa kuonge na mmiliki wa Chelsea mwenye nguvu kubwa, Behdad Eghbhali baada ya uwanja kuwa mtupu
Haijulikani wameongea nini
Kwa sasa analipwa £50,000-kwa wiki (£2.6m-kwa mwaka).
1716155083486.png
 
Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
Kocha bora huwa anaendana na wachezaj bora.

Mifano ishatokea tu
Ancelloti alipokuwa Everton alijjtahidi ila mwisho wa siku maji na mafuta vikaanza kujitenga

Conte n Mourinho wakat wako spurs

Siku zote makocha wazuri huwa wanahitaji kuwa na wachezaji wazuri hata 80/90 % ya squad iwe na wachezaji wazuri

Makocha na wachezaji wanaendana usitegemee kocha awe kilaza alaf wachezaji wazuri kuna kitu utakipata na vice versa
 
De Zerbi:
“Natumai kufanya kazi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza tena. sijui wapi au lini."
1716155898454.png
 
Sio kweli msimu ule alisumbua ni kwasababu team nyingi azikumjulia baada ya kumjalia ndio maana anapoteza game nyingi na zote anfungwa kwa aina moja ya soka utaniambiaji ni Mzuri kimbinu? Team nyingi zinazomfunga wanachofanya ni hivi wanajua ubora wa huyu kocha ni kwenye build up kuanzia chini wanachofanya hawapress juu wanawasubiri wafike kati ndipo wanawapress kwa nguvu na mara nyingi wanakuwa wamepoteza shape yao ya uzuiaji ndio maana wanafunga magoal mengi
lembu
Umempoteza Caicedo n McAlister halaf replacement unaletewa za ajabu ambazo hazina impact mda huo huo hujakaa sawa unapata injury za wachezaj wako muhim Mitoma na March

Kwa team yenye quality player de zerbi anafanya vizuri, kimbinu kamzidi poch.

Kuna makocha kimbinu wamemzidi poch, yani ni rahisi kuusoma mchezo na kubadilika kadri mchezo unavyoenda.
Ni swala la mda tu wengi humu mtaanza kuwataja De Zerbi naomba apate team nzuri awaoneshe,Sebastian Hoeness,Thiago Motta

Soon Arne Slot atawaonyesha pale liverpool na hiv Michael Edward karudi msubir
 
Note also
Kumbuka pia kuwa Paul Winstanley aliletwa na RDZ kutoka Shaktar ambaye kwa sasa yuko Chelsea
Huyu ndie alikuwa kiini cha Brighton kusajili wachezaji wazuri. Sasa hayupo na Brighton imekosa mwelekeo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom