Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Consortium ya Kina Boehly na Eghbali inashida kwenye swala zima la kuajiri coach

Hata kule kwa ndugu zetu Strasbourg mwaka huu tangu umeanza hawajashinda game yoyote kule league 1 na kwa sasa wanashikilia nafasi ya 14 coach wao ni viera aliyefeli Crystal Palace
 
Wakati tunamsajili Madueke & Mudyk hatukumuona Doku
Doku ana madhara kwenye team zaidi ya faida
Anakaa na m mpira sana halafu anacheza fyongo, hatumii akili ya mpira. Angekuwa anarelease mpira mapema ukiwa unahitajika angefaa ila sasa atakuja kureleaze mpira build up imeshapoa halafu juhudi zote za wenzake wasted.
Huyo ni Madueke tu wa LW
 
Cash Money Forever
Tukinyanyua kwapa mwisho wa msimu tutaeaongezea ata £15 Million
20240310_123440.jpg
 
Mjadala juu ya kumlinganisha Palmer na Havertz kwa kweli ni ujinga na kupoteza muda tu
Huu ni msimu wa 4 wa Havertz kwenye PL na msimu wake bora alipata 20 G/A katika michezo 47.
Palmer tayari yuko 24 G/A katika michezo 35 pekee katika msimu wake wa kwanza kamili
Havertz ana miaka 24
Palmer ana miaka 21
Havertz amecheza kwenye timu yenye ushindaini na wazoefu
Palmer anacheza na watoto wenzake bila uzoefu wowote na bado Palmer ana 24 G/A 4 zaidi ya Havertz mwenye 20G/A
 
Cash Money Forever
Tukinyanyua kwapa mwisho wa msimu tutaeaongezea ata £15 Million View attachment 2930694
Havertz alitupa bao la ushindi kwenye Fainali ya UEFA dhidi ya timu kubwa na ngumu ya Manchester City. Bao la kifahari kuliko lile aliloipa Arsenal kwenye ligi dhidi ya timu dhaifu ya Brentford. Mashabiki wa Arsenal lazima muelewe kwamba Havertz hatawapeleka popote. Put that into your empty head
 
Usilie basi!
 
Mara ya mwisho timu yako inachukua ubingwa waziri mkuu wa Tanzania alikuwa Sumaye. Sasa sisi na wewe nani amuonee mwenzie huruma
Hiyo inaitwa history🤠🤠...ukiambiwa Hawa ndo walichukua ubingwa miaka 5 ilopita unabaki kujiuliza nn kimewakuta...hakieleweki kinachofanyika...half of the team ni wafuga dread....na wakiingia uwanjani wao wanachojua ni kufukuza upepo tu bila mipango
 
Chelsea is in talks with Riyadh Air, Bank of America, Malaysia Airlines, and an Asian company about becoming the shirt sponsor next year.

However, the likely lack of qualification for European cups, especially the UCL, makes negotiations difficult.

(@Lu_Class_)

Huwa tunawaambia ila hamskii
 
Kai Havertz's last four appearances in the Premier League 👏

⚽️ v Burnley
⚽️ 🅰️ v Newcastle
⚽️ 🅰️ v Sheffield Utd
⚽️ v Brentford

Asanteni Kenge kwa kufanya biashara safi 🤝🏾 Cash Money Forever View attachment 2929884
Kai tumewapiga pesa nzuri sana ni mchezaji ambaye yupo inconsistent Leo atakupa game baada ya mechi mbili mbele unakataa najua unazijua hilo sema tu unajitoa ufahamu
 
Best player wenu wa msimu jana was kai, top scorer was kai,,Panga pangua Kai alikua starter apo darajani..

Kai kai remember the name.
Best player alikuwa Thiago Silva huyo kai alikuwa top scorer wetu ni kwasababu yeye ndio alikuwa forward wetu alifunga goal 7 tu ya epl kwenye mechi 38 anakuaje ni bora?ebu Cash Money Forever tunamsaidie huyu jamaa mbona anavituko
 
Ni kwasababu alikuwa anacheza na mabumunda🤠🤠...tangu alivyokuja Arsenal kwni amebadilika nn....si ni yuleyule goigoi..lakini mbona anatupia....jibu ni ize tu...nyny mna Wala mishahara ya bure wengi na ndo maana mpo nafasi za 10 huko
Best player alikuwa Thiago Silva huyo kai alikuwa top scorer wetu ni kwasababu yeye ndio alikuwa forward wetu alifunga goal 7 tu ya epl kwenye mechi 38 anakuaje ni bora?ebu Cash Money Forever tunamsaidie huyu jamaa mbona anavituko
 
Kai tumewapiga pesa nzuri sana ni mchezaji ambaye yupo inconsistent Leo atakupa game baada ya mechi mbili mbele unakataa najua unazijua hilo sema tu unajitoa ufahamu
🚨Kai Havertz has scored in each of his last four Premier League appearances (4 goals), making him the first German to score in four consecutive matches in the competition’s history.
20240307_183845.jpg
 
Best player alikuwa Thiago Silva huyo kai alikuwa top scorer wetu ni kwasababu yeye ndio alikuwa forward wetu alifunga goal 7 tu ya epl kwenye mechi 38 anakuaje ni bora?ebu Cash Money Forever tunamsaidie huyu jamaa mbona anavituko
🚨 Kai Havertz equalled his best ever goal scoring season (8) at Chelsea after only 7 months at Arsenal. He has also adapted to versatile roles under Mikel.

Chelsea ruin players, Arsenal save them!!
20240309_224210.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom