Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea is in talks with Riyadh Air, Bank of America, Malaysia Airlines, and an Asian company about becoming the shirt sponsor next year.

However, the likely lack of qualification for European cups, especially the UCL, makes negotiations difficult.

(@Lu_Class_)


Huwa tunawaambia ila hamskii
Tulikuwa tunayazungumza haya wengine huku wakaamua kuficha kichwa kwenye mchanga kama Kenge afanyavyo
Timu itaporomoka kimapato na hii inaweza adhiri hadi dhamani ya wachezaji na kufanya iwe ngumu pia kuwauza
Panga la FFP halitakawia kuja
Chelsea itakufa kifo cha Mende mbele ya hawa wamarekani wajinga na wasiokubali kwamba falsafa yao ya long term project with kids hautaenda popote
 
Ni kwasababu alikuwa anacheza na mabumunda🤠🤠...tangu alivyokuja Arsenal kwni amebadilika nn....si ni yuleyule goigoi..lakini mbona anatupia....jibu ni ize tu...nyny mna Wala mishahara ya bure wengi na ndo maana mpo nafasi za 10 huko
Mtafyata mkia muda sio mrefu
 
Chelsea wako tayari kuuza wachezaji 15 msimu huu wa kiangazi huku wakisalimu amri katika sera yao mbaya ya uhamisho. The Blues wanatarajia kuleta kiasi kikubwa cha fedha na ambacho kitatumika kuimarisha kikosi cha Mauricio Pochettino zaidi.
1710181332776.png
 
Baada ya kuifunga Chelsea 4-1 uwanjani St. James’ Park mwezi Novemba, Newcastle wanaweza kukamilisha double yao ya kwanza kwenye ligi dhidi ya The Blues tangu 1986-87.
1710181585132.png
 
Nyny ni waharibifu wa vipaji vya wachezaji...next time muwe mnasajili wafanya vurugu ndo wataweza kucheza style yenu sio mafundi kama De Bruyne na Kai
Chelsea wamepita mafundi wengi sana kuna Hazard, Oscar, Mata, Fabregas, Joe Cole n.k na sasa hivi tuna fundi anaitwa Cole Palmer Mr mapass
 
Line up ya leo

4-2-3-1

---------------Jackson--------------------

Sterling ---------Gallagher----------Palmer

----Enzo -------------------Caicedo------

Cucurella ----Challobah ----Disasi ----Gusto

------------------Petrovic------------------

Subs
  1. Sanchez,
  2. Silva,
  3. Acheampong,
  4. Gilchrist,
  5. Casadei,
  6. Chukwuemeka,
  7. Mudryk,
  8. Madueke,
  9. Deivid Washington
 
Kikosi kina chalobah!! chelsea kushinda labda washinde njaa.
Chalobah hakipga hata foward pass moja niitwe mbwa.
 
Haya sasa huyo hapo Newcastle. Size yenu kabisa huyo. Msipomfunga nitawashangaa sana.
 
Meneja wa Girona Míchel Sánchez amepokea ofa muhimu mezani kutoka kwa Chelsea, ambao hawajaridhishwa na kazi ya Pochettino. Viongozi wa Chelsea walisafiri hadi Uhispania hivi majuzi ili kumweleza Míchel moja kwa moja nia yao ya kuwa naye lakini anataka kuendelea huko Girona.
 
Kikosi kina chalobah!! chelsea kushinda labda washinde njaa.
Chalobah hakipga hata foward pass moja niitwe mbwa.
Chalobah na Gallgher wametuangusha, lile goli la kusawazisha ni blunder ya Gallagher kuvisha wachezaji kama watatu kanzu halafu mpira unarudi nyuma kwentu miguuni kwa opponents. Kama anaumwa kwa nini Kocha anaforce acheze?
 
Chalobah na Gallgher wametuangusha, lile goli la kusawazisha ni blunder ya Chalobah kuvisha wachezaji kama watatu kanzu halafu mpira unarudi nyuma kwentu miguuni kwa opponents. Kama anaumwa kwa nini Kocha anaforce acheze?
Ile ilikuwa ni gusto
 
Mnacheza mchezo hatari so far. Mnavyocheza huko nyuma, timu inayopress vizuri ingekuwa imeshawapiga hata tatu.
 
Je mnaona jamani mambo ya Pochettino?
Timu imepata bao halafu mapema mno inaanza kurudi nyuma kulinda zone badala ya kupress
Wachezaji wageuka milingoti, Plamer na Gusto tu ndio walikuwa wanajitahidi
Tusubiri HT tuone atawapa maelekezo gani
Labda ya kulinda drooooooo
 
Andy Townsend:

"Pochettino anairuhusu timu hii ya Chelsea kupwaya"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom